Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
sidhani push-ups ni kigezo kimejawapo kinachomtaka mgombea uraisi kuwa nacho!nyie pigeni na judo,taekwondo na kungfu,we do politics and politics only!
we aint got no time for 'em cheap low politics!
 
mambo kama haya ndio yanayotutukanisha hata ukasikia AKILI ZA KITANZANIA!!! KUMBE NI AKILICCM
 
mambo kama haya ndio yanayotutukanisha hata ukasikia AKILI ZA KITANZANIA!!! KUMBE NI AKILICCM
Hujui kitu wewe zaidi ya kufuata mkumbo wa dhaifu.

Mwanaume ambaye atakuwa AMIRI JESHI MKUU, LAZIMA AWE FIT.

SASA MJARIBU LOWASSA UONE KIYAMA CHENU
 
Hujui kitu wewe zaidi ya kufuata mkumbo wa dhaifu.

Mwanaume ambaye atakuwa AMIRI JESHI MKUU, LAZIMA AWE FIT.

SASA MJARIBU LOWASSA UONE KIYAMA CHENU

Duh mhubiri wa habari za Yesu Ishmael anapogeukia kufuru za dunia...

Hii yote ni kwaajili yanini?

"Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu mengine mtazidishiwa"
 
Last edited by a moderator:
Lowassa asipige pushap, arukeruke tu tuone.
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.

Mkuu ukiona ujumbe hujauelwa juwa si level zko. Unapita kimya kimya. Walengwa wanajipanga wajibu kwa kuruka ruka na kunyoosha mikono.
 
Na akiupata urais mawaziri watapigishwa push-up.. huyu jamaa hatufai hata kidogo.
Badala akomae na sera yeye anakomaa na ufiti.
Ufiti wa nini wakati huelewi kesho?

"Being Tanzanian is not a problem, problem is being under CCM"
kula like mkuu.
hilo ndilo gonjwa kubwa linalotukabili
 
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote

Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups
maxresdefault.jpg

Huyu ni Barack Obama akipiga push ups
obama-celebrates-easter-day-01.jpg

Huyu ni John Magufuli akipiga push ups
1.jpg

Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa
MANYONI.jpg

Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.
JIBU LAKO HILI HAPA.

Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups
maxresdefault.jpg

Huyu ni Barack Obama akipiga push ups
obama-celebrates-easter-day-01.jpg

Huyu ni John Magufuli akipiga push ups
1.jpg

Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa
MANYONI.jpg

Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.
 
Si mlisema mna mchagua Magufuli. Sasa tatizo liko wapi maana tayari kesha waonyesheni Ubora wa kuwa Rais wa Pushapu. Ila hao wenzake wawili wana jua kuongea Kiingereza.
 
Sawa mtumishi wa Mungu uliyegeukia upotovu na makufuru ya dunia...

Daah Ishmael jamani siamini macho yangu!!
 
Last edited by a moderator:
LOWASSA HATA WAMFANYIE MAOMBI HATO WEZA KUPIGA PUSH UP HATA MOJA

12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg

​

12039428_831585543607424_8714086943846259701_n.jpg

11863353_10153453536024504_5409480389151296823_n.jpg
11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg

Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.

Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu. ​
​

"Bwana ataleta hukumuni kila kazi, na kila neno la siri liwe jema au baya"

Anaheri Ishmael atakayedumu milele na mwili wake usioharibika!!!
 
Last edited by a moderator:
NITARUDIA MANENO HAYA MARA KADHAA IPO SIKU WATANZANIA WATANIELEWA " IKO SIKU CCM ITATULETEA RAIS TEJA KAMA SIO MWENYE TATIZO LA AFYA YA AKILI"
Tuombe uzima na salama
 
Twaweza walisha kuambieni mnaye Rais kwa 65%. Si uanze kusherehekea kuliko kujiumiza kwenye mablog na forum.
 
Magufuli is not ok upstairs.
The next thing atafanya ni kuvua suruali ili kuonesha yeye ni real man
 
LOWASSA HATA WAMFANYIE MAOMBI HATO WEZA KUPIGA PUSH UP HATA MOJA

12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg

​

12039428_831585543607424_8714086943846259701_n.jpg

11863353_10153453536024504_5409480389151296823_n.jpg
11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg

Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.

Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu. ​
​

ukiangalia ni alikuwa kwenye mazingira gani mpaka apige push up utagundua huyu hana maamuzi mazuri ya haraka. kama aliwahi kuwa kiongozi atakuwa pia kayafanya hayo maamuzi.

bila shaka mwakumbuka alipotaka kubomoa TANESCO ubungo. kwa uchumi wa Tanzania ingekuwa ni hasara kubwa.

Tusisahau na wale samaki

hata hawa wanaopewa kandarasi za barabara ni kukurupuka sana.

kwa sasa magufuli hana mshauri. chote anachosema na kutamuka ni kutoka kwenye akili yake tu.

Mwalimu wangu aliniambia busara ya mtu utaipima kwenye maamuzi ya haraka haraka kama anapokuwa na hasira.

PIMA ILI UCHINJE OCTOBER.
mimi mwamua pema ni LOWASA
 
Huu ni ujumbe tosha kuwa Watanzania wasitarajie kupata matibabu,kwani wagonjwa watapigishwa tu push up na wasio weza wakafie mbele,Rais kunyanyapaa wagonjwa ni hatari sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom