Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Weak people can not be Head of State.

UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg
​
Mbona JK simuoni hapo?
 
Magufuli ni rais wa wapiga push ups Tanzania. Hana tofauti na marais kama wale wa wasafi, wachafu, wa Manzese n.k. Fullstop.
 
Hapa Arusha mjini vijana wameomba mgombea wao mamvi amlipe Magufuli kwa kukimbia uwanjanjani mara moja tu...ila iwepo ambulance....
 
PUSH UP ni ukakamavu na Amiri jeshi mkuu lazima awevmkaka mavu na siyo goigoi

........
 
Magufuli ni rais wa wapiga push ups Tanzania. Hana tofauti na marais kama wale wa wasafi, wachafu, wa Manzese n.k. Fullstop.

Tunaposema Raisi hatumaanishi wa Klabu ya Yanga,Simba tunamaanisha Raisi wa Tanzania na sio Raisi wa sanaa na Maigizo
 
Duh...siasa hii...Yashakuwa mashindano ya Push Ups? hahahahahahahahha....CCM full comedy
 
Ninachompendea Lowasa ni Mnyenyekevu

Hajawahi kumsema mtu yeyote Tangu aanze kampeni

Ametukanwa sana BUT he kept quiet

Lazma watesi wake wawe na hofu

Binafsi I will vote for Lowasa
 
Hivi unajua hata kuwa IQ haijapitishwa na wanasayansi kama kipimo sahihi cha busara??
 
AMA kweli nimeamini sisi wapumbavu. Na malofa yaani tunamshabikia mgombea anapiga push ups !! Yaani wakati Tanzania inazidi kuporomoka ! USA wametunyima msaada wa GMG, kwa sababu ya huyo mnayemshabikia kupiga push-ups. Ameiba hela za barabara, hivi mnajua athari watu wetu watakayopata kwa KUKOSA msaada huo ? Ama kweli wakati mwingine naujutia Utanzania WANGU
 
Hivi Magufuli alipiga push-up au aliinama tu?
 
fuatilia mambo usikurupike kama huyo comedian.

Malawi nani aliye organize jeshi hadi wakapeleka makomando na ndege na jamba jamba kwa Joyce?

ua unadhani nyerere alishika bunduki kagera?

Nani alikuwa mzee na afya dhaifu Fidelis kastro au Bushi? lkn heshima vipi.

mtu kudananishwa na kifaa kilichoundwa na binadamu huwa ni fedheha. Utasikia jembe, Tingatinga, Tv, vuvuzera, mwenge. Ukivishwa uhusika wa vitu maana ake hauna maamuzi mazuri ndio maana lazima wakuendeshe kama roboti.

Mbona utatoa mafuriko ya povu umesahau lowasa alionyeshwa akiwa anakimbia akielekea kupanda helicopter na hatukusema hatutaki mwanariadha ikulu lete hoja za msingi
 
Hivi Magufuli alipiga push-up au aliinama tu?

Ndio maana Vijana wanashawishiwa kujiunga na JKT, kama uwezi kutofautisha push-ups na kuinama basi huko patakufaa sana na utajifunza mengi.
 
Uimara wa afya ya mtu unathibitishwa na vipimo vya maabara maana suala la mazoezi hata wagonjwa wanashauriwa wafanye mazoezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom