Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Lowassa hata kama hajui kupiga push up,anayo magunia ya fedha. Kuwa na nguvu siyo tatizo. Ukienda bandarini,utawaona ma coolie,wanagombania kazi ya kubeba magunia ya mchele,chumvi,etc.
 
Last edited by a moderator:
Bukyanagandi,

..tatizo la Magufuli ni kwamba hata yeye mwenyewe ameshaonja rushwa na ufisadi.

..pia hao wanaompigia kampeni sasa hivi ni mafisadi na wahuni wa kisiasa.

..Mwinyi na Mkapa waliingia madarakani wakiwa wasafi na kwa njia za kistaarabu kuliko anavyojaribu kufanya Magufuli. Pamoja na ukweli huo waliishia kuikumbatia rushwa.

..wasiwasi wangu ni kwamba Magufuli atashindwa kumaliza rushwa na ufisadi, na vilevile ataongeza tatizo lingine la ukatili na ubabe ktk siasa.

..Uraisi unahitaji mtu mwenye busara na anayeweza kuwaunganisha wananchi. sasa huyu Magufuli matamshi aliyopata kuyatoa, na kampeni anazoendesha, unapata mashaka kama ni mtu mwenye busara.

..CCM haiwezi kuacha rushwa na ufisadi ikiwa wananchi wanaendelea kuwapa ushindi wa kishindo kama asilimia 70 za utafiti wa Twaweza.

NB:

..Magufuli anaonekana kama mtu aliyevurugikiwa akili. Leo adanganye wananchi kuhusu Libya; kesho yake kaibuka na mahakama ya mafisadi; mara kaiga campaign slogan ya cdm; tena anapiga pushups. Mpaka Oct 25 tutashuhudia wengi.

cc Sikonge
 
Lowassa hata kama hajui kupiga push up,anayo magunia ya fedha. Kuwa na nguvu siyo tatizo. Ukienda bandarini,utawaona ma coolie,wanagombania kazi ya kubeba magunia ya mchele,chumvi,etc.

Mkuu uwe unajisomea tu sio lazma ucomment
 
Elimu ni kitu cha msingi sana!.... Watanzania wanadanganyika na Siasa majitaka leo hii imekuwa pus up ndio kigezo cha mtu kuwa Rais………
 
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg


Lowassa hebu na wewe onyesha umma kama hao wakuu hapo juu. Walahi ukipiga push up moja tu, mimi nahamia UKAWA.

Mkuu unatafuta mada kess..!!
 
Bukyanagandi,

..tatizo la Magufuli ni kwamba hata yeye mwenyewe ameshaonja rushwa na ufisadi.

..pia hao wanaompigia kampeni sasa hivi ni mafisadi na wahuni wa kisiasa.

..Mwinyi na Mkapa waliingia madarakani wakiwa wasafi na kwa njia za kistaarabu kuliko anavyojaribu kufanya Magufuli. Pamoja na ukweli huo waliishia kuikumbatia rushwa.

..wasiwasi wangu ni kwamba Magufuli atashindwa kumaliza rushwa na ufisadi, na vilevile ataongeza tatizo lingine la ukatili na ubabe ktk siasa.

..CCM haiwezi kuacha rushwa na ufisadi ikiwa wananchi wanaendelea kuwapa ushindi wa kishindo kama asilimia 70 za utafiti wa Twaweza.

cc Sikonge

Mkuu JokaKuu, para yako ya mwisho imenigusa sana - Mh.Magufuli akipata asilimia 70+ basi akae akijua kwamba Watanzania wamempa kibali/mtiani wa kushughulikia suala sugu la rushwa nchini, akiona vipi i.e wenzake wanamkwamisha hasitekeleze kazi yake ipasavyo hasa RUSHWA basi yeye kama muhungwana atapashwa ku-resign ili Taifa litishe uchaguzi upya, na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM, na hili likitokea mimi sitakaa tena humu kutetea CCM na Serikali yake ntajua hawana nia thabiti ya kujirudi kimadili.
 
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg


Lowassa hebu na wewe onyesha umma kama hao wakuu hapo juu. Walahi ukipiga push up moja tu, mimi nahamia UKAWA.

Anaweza kufa hapo hapo! sasa sijui akipigiwa ile mizinga 21 ya marais wanayopigiwaga itakuwaje?. ukawa leteni majibu
 
Kweli mkapa ajakosea kusema wapumbavu, kingereza ni lugha tu kama kiswahili, ingekua kingereza ndo kigezo cha uongozi maraisi wengi duniani wasingekua kwenye madaraka, kama lugha yako mama unaichukia sasa unaitaji change ipi, wakati wewe tu ujitambui, jaribu kutembelea nchi mbali mbali kama uwezo wa kufanya hvyo unao, ndo utajua kiswahili ni lugha ya kupendeza sana

That's pure hypocrisy, when it comes to language you're saying is not an issue for one to become a president, because according to you there are several head of states who don't speak english including your preferred candidates. I'm sure if it wasn't the case you have said otherwise. Commander in chief of armed of forces just gives order, he doesn't necessary need to be able to be able to do push ups. As long as the brain is functioning that's all that matters. Somehting else you should understand is that, age does play a great factor as well, when we grow old, our body also deteriorates.Ten years, i'm sure Lowassa would be able to do and even more, i dont think your preferred candidate would be capable in ten years time to do push ups. Please use common sense. Even for the case of sports, a coach doesn't necessarily need to have the same level of fitness as the players, as long as he knows the rules of the games then he become the best coach.
 
tumblr_m3q4l2oRy31r5568mo1_1280.jpg


April 1975: The New York Times Magazine published a 21-page article about President Gerald R. Ford. “He does 20 push-ups and 20 lifts of his torso

Tatizo siyo kupiga push up, ila tatiza ni mazingira gani unapigia push up. Huwezi kuonyesha watu kuwa wewe uko circumcised kwa kuweka wazi utupu wako mbele ya kadamnasi.
 
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
Mkuu, simple logic. hapa alikuwa anamlenga mpinzani wake mkuu kwamba yeye ana afya njema lakini mpinzani wake ni mgonjwa hawezi kitu. Tafsiri yake ni ili awakatishe tamaa wanaomuunga mkono. Pia ni ishara kwamba upande wake mambo hayaendi vizuri kwa hiyo mbinu hii itamsadia kumbe imekuwa kinyume. hakika ni kituko.
hakika wanaomzushabikia watafute namna ya kumsadia. Mfano Habari Leo wameonyesha matokeo ya Twaweza na kuchapisha picha yakeakipiga push up! HAKIKA NI VEMA TUACHE UNAFIKI
 
Mkuu JokaKuu, para yako ya mwisho imenigusa sana - Mh.Magufuli akipata asilimia 70+ basi akae akijua kwamba Watanzania wamempa kibali/mtiani wa kushughulikia suala sugu la rushwa nchini, akiona vipi i.e wenzake wanamkwamisha hasitekeleze kazi yake ipasavyo hasa RUSHWA basi yeye kama muhungwana atapashwa ku-resign ili Taifa litishe uchaguzi upya, na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM, na hili likitokea mimi sitakaa tena humu kutetea CCM na Serikali yake ntajua hawana nia thabiti ya kujirudi kimadili.

..Magufuli na uungwana tena!?

..angekuwa muungwana asingeruhusu MATUSI ktk kampeni zake.

..wananchi wakimpa asilimia 70 za Twaweza maana yake wameridhika na RUSHWA, UFISADI, UMASIKINI, MATUSI, na VIJEMBE.

..why do u believe chama kinachoendesha kampeni za kihuni-huni na kibabaishaji kikishinda uchaguzi kitatawala vizuri?

..Magufuli anaweza kufanya vizuri kama atapata ushindi mwembamba, na wapinzani watapata viti vingi bungeni. Kinyume na hivyo wa-Tanzania tuandike maumivu. Huyu bwana ana rekodi ya ufisadi, kiburi, na ubabe.
 
Magufuli hajatulia na ana sifa zisizo na maana, amekuwa akifanya vitu ili kujionyesha yuko fit kiafya lakini anasahau kuwa waTanzania wanahitaji nini! Too low
MTU wa namna hii anawezaje kuwa rais makini?
 
UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom