Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Mkiambiwa mnaitaji elimu bado tu hamjielewi yaan wewe ndo mbumbu kweli,eti lowasa zaifu,zaifu anakua mwenyekit wa kamati ya ulinz na usalama taifa!km magufuli mahili kwa nn hakupewa nafasi hiyo.
 
ukiangalia ni alikuwa kwenye mazingira gani mpaka apige push up utagundua huyu hana maamuzi mazuri ya haraka. kama aliwahi kuwa kiongozi atakuwa pia kayafanya hayo maamuzi.bila shaka mwakumbuka alipotaka kubomoa TANESCO ubungo. kwa uchumi wa Tanzania ingekuwa ni hasara kubwa.Tusisahau na wale samakihata hawa wanaopewa kandarasi za barabara ni kukurupuka sana.kwa sasa magufuli hana mshauri. chote anachosema na kutamuka ni kutoka kwenye akili yake tu.Mwalimu wangu aliniambia busara ya mtu utaipima kwenye maamuzi ya haraka haraka kama anapokuwa na hasira.PIMA ILI UCHINJE OCTOBER.mimi mwamua pema ni LOWASA
Jengo la Tanesco ubungo limejengwa kimakosa ndani ya hifadhi ya barabara. Kijana sheria ya Road reserve huijui? Tunahitaji Rais atakaye simamia SHERIA. Kumbuka SHERIA ni MSUMENO.
 
ukiangalia ni alikuwa kwenye mazingira gani mpaka apige push up utagundua huyu hana maamuzi mazuri ya haraka. kama aliwahi kuwa kiongozi atakuwa pia kayafanya hayo maamuzi.

bila shaka mwakumbuka alipotaka kubomoa TANESCO ubungo. kwa uchumi wa Tanzania ingekuwa ni hasara kubwa.

Tusisahau na wale samaki

hata hawa wanaopewa kandarasi za barabara ni kukurupuka sana.

kwa sasa magufuli hana mshauri. chote anachosema na kutamuka ni kutoka kwenye akili yake tu.

Mwalimu wangu aliniambia busara ya mtu utaipima kwenye maamuzi ya haraka haraka kama anapokuwa na hasira.

PIMA ILI UCHINJE OCTOBER.
mimi mwamua pema ni LOWASA

unaawaz
 
si busara, umarekani na urusi na Tanzania ni ujinga kumleta Obama na Putin hapa.

nchi hii haihitaji pushup, hitaji kuu au dogo si push ups. Tanzania unataka nyuma yako wapi wakina nani, ukawa nyuma watz maskini .ccm nyuma wapi walafi wa gesi na Mali za nchi
 
Mwambien na yule wa ukawa apige hata nusu push up ili tujiridhishe na tuhuma zake juu ya afya
 
Mkiambiwa mnaitaji elimu bado tu hamjielewi yaan wewe ndo mbumbu kweli,eti lowasa zaifu,zaifu anakua mwenyekit wa kamati ya ulinz na usalama taifa!km magufuli mahili kwa nn hakupewa nafasi hiyo.
Mwambie apige push up moja tu, walah mimi nahamia UKAWA.
 
JIBU LAKO HILI HAPA.

Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups
maxresdefault.jpg

Huyu ni Barack Obama akipiga push ups
obama-celebrates-easter-day-01.jpg

Huyu ni John Magufuli akipiga push ups
1.jpg

Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa
MANYONI.jpg

Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.

fuatilia mambo usikurupike kama huyo comedian.

Malawi nani aliye organize jeshi hadi wakapeleka makomando na ndege na jamba jamba kwa Joyce?

ua unadhani nyerere alishika bunduki kagera?

Nani alikuwa mzee na afya dhaifu Fidelis kastro au Bushi? lkn heshima vipi.

mtu kudananishwa na kifaa kilichoundwa na binadamu huwa ni fedheha. Utasikia jembe, Tingatinga, Tv, vuvuzera, mwenge. Ukivishwa uhusika wa vitu maana ake hauna maamuzi mazuri ndio maana lazima wakuendeshe kama roboti.
 
like mzee, twaweza walifanya umbea sio utafuti, wanandeleaje kumjaza gufuli ujinga
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.

Dikteta mtarajiwa,vitisho kwa makandarasi,walimu,watumishi wa umma na walala hoi.Kama ni afya njema Samunge alikwenda kufanya nini?
 
Km sifa ya urais ni kupiga push,bas mabondia na wanakarate ndowangegombea urais hayo ndomatatizo ya kutumia tumbo kufikili badala ya kichwa sjui una elimu ip km elimu umepata bas hukuelimika uliambulia chet tu.
 
Jengo la Tanesco ubungo limejengwa kimakosa ndani ya hifadhi ya barabara. Kijana sheria ya Road reserve huijui? Tunahitaji Rais atakaye simamia SHERIA. Kumbuka SHERIA ni MSUMENO.

Ndio hayo tunayosema sheria ni msumeno. ndio liko kwenye hifadhi. unaijua hasara ya kutozalisha umeme kwa hata siku moja? kwa Tanzania ujenzi ungechukua mda gani kama sio miaka miwili. Si lazima sheria kuwa msumeno. Busara ni zaidi ya sheria. Ndio maana bunge hutengua baadhi ya vipengere ili mijadara mingine ijadiliwe.
 
Km sifa ya urais ni kupiga push,bas mabondia na wanakarate ndowangegombea urais hayo ndomatatizo ya kutumia tumbo kufikili badala ya kichwa sjui una elimu ip km elimu umepata bas hukuelimika uliambulia chet tu.
Huna hoja kijana. Kajipange tena.

no-guns-no-problem-putin-also-holds-a-sixth-degree-judo-black-belt-and-a-second-black-belt-in-kyokushin-kaikan-karate-the-sweeping-hip-throw-is-his-signature-move.jpg
 
Si mlisema mna mchagua Magufuli. Sasa tatizo liko wapi maana tayari kesha waonyesheni Ubora wa kuwa Rais wa Pushapu. Ila hao wenzake wawili wana jua kuongea Kiingereza.
Mke wa Uhuru Kenyatta naye ajibu mapigo kwa push ups. Wapi Lowassa?
margaret-Kenyatta-push-up.jpg
 
Ndio hayo tunayosema sheria ni msumeno. ndio liko kwenye hifadhi. unaijua hasara ya kutozalisha umeme kwa hata siku moja? kwa Tanzania ujenzi ungechukua mda gani kama sio miaka miwili. Si lazima sheria kuwa msumeno. Busara ni zaidi ya sheria. Ndio maana bunge hutengua baadhi ya vipengere ili mijadara mingine ijadiliwe.
Jengo lililotakiwa kubomolewa ni lile ghorofa lenye rangi ya kijani na nyeupe siyo POWER PLANT.Busara za kina JK ndiyo zimetufikisha hapa tulipo. Tufuate sheria nchi inyooke.
 
Kwa wale ambao hawajui definition ya Health ni physically and social fit
 
Mwambie apige push up moja tu, walah mimi nahamia UKAWA.

Ee Mungu uyaandike haya ya mja wako...

Kama lilivyo pakanga ktk utungu wake ndivyo alivyo dhaifu aliyezaliwa na mwanamke!!

Naomba sana Mungu anakiri maneno ya kinywa chako...

Ee Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom