Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
dah jamani! yani contrast ya hizo picha mbili kweli inatuaibisha. Kujaribu kuoanisha hizo picha ni aibu.
-mwenzake yuko uwanjani, yeye yuko jukwaani...
-mwili wa mwenzake uko straight kabisa kwenye hiyo pushup, yeye sijui vipi...
-mwili wa obama unaonyesha unapatiwa zoezi la mara kwa mara, yeye mwenzetu mmmm...

Kinachokuaibisha hapo ni nini? The fact that most presidents work out na huyo aspirant wenu kupanda jukwaani ni shida labda ndio yaweza kuwa aibu...!!
 
Kweli mwaka huu watanzania wanataka mabadiliko...
 

Attachments

  • 1443008052721.jpg
    1443008052721.jpg
    55.6 KB · Views: 181
  • 1443008088108.jpg
    1443008088108.jpg
    37.2 KB · Views: 183
  • 1443008117907.jpg
    1443008117907.jpg
    28.9 KB · Views: 171
  • 1443008146888.jpg
    1443008146888.jpg
    26.2 KB · Views: 178
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.

anajiaminisha kwa lowasa kuwa yeye ni baunsa ili aje awe bodygard wake
 
Nasikia alipofika push up ya 3 akajamba!! Ndo maana aliishia 4 tu!!
We mwenyewe unaweza kupiga push ups ngapi? You are hitting below the belt sir. Halafu wengine wakisema mzee eti kajinyea mnaanza kurusha matusi. Siasa za aina hii wala hazina faida.
 
Hujui kitu wewe zaidi ya kufuata mkumbo wa dhaifu.

Mwanaume ambaye atakuwa AMIRI JESHI MKUU, LAZIMA AWE FIT.

SASA MJARIBU LOWASSA UONE KIYAMA CHENU


​mkuu kama we unajua kitu mbona unatoa povu sasa ili uleweke, tatizo
 
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote


Kwani kupiga PUSHAPU ni MATUSI? Mbona USA maraisi wote wanajionyesha wakifanya mazoezi kuwahakikishia raia kuwa wako fiti?

Chalenge ni kwa LOWASSA sasa, ili aondokane na sifa za kuwa ni JENEZA LINALOTEMBEA basi tumuone na yeye akifanya mazoezi.
 
Hutu kamaliza Miaka 10..... CCM oyeeee.......



You are out of context. Tanzania needs a leader who is physically and mentally strong. The other dude is weak.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaha hizi pushups imekuwa ni shida ...... jamaa flani anatamani alipe dah
 
It is how you define things. Soma tu sentensi zako jinsi ulivyo zi bold. Hayo ndio mapovu.

kikwete ameanguka jukwani zaidi ya mara moja lakini tulimpa kura, sasa zamu ya lowasa...... kama unabisha nenda ishi somalia
 
hah hah patamu hapo jaman

obama alipiga pushup kwenye kampen au akiwa uwanjani kwa wanamichezo????
 
Kama JK ambaye ameanguka publicly zaidi ya mara mbili ameweza kumaliza almost 10 years ya utawala (MBOVU) itakua EL. .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom