Magufuli katuangusha kwenye uchumi

Magufuli katuangusha kwenye uchumi

Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Tunashuka mteremko kwa kasi ya 4G halafu mbele kuna kona na mwinuko

Jr[emoji769]
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.

Ni miaka michache iliyopita niliwahi kushauri, nini kinaweza kufanyika.
Inawezekana mawazo yangu, hayakuwa perfect 100%, ila nilitegemea walau extracts za kilicho na tija zaidi mchakato wa kukifanyia kazi kwa haraka.

Tujikumbushe.
Wachumi wetu Hazina na BOT wanafanya nini kuiokoa shilingi yetu au mpaka Magufuli awape TOR ndipo “waamke” usingizini? - JamiiForums

Wachumi wetu Hazina na BOT wanafanya nini kuiokoa shilingi yetu au mpaka Magufuli awape TOR ndipo “waamke” usingizini? II - JamiiForums

Nguvu kubwa ya uzalishaji tukiamua kuifanya Tanzania ili kikidhi mahitaji ya soko la ndani na ku-export, hapo tutaotoba.

Fuatilia takwimu hapa chini, toka miaka ya '70 mpaka 2018; huko nyuma China hakuwa lolote, ila baada kuongeza uzalishaji na kuanza kuongeza exports, mbona tutapiga bao.

Wakati uchumi wa dunia umeanza kutikisika wakati wa COVID, mahitaji ya kuzalisha chakula duniani hayatakoma na soko lake lipo tu.

Ni wakati, BOT na hazina wakaacha kuja na analysis pekee; isipokuwa ni vema kuja na mfumo wa ku-guarantee investment projects zenye uhakika wa soko kubwa la ndani na nchi majirani.

Soko la Sukari lipo Tanzania na Kenya kwa zaidi ya tani laki 5. Hii mbona fursa nje nje.
Kuongeza uzalishaji wa alizeti, ufuta ili kuzalisha mafuta ya kula

Kuja na mkakati wa ku-process
Products kadhaa za pamba,
Products kadhaa za kahawa
Products kadhaa za korosho,
Products za kahawa
Pareto
Products kadhaa za Chai
Mchele
Unga mahindi
Asali
Nyama
Products za Ngozi
Products za samaki.
Vyote hivi tunaweza kuzalisha ndani kukidhi soko, na ziada tuka-export.

Waziri Mpango, chonde chote, hatuwezi kutumia njia za zamani kujenga uchumi wakati huu ambapo kila mmoja anapambana na hali yake.

Akili za kuzalisha na maandiko ya investment projects zipo, kuna projects zingine haziwezi kuhitaji fedha moja kwa moja toka local investment bank, zinahitaji Bank Guarantee tu toka BOT ili kujenga viwanda ambavyo pia zitatoa ajira.

Jamani, chonde chonde, huu sio wakati wa kutengena kifikra, ni wakati wa kufikiri pamoja na kuja na suluhisho la Tanzania bora kati ya Covid19 na baada ya Covid19
 
Hizi figure za sasa ndio realistic
Watu walikua wanapika export figures kukwepa mzigo wa local tax
Mkuu apo ndyo umejichanganya kabisa. Umetaka kutetea bila kujua unatetea nini.

Kwa tulivyoaminishwa na serikali ya viwanda, wapiga dili wameisha mana yaje data za mapato za sasa ni za kweli.

Maana yake hapo nyuma tulikuw tunapigwa. Watu walikuwa wanakwepa kulipa Tax. Ila ingawa walikuwa wanakwepa. Export index ni kubwa bado kuliko ya hivi sasa. Maana yake tumeshuka kwa speed ya sliding. Baada ya corona tutashuka kwa speed ya kuanguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Inamaana iyo sector ya Mboga Mboga [Horticulture] imeishinda sector ya samaki'. Na sector ya mawasiliano ipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Tanzania kimaendeleo imerudi nyuma miaka 50
 
Niliwahi kumsikia Kikwete wakati fulani alisema mgombea Urais wa CCM anatakiwa afuate ilani ya chama, hata kama akiwa na vipaumbele vyake, but chama chake kwanza halafu yeye baadae.

Ila kwa huyu jamaa yetu sijui kama nae anafuata utaratibu huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni DIKTETA hasikii la mtu. Amekataa hata kumalizia katiba pendekezwa ambayo iko kwenye ILANI ya CCM kwa kusema kuwa yeye kwenye kampeni hakuwahi kusema kuwa ataleta katiba mpya.
 
Tuna jenga barabara watu muone..visivyo onekana hatuna mda navyo

Wali sikika praise team

sijui itakuaje
barabara mbona hata JK alijenga maelfu ya kilomita (huyu anafunguaga hata za kilomita 1 na TV nchi nzima zinammulika) lakini bado watu walikula bata then?
 
Hakuna duniani imewahi endelea kwa mawazo ya mtu mmoja.Kushaurika si ushamba Bali uepusha aibu ya kufeli,walioruhusu Uhuru wa habari ili wakosolewe sio wajinga,sio wengine wakikosolewa urusha ngumu.Hakuna akupendae Kama mtu anaekukosoa huyu ukutakia mema ili usikwame maana kioo cha mtu ni watu.Biblia yasema taifa lolote pasipo mashauri litaangamia Bali palipo mashauri uja uponyaji.Wajuaji wote wengi uangukia pua
 
Niliwahi kumsikia Kikwete wakati fulani alisema mgombea Urais wa CCM anatakiwa afuate ilani ya chama, hata kama akiwa na vipaumbele vyake, but chama chake kwanza halafu yeye baadae.

Ila kwa huyu jamaa yetu sijui kama nae anafuata utaratibu huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwashughulikia wapinzani, kuharibu Kodi zetu kujenga dodoma,Chato, ikulu dodoma eti unamuenzi mtu aliyepita ambae si tija kwa kizazi cha sasa hii aikuwepo kwenye ilani.
 
hapo hatujaongelea ufisadi, budget kutotekelezwa na matumizi ya ovyo ya pesa za umma nchi ina mtihani sana hii
Ameshindwa kupambana na ufisadi, ameshindwa kutatua shida ya ajira,shida ya usalama kuwalinda watu dhid ya wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom