Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Ukiona mtu analaumu mabeberu juu ya kushindwa kwake kuleta matokeo positive hii uleta Sana shaka juu ya ufahamu wakeDuuuu bot mabeberu?
Ukiona mtu analaumu mabeberu juu ya kushindwa kwake kuleta matokeo positive hii uleta Sana shaka juu ya ufahamu wakeDuuuu bot mabeberu?
Sasa juu ya yote si mlisema serikali isifanye biashara, yenyewe iwezeshe biashara na uzalishaji, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi.Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Chadema kwa kupika taarfa hawajambo[emoji3]
Kumpuuza ni muhimu sana mpaka ataamka usingiziniTuletee zako ambazo unaamini ni sahihi nazo tuzichambue. Usisahau kutuambia source ya taarifa yako (hata kama zinatoka kisiwani Rubondo au Chato).
Ni wakati wa 'kufanya kitu' sasa dhidi ya uongozi huu.Hizi figure za sasa ndio realistic
Watu walikua wanapika export figures kukwepa mzigo wa local tax
Ukiona hali hii ujue Serikali imeshindwa kuweka mazingira wezeshi. Fikiria juu ya kodi msululu, uwepo wa kodi kubwa, kesi za kijinga za kuwabambikia watu - kesi ya kodi inabadilishwa na kuwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, n.k.Sasa juu ya yote si mlisema serikali isifanye biashara, yenyewe iwezeshe biashara na uzalishaji, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi.
Sasa ni juu yetu sisi raia kutumia hiyo nafasi kwa kuzalisha zaidi iwe kiwandani, kwenye uvuvi , horticulture n.k.
Hizo kodi ambazo zipo tofauti na nchi nyingine ungeziweka hapa.Ukiona hali hii ujue Serikali imeshindwa kuweka mazingira wezeshi. Fikiria juu ya kodi msululu, uwepo wa kodi kubwa, kesi za kijinga za kuwabambikia watu - kesi ya kodi inabadilishwa na kuwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, n.k.
Awamu hii, imeharibu na kuchafua kabisa mazingira wezeshi ya uwekezaji. Ndiyo maana kipindi hiki ukuaji wa uwekezaji umeshuka toka 28% wakati wa awamu ya 4 mpaka 4% awamu hii. Ni katika kipindi hiki pekee, ndipo wawekezaji wengi Watanzania wameamua kwenda kuwekeza mataifa jirani. Ni katika kipindi hiki hatujampata mwekezaji mkubwa hata mmoja wa kiwango angalao cha kufikia uwekezaji wa Dangote.
Wala tusitetee, awamu hii, uchumi umeharibiwa sana. Kama atapewa miaka mingine 5, sijui ataufikisha uchumi wetu kwenye kiwango gani! Na baada ya kipindi cha uongozi wake kwisha, huenda itatuchukua miaka zaidi ya 20 kurekebisha uharibifu uliofanyika kwenye uchumi.
Kuna maeneo makubwa matatu aliyoyaharibu - uchumi, haki za binadamu na demokrasia, na mahusiano ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app