Magufuli katuangusha kwenye uchumi

Magufuli katuangusha kwenye uchumi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
 
Maisha mtaani huku nimakavu kama Ardhi ya kiangazi, hali ni mbaya sana mtaani.
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
kuna watu wataondoka kwa aibu madarakani..mgema akisifiwa tembo ulitia maji ndo haya sasa..
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Ndio maana sasa hivi ni mwendo wa matajiri kufuatwa na kulazimishwa kuchangia serikali, lazma mlimie meno , sisi huku mahakamani mshahara unatoka konsolidated fund,
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.
Hizi figure za sasa ndio realistic
Watu walikua wanapika export figures kukwepa mzigo wa local tax
 
Magufuli alipoinia madarakani kwa mjibu wa report ya BOT February 2016 Export Trade kwenye baadhi ya sector ilikuwa kama ifuatavyo Manufacturing $1.3 B,horticulture $960 M, Fish And Fish Products $402, Baada ya miaka 4 February 2020 Export. Manufacturing $794 M, Horticulture $167 M, Fish And Fish Products $155 M.

Do your part. Acha majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mataga, karibuni mtueleze jinsi uchumi unavyokua mwaka hadi mwaka tangu awamu ya 5 iingie madarakani.
 
Niliwahi kumsikia Kikwete wakati fulani alisema mgombea Urais wa CCM anatakiwa afuate ilani ya chama, hata kama akiwa na vipaumbele vyake, but chama chake kwanza halafu yeye baadae.

Ila kwa huyu jamaa yetu sijui kama nae anafuata utaratibu huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom