Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Mkuu Subira the Princess, sijatishwa na yeyote.Pasacal umetishwa na nani mkuu? Ww ni mwansheria mtu anaebaka katiba ya nchi yake na kuivunja vunja hana tofauti na Israel mtoa roho, maana katiba ni moyo wa nchi. Jitathimini unasimamia nini unaamini kipi, km unaunga juhudi ni vema pia na ni haki yako ya kikatiba
Soma tarehe ya bandiko hili
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli...
www.jamiiforums.com