Magufuli duniani Leo

Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni au aliazna na vipaumbele ambavyo ni matataizo sugu ya nchi nyingi duniani mfano rushwa na uwajibikaji,

Tuwe wakweli Mpaka wapinzani wa hapo Tanzania akina mbowe na Lipumba walisema kwamba Magufuli anatekeleza ilani yao hafanyi ya kwake,

Zitto kabwe akafika hatua akasema sasa nchi ina rais kwa kweli,

Pale Kenya na nchi baadhi zilizoedesha uchaguzi baada ya Magufuli kuingia madarakani walitamani hata wale wanaenda kuwachagua wawe katika viatu vya Magufuli,

Pro Lumumba mpaka akaanzisha neno maarufu la Magufulification of Africa
Pale Autralia na Madagascar ilikuwa maandamano yakitaja kwamba tunataka kuwa na kiongozi kama Magufuli,

Ulaya walisema kuna kanchi kameibuka huko afrika kana Rais anaitwa Magufuli,

Magufuli Magufuli Magufuli aal over the world then

Je kuna jinsi alitafsiriwa vibaya mwanzoni baadae wakagundua kwamba siyo, au labda ameyafanya mazuri wakayazoea ikaonekana jambo la kawaida?
Au bado anakubalika kwa wale mnaotembea tembea huko?

BADO DUNIA INAMUONA MAGUFULI KAMA MWANZO? KAMA SIYO UNAHISI NINI KIMESHUSHA UMAARUFU HUO? NA JE ANGEFANYA NINI ILI ANEDLEEE KUAMINIKA KWA KILA MTU?
Mbona swali la mwisho limelenga upande mmoja wa negative. Mbona hyjauliza kama sifa zinaendelea?
Jibu: Magulification INAENDELEA
 
Baada ya Matukio ya watu kutekwa na kupotea, Lissu kushambuliwa mchana kweupe, na watu kukatazwa hata kukamatwa kwa kumuombea dua Lissu Dunia sasa imepata picha halisi ya huyo unaye mtaja.
Urembo wa kuchonga haudumu
Eti Lissu just hahaaaa....just bwahahaaaaa...hahaaaaaa!
 
Naskia kwenye pitapita na ubishi wake kapotea njia hajulikani alipo,alimbishia kiku mzee wa misele njia. kutangaza wanaona aibu nimeota lkn
 
Uandishi wako unaukakasi kidogo, inawezekana umefanya hivi kwa makusudi mapenzi kwa mtukufu au unafiki kama kawaida yetu au kwa kutokukusudia.

Hoja ya kukubalika mwanzoni hujatupa nafasi ya kuchangia. Umetoa facts with evidence na reference.

Lakini ilipokuja kueleza hali ya sasa kama bado anapendwa au laa umeshindwa hata ref za ndani au nje ref. moja tu, umeamua kuuliza maswali tuchangie! Inamaana umeshindwa kuanza hata na evidence 1 tu kama Kenya sasa hawamkubali tena! Umeshindwa kueleza hata ugaibuni walivyochora vikatuni!

,
 
Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni au aliazna na vipaumbele ambavyo ni matataizo sugu ya nchi nyingi duniani mfano rushwa na uwajibikaji,

Tuwe wakweli Mpaka wapinzani wa hapo Tanzania akina mbowe na Lipumba walisema kwamba Magufuli anatekeleza ilani yao hafanyi ya kwake,

Zitto kabwe akafika hatua akasema sasa nchi ina rais kwa kweli,

Pale Kenya na nchi baadhi zilizoedesha uchaguzi baada ya Magufuli kuingia madarakani walitamani hata wale wanaenda kuwachagua wawe katika viatu vya Magufuli,

Pro Lumumba mpaka akaanzisha neno maarufu la Magufulification of Africa
Pale Autralia na Madagascar ilikuwa maandamano yakitaja kwamba tunataka kuwa na kiongozi kama Magufuli,

Ulaya walisema kuna kanchi kameibuka huko afrika kana Rais anaitwa Magufuli,

Magufuli Magufuli Magufuli aal over the world then

Je kuna jinsi alitafsiriwa vibaya mwanzoni baadae wakagundua kwamba siyo, au labda ameyafanya mazuri wakayazoea ikaonekana jambo la kawaida?
Au bado anakubalika kwa wale mnaotembea tembea huko?

BADO DUNIA INAMUONA MAGUFULI KAMA MWANZO? KAMA SIYO UNAHISI NINI KIMESHUSHA UMAARUFU HUO? NA JE ANGEFANYA NINI ILI ANEDLEEE KUAMINIKA KWA KILA MTU?
Watanzania na ulimwengu waliangalia title ya kitabu "Magufuli". Sasa wamesoma kurasa chache na title na yaliyo ndani vinawashangaza. Ni makosa kusififia kusifia kitabu kabla hujamaliza kukisoma.
 
Magufuli amefifia machoni kwa wazungu baada ya kuwakamata wezi wa dhahabu na makinikia pale bandarini. ndio walipoanza kumchukia na kutumika kwa vibaraka wa ndani (Mbowe, Zito, Tundu Lissu n.k.) kumchafua zaidi ili mataifa yamuone hafai.
Kweli
 
Kuna watu walidhani ni nguvu ya soda, hii ngoma iko vile vile hadi 2025, Magufuli ni yule yule juzi, jana, leo na hata...

Mimi nimeshauri hivi
P
Pasacal umetishwa na nani mkuu? Ww ni mwansheria mtu anaebaka katiba ya nchi yake na kuivunja vunja hana tofauti na Israel mtoa roho, maana katiba ni moyo wa nchi. Jitathimini unasimamia nini unaamini kipi, km unaunga juhudi ni vema pia na ni haki yako ya kikatiba
 
Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni au aliazna na vipaumbele ambavyo ni matataizo sugu ya nchi nyingi duniani mfano rushwa na uwajibikaji,

Tuwe wakweli Mpaka wapinzani wa hapo Tanzania akina mbowe na Lipumba walisema kwamba Magufuli anatekeleza ilani yao hafanyi ya kwake,

Zitto kabwe akafika hatua akasema sasa nchi ina rais kwa kweli,

Pale Kenya na nchi baadhi zilizoedesha uchaguzi baada ya Magufuli kuingia madarakani walitamani hata wale wanaenda kuwachagua wawe katika viatu vya Magufuli,

Pro Lumumba mpaka akaanzisha neno maarufu la Magufulification of Africa
Pale Autralia na Madagascar ilikuwa maandamano yakitaja kwamba tunataka kuwa na kiongozi kama Magufuli,

Ulaya walisema kuna kanchi kameibuka huko afrika kana Rais anaitwa Magufuli,

Magufuli Magufuli Magufuli aal over the world then

Je kuna jinsi alitafsiriwa vibaya mwanzoni baadae wakagundua kwamba siyo, au labda ameyafanya mazuri wakayazoea ikaonekana jambo la kawaida?
Au bado anakubalika kwa wale mnaotembea tembea huko?

BADO DUNIA INAMUONA MAGUFULI KAMA MWANZO? KAMA SIYO UNAHISI NINI KIMESHUSHA UMAARUFU HUO? NA JE ANGEFANYA NINI ILI ANEDLEEE KUAMINIKA KWA KILA MTU?
Kiukweli ni kwamba huyu mzee ni mchapa kazi, ila kuna kasoro ndogo ndogo huwa zinajitokeza. Na hayo yote nadhani tatizo kubwa linatokana na katiba ya nchi kwamba akuweka wazi mipaka ya rais na pia imemuweka rais kuwa juu ya sheria, kwa yeye atakacho kifanya ama kukisema kikatiba anakua yuko sahihi, ni uamuzi wake afanye ama asifanye. Lakini ni kwa bahati mbaya sana kwake yeye kwamba baadhi kasoro ndogo ndogo zinazojitokeza baadhi yake zinaigusa hata jamii ya kimataifa. Ni ukweli kwamba nchi nyingi duniani hasa afrika hazija weza kujiendesha zenyewe bila misaada ya nje, sasa zinapotokea kasoro ambazo hata hao wenye kusaidia wana ziogopa kasoro za namna hiyo, inakua vigumu kuweza kukuelewa. Na ukiangalia siasa za sasa hivi ni siasa za ushindani kila kona, na mpinzani wako siku zote anaomba uteleze mahali flani ili atumie udhaifu huo kudhoofisha juhudi zako na yeye ajijenge kisiasa. Kwa hiyo bado rais ni yule yule na wala hawakumtafsiri vibaya ispokua wengi wetu hatujajua katiba na sheria za nchi anayo iongoza zimemuweka katika nafasi gani. Na sio yeye tu bali yeyote atakae kuja na kuifuata kama ilivyo katiba iliyopo kelele zitaendelea kuwepo kwa jamii husika na hata jamii ya kimataifa. Sasa nini kifanyike? Jibu ni kwamba, ili kuepuka baadhi ya kasoro ambazo kikatiba si kosa la raisi basi kuna umuhimu wakubadi/kuandikwa katiba mpya yenye mipaka kwa viongozi wote bila kujali ni nafasi gani. Tofauti na hayo huyu mzee watu watamlaumu sana na kumpa majina/sifa mbaya lakini mwisho wa siku bado yuko sahihi kwa mujibu wakatiba na sheria za nchi.
 
Magufuli amefifia machoni kwa wazungu baada ya kuwakamata wezi wa dhahabu na makinikia pale bandarini. ndio walipoanza kumchukia na kutumika kwa vibaraka wa ndani (Mbowe, Zito, Tundu Lissu n.k.) kumchafua zaidi ili mataifa yamuone hafai.

Kwenye Madini nadhani yuko SAHIHI KABISA.
Rais ambae ni kwa MASLAHI ya nchi yake hawezi kupendwa kimataifa , hata hivyo huenda Rais wetu akawa hana WASHAURI SAHIHI !
 
Kuna watu walidhani ni nguvu ya soda, hii ngoma iko vile vile hadi 2025, Magufuli ni yule yule juzi, jana, leo na hata...

Mimi nimeshauri hivi
P
Huwa naheshimu sana mawazo yako ndugu Pascal Mayalla naomba nikuite Baba maana nina imani niko na umri labda wa mtoto wako. Nimeshawishika kuandika sababu nadhani mimi ni miongoni mwa wale wanaopenda kusoma mada zako. Ila kwa hichi ninachokiona kwa siku za hivi karibuni ni kama umezidisha sana mahaba kwa Magufuli kiasi unafanya nikuone kama wale vijana wa ufipa au lumumba ambao wao mara nyingi huchambua masuala ya kitaifa kwa mlengo wa itikadi zao kuliko manufaa ya Tanzana.

Wachambuzi wa kariba yako au wenye ushawishi wa aina fulani kama yako mnachangia pakubwa kumvisha Rais kilemba cha ukoka kiasi anasahau kabisa kama kuna masuala ya kijamii ambayo kwa namna moja au nyingine yanahitaji mkono wake. Nadhani badala ya kumvika Umungu wa kuwa ni yeye pekee anastahili kuongoza basi ingefaa kuongeza nguvu kumsadia wapi anakwenda mrama ili sisi wapiga kura tuone ni manufaa zaidi kumchagua yeye kupitia sanduku la kura kuliko kusisitiza huku kwenye majukwaa ya siasi (kuhusu kuzidisha muda wa kutawala au kufikiri anafaa sana kuongoza zaidi ya 2020) ilhali vijana tuna taabika na ukosefu wa ajira na changamoto nyingine za kiuchumi na za Kiuongozi ambazo kwa ye sio kipaumbele.
 
Back
Top Bottom