Nimeona wanafki wengi sana mkuu kwenye hii dunia ila huu sasa nathubutu kusema you are the King of Mischief 🤣🤣Jamaa amekufa na utekaji wake, sasa hv nchi ni salama hakuna utekaji unaoendelea, kuanzia 2021 mpaka sasa hakuna kisa hata kimoja cha utekaji 🙏
Au nasema uongo ndugu zangu? 😂Nimeona wanafki wengi sana mkuu kwenye hii dunia ila huu sasa nathubutu kusema you are the King of Mischief 🤣🤣
Ukweli mtupu mkuu, pia tumpongeze mbunge (X) Kwa kuwasaidia wananchi kukuna Nazi hakika ameupiga mwingi sana katika kutatua changamoto za kirosti,chuzi shatashata,na maanjumati Kwa kuwasaidia wananchi Kwa tui bubu na la kwanza.🤣🤣🤣Au nasema uongo ndugu zangu? 😂
Unaambiwa wananchi hawakuwahi kula chuzi sotojo kama hilo la Mhe mbunge, huyu Mhe apite bila kupingwa 🔥Ukweli mtupu mkuu, pia tumpongeze mbunge (X) Kwa kuwasaidia wananchi kukuna Nazi hakika ameupiga mwingi sana katika kutatua changamoto za kirosti,chuzi shatashata,na maanjumati Kwa kuwasaidia wananchi Kwa tui bubu na la kwanza.🤣🤣🤣
Huyu mbunge (X) naona angefanya partnership na Mh. Hashim Rungwe wangefanya mapinduzi makubwa sana ya biriani Africa na Duniani kote, wananchi tungekuwa tunafuatilia bajeti za visinia🤣🤣Unaambiwa wananchi hawakuwahi kula chuzi sotojo kama hilo la Mhe mbunge, huyu Mhe apite bila kupingwa 🔥
Nchi ingekuwa inanukia wali Nazi tuu 🔥Huyu mbunge (X) naona angefanya partnership na Mh. Hashim Rungwe wangefanya mapinduzi makubwa sana ya biriani Africa na Duniani kote, wananchi tungekuwa tunafuatilia bajeti za visinia🤣🤣
Reli ya SGR alijenga kwa pesa zetu bila mikopo !! Aliziba ulaji wa safari za kijingaMwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni au aliazna na vipaumbele ambavyo ni matataizo sugu ya nchi nyingi duniani mfano rushwa na uwajibikaji,
Tuwe wakweli Mpaka wapinzani wa hapo Tanzania akina mbowe na Lipumba walisema kwamba Magufuli anatekeleza ilani yao hafanyi ya kwake,
Zitto kabwe akafika hatua akasema sasa nchi ina rais kwa kweli,
Pale Kenya na nchi baadhi zilizoedesha uchaguzi baada ya Magufuli kuingia madarakani walitamani hata wale wanaenda kuwachagua wawe katika viatu vya Magufuli,
Pro Lumumba mpaka akaanzisha neno maarufu la Magufulification of Africa
Pale Autralia na Madagascar ilikuwa maandamano yakitaja kwamba tunataka kuwa na kiongozi kama Magufuli,
Ulaya walisema kuna kanchi kameibuka huko afrika kana Rais anaitwa Magufuli,
Magufuli Magufuli Magufuli aal over the world then
Je kuna jinsi alitafsiriwa vibaya mwanzoni baadae wakagundua kwamba siyo, au labda ameyafanya mazuri wakayazoea ikaonekana jambo la kawaida?
Au bado anakubalika kwa wale mnaotembea tembea huko?
BADO DUNIA INAMUONA MAGUFULI KAMA MWANZO? KAMA SIYO UNAHISI NINI KIMESHUSHA UMAARUFU HUO? NA JE ANGEFANYA NINI ILI ANEDLEEE KUAMINIKA KWA KILA MTU?
MhAnza kwa kujichunguza mwenyewe kama kweli bado unamsifia kama ilivyokuwa mwanzo au umeanza kuziona dosari? Kama kuna dosari unaziona ziweke wazi hapa tuzijadili.
Binafsi huwa sina imani na mwanasiasa kwa sababu huwa wanapenda sifa tu; utendaji kwa ajili ya wengine ni asilimia kidogo.