Hamna vision ya unafiki dunianiUkisikia this person is PATHETIC, basi ni wewe. Kijana Ben amejitahidi na amejaribu, ni kijana mwenye vision na anajiamini. I may not see eye to eye with him on many issues, but I do admire him kwa kujaribu kugombania ubunge, na sio kila mtu anayejitokeza anafanikiwa mara ya kwanza.
JEE WEWE LIPID LA MAANA ULIOFANYIKA???
NDUGU BEN WATU KAMA HAWA WASIKUNJE NIA HAT SIKU MOJA, NEXT ELECTION PIA GOMBEA EVENTUALLY UTASHINDA .
![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, Chadema wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Ikifika 2020 hamjamkata lowassa mtawambia nn tena wananchi? Je, mtazungusha mikono tena?Hivi ikifika 2020,hamja mpeleka lowasa mahakamani,wananchi mtawaambia nini?
inshu ndio nini..teh tehAna kasi Magufuli aisee,ana kasi kubwa kiasi cha kushindwa inshu ndogo ya sukari,sasa sijui na LUGUMI ataiweza?
![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, Chadema wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
HahahahHivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa
Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
Mr hujui kasi inayozungumzwa na hawa watu. Kasi ya kurudi nyuma ndo inazungumziwa hapa sio ya kusonga mbeleAna kasi Magufuli aisee,ana kasi kubwa kiasi cha kushindwa inshu ndogo ya sukari,sasa sijui na LUGUMI ataiweza?
Hili gazeti ni nani? Naona haliachi kuandka habari za uongo lkn halifungiwi.![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, Chadema wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Hii nchi ina halmashauri ngapi na ngapi zina hati chafu na ngapi zipo chini ya CCM na Ngapi zipo chini ya UKAWA?Hati chafu halmashaur 3 nchi je?
Hivi dogo unapigwa mti nyuma nini? Mbona unajipendekeza kwa wanaume?
Umeona mimi nimeongelea wazazi wa mtu hapa? Huoni huyo anajipendekeza kwangu. Hapa tunaongelea Lowassa. Yeye inamuhusu nini mama yangu?ni vizur ukabadilika sasa kudhalilishana kwa matus sio vizur ona mnavyodhalilisha wazaz ingia jf toa mchango mzur kama huna kaa kimya umekosea sana coment yako ya kwanza tubadilike we need to gro up lugha za kuudhi si nzur
Umeona mimi nimeongelea wazazi wa mtu hapa? Huoni huyo anajipendekeza kwangu. Hapa tunaongelea Lowassa. Yeye inamuhusu nini mama yangu?
Hakuna aliyewahi kugombana na jamaa wa kigoma mjini akabaki salama.Tizama umekimbila kwenye ubunge ukaambulia za pua sasa hivi umebaki kushinda mitandaoni!Unaweza kuleta ushahidi wa hayo matokeo hapa? Au tabia yako ya uzushi ni kama ya waandishi wa hicho kipeperushi?