Magufuli awatesa CHADEMA. Wajumbe wamsulubu Mbowe

Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa

Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
Ni kawaida yenu kuponda kila anayewapa ushauri

Hata twaweza waliwaambia mtashindwa vibaya uchaguzi ,mkabisha yaliyowakuta mnajua
 
Kasi gani? Ya kufukuza watumishi?watanzania wanataka ugali Dawa Na elimu sio matangazo Leo kafukuzwa Kazi huyu au yule
 
Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa

Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
kwa kwa kwaaaaaa!😀😀😀jamani mbavu zangu
 
Hilo gazeti mnalivunjia heshima halina tofauti kwa uandishi kama lilivyo Mwanahalisi,tanzania daima,mwananchi,mtanzania,jambo leo, nipashe na mengineo......
 
13232970_1108172332580557_5805695433003178216_n.jpg

Maoni yangu.

Kwa kasi hii ya Magufuli, Chadema wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020

CHADEMA mpeni uenyekiti Dr Slaa afufue chama.
 
Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa

Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
ACT masalia...lini tunahamia Kijitonyama?
 
Ben Saa tano,kama ulishindwa ndani ya chama na kuanza kuwatetea wanywa gongo ili waendelee kuangamia ilihali wewe ubaki salama utayaweza mambo ya kitaifa?

Au nawe u mnywaji mzuri wa gongo? Hili sio taifa la gongo, vilevi kawapatie wafuasi wa Bavicha. Moto wa Magufuli sio size ya CHADEMA
 
Ishu ya sukari ni ndogo na wala haijaathiri image ya magufuli kwa kiwango kikubwa kwa wanaomkubali...
Ila Sasa, kumsafisha Fisadi Lower-sir sijui CDM itafika wapi.
Mkuu fisadi lowassa mbona bado yupo uraiani anapeta? Mtakatifu Magufuli anashindwa nini kutengeneza filamu mpya ya kumfunga Lowassa?
 
Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa

Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
These are the types of publications that should be banished from this earth and not only Tanzania. Mimi ningeshauri waandishi wote wa magazeti na magazeti yangefanyiwa mitihani na independent body kuhakikisha ufanisi Wao wa kuweza kuwa waeneza habari.

Waandishi wasiokuwa na moral obligations na ambao sio wakweli wanaweza kuteketeza Umma kwa fitna zao.

I personally don't not support these types of rumour mongers. Japokuwa sio mshabiki wa CHADEMA, nina imani ya kuwa ni chama cha kitaifa na kimefanya jitihada kubwa sana hadi kufikia walipo Leo. It's a force to recon with and a much needed one .

Tafadhali ningeshauri tusiuunge mkono waandishi mchwara , lazima tuwapige vita kulinda heshima na amani ya nchi yetu.

Kama kuna matatizo CHADEMA, watayatatua wenyewe, tusishangilia matatizo ya Ndugu zetu, hasara yao ni yetu wote.

Let's be proactive society. TANZANIAN FIRST
 
Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa

Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
Ben Saanane kwani hivi nawe upo?
 
ha ha ha!

Mengi yako hivyo kwa kweli, kibaya watanzania wengi ndio wanapenda vimambomambo kama hivyo
 
Huna jipya ushaisha kama ulishindwa kuuza hoja zako kwa wapiga kura wa rombo mpaka ukapata kura tatu haya mengine ndiyo utayaweza.
Ukisikia this person is PATHETIC, basi ni wewe. Kijana Ben amejitahidi na amejaribu, ni kijana mwenye vision na anajiamini. I may not see eye to eye with him on many issues, but I do admire him kwa kujaribu kugombania ubunge, na sio kila mtu anayejitokeza anafanikiwa mara ya kwanza.

JEE WEWE LIPID LA MAANA ULIOFANYIKA???

NDUGU BEN WATU KAMA HAWA WASIKUNJE NIA HAT SIKU MOJA, NEXT ELECTION PIA GOMBEA EVENTUALLY UTASHINDA .
 
Ben Saa tano,kama ulishindwa ndani ya chama na kuanza kuwatetea wanywa gongo ili waendelee kuangamia ilihali wewe ubaki salama utayaweza mambo ya kitaifa? Au nawe u mnywaji mzuri wa gongo?

Hili sio taifa la gongo, vilevi kawapatie wafuasi wa Bavicha. Moto wa Magufuli sio size ya CDM

CHADEMA ni chama kilinganishe na chama. Magufuli ni mtu mlinganishe na watu. Pili mambo ya pombe yaunganishe na mambo ya pombe. Kunakitu kinaitwa Kitwanga Lager nk. Kila linapokuja suala la kutaja chama haraka mnakwepa kutaja CCM na mnakimbilia kutaja Magufuli.

Ina maana CCM imefutika na nafasi yake imechukuliwa na Magufuli?
 
13232970_1108172332580557_5805695433003178216_n.jpg

Maoni yangu.

Kwa kasi hii ya Magufuli, Chadema wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020

Kuna watu ambao ingekuwa amri wangepiga marufuku upinzani na kurudia Chama kimoja lakini kwa bahati mbaya haiwezekani.

Kwa kasi ya Magufuli tusingetegemea "good riddance" ya kusubiri mtu alewe ndio umsukume.Binafsi nilitegemea Kitwanga awe nje mapema kabisa na hii ingempa fursa ya kumrudisha rafiki yake baada ya uchunguzi (angeweza ku temper na uchunguzi na hata ku declare kuwa hahusiki then akamrudisha).

Kwa kasi hii tuligemea sukari ishuke bei haraka lakini leo nasikia watu kamati ya usalama imevamia kwanda mwishoni imekuja gundulika kuwa sukari iliyokamatwa bado ilikuwa kwenye production line.

Mkapa aliharibu awamu ya pili lakini alinyoosha nchi bila kuvamia/ kushtukiza, kwa nini Magu asiombe ushauri? Kimya kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom