Hebu weka kilichoandikwa huko ndani usije kukuta ni kama Uwazi headline inasoma 'mauwaji ya kutisha' ukisoma ndani ukisoma ndani unakufa ni kuku zilichinjwa nyingi ktk narudi ya mchepuko wa jamaa![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Unatuletea kigazeti cha udaku ambacho ni cha kufungia maandazi![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Kwani wewe hujapata taarifa kuhusu mzee mzima kutokwa na haja kubwa?ni vizur ukabadilika sasa kudhalilishana kwa matus sio vizur ona mnavyodhalilisha wazaz ingia jf toa mchango mzur kama huna kaa kimya umekosea sana coment yako ya kwanza tubadilike we need to gro up lugha za kuudhi si nzur
Kwani wewe hujapata taarifa kuhusu mzee mzima kutokwa na haja kubwa?
Kwani ulilazimishwa kusoma hilo gazeti? Tuachie wenyewe we we size yako in Uhuru,Mzalendo,Habari Leo na TBC 1Hivi Hiki kijigazeti bado kipo ?Niliwahi kujuta hela yangu niliyotoa kukinunua.Hakina maana kabisa.
Unakuta Ukurasa wa Kwanza kinaanza na headline kali kama hii ila ukikisoma ni majungu matupu.Ukurasa wa Pili unakutana na Makala kuhusu Elimu ya Nyota ,Unajimu na jinsi ya kumuita au kuishi na jini,Ukurasa wa 3 na 4 unakuta makala ndefu juu ya Freemason na alama za Illuminati,Ukurasa wa Tano Tangazo la Mganga wa Kienyeji kutoka Sumbawanga anayetibu Kisukari,Mvuto wa mapenzi,Pesa za majini,Kujiunga Freemason,Akili za Darasani,kupandishwa cheo kazini ,kuepuka kutumbuliwa jipu na dawa ya kumsahaulisha anayekudai halafu Ukurasa wa Sita Michezo unakutana na makala jinsi Mourinho alivyowahi kuoa jini.
![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Mtasema AISEEE! Maguli Aisesee ! mungu mkubwa kila kukicha UKIWA KWA UKAWA!Kweli aisee, Magufuli amesha shindwa mchana kweupee!!!!
Ben kawashika panapotumikaga ee,vijana wa lumumba mmeharibiwa kwa sababu ya tamaaHuna jipya ushaisha kama ulishindwa kuuza hoja zako kwa wapiga kura wa rombo mpaka ukapata kura tatu haya mengine ndiyo utayaweza.
![]()
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Kama mama yako wakati unazaliwaKwani wewe hujapata taarifa kuhusu mzee mzima kutokwa na haja kubwa?
Hakuna aliyewahi kugombana na jamaa wa kigoma mjini akabaki salama.Tizama umekimbila kwenye ubunge ukaambulia za pua sasa hivi umebaki kushinda mitandaoni!
Ndivyo hali inavyobashiri mkuu..probably bado anawavutia pumzi huku akipiga hesabu zakemagufuli,ndio alye kuambia hayo?
Sasa kati ya wewe na ZZK who is a loser kwa sasa?Nilidhani ungesema mimi nilivuliwa uanachama na yeye akaendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu na kubaki ndani ya chama au zaidi ya hapo.