Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Ni kweli
Hapo ni maslahi mapana kama ya kiuchumi na biashara.
Ikumbukwe Taiwan ni rafiki wa USA kwa ajili ya China lakini kwa mataifa mengi hata kama uliekuwa humtaki akashinda bado utampa hongera kwa kutegemea uhusiano mzuri.

Kwa mfano Marine le pen wa ufaransa alipogombea uraisi France, trump alimsapoti.
Lakini alipogaragazwa na Macron
Trump alienda na kumuunga mkono kwa ushindi.
Ni siasa za nchi inalazimu iwe hivyo
Kumbuka Trump nchi yake SI na haikuwa ni moja ya jumuia za EU. Kama ingekuwa ni mmoja wa VIONGOZI wa nchi ya jumuia ya EU ingeleta shida kubwa sana.
Ila wenzetu ni wastaarabu. Hawawezi kupingana katika JUMUIA MOJA. Hiyo ndo Rais Magufuli alizingatia sana. Umoja wa EAC.
 
Eti tena unazuia chakula walicholima watu bila msaada wa serikali wasipeleke huko ili tuu njaa iwaue na waichukie serikali yao? Halafu tunasema kuna watu wana roho mbaya mleta mada analeta blabla zake!
Lazima tukubaliane kuwa njia zilizotumika kumfanyia kampeni rafiki hazikuwa halali kwani zilikuwa za kificho na zenye madhara kwa jamii ya kule. Alishindwa nini kuweka wazi maoni yake? Na tujue kuwa UK anaujua vizuri sana unafiki huu na tusubiri lazima kutakuwa na kuhenyeshana kiuchumi.
Hayo ni mawazo yako na si ya Uhuru na serikali yake. Sidhani baada ya kutambuliwa na KUPONGEZWA haraka na Magufuli, atakuwa bado na hofu.

Raila ndo alikuwa akitumia VIBAYA
URAFIKI wake na Magufuli katika kudanganya WAFUASI wake huko kenya kuwa Tanzania itamsaidia na INGEINGILIA kati kama Raila ANGESHINDWA. uchaguzi Na huo wote ilikuwa ni UONGO.

Na tabia ya Magufuli ni MOJA ukiwa Mwongo hata kama wewe ni nani yake MTAKOSANA tu. UKWELI aliudhika sana in dragging Tanzania into Kenya's internal affairs/Kuiburura Tanzania kwa mambo ya binafsi ili tu mtu awe RAIS.
Hiyo hakuikubali.
 
Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.

Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.

Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.

Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONGANISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.

Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Protokali na
Diplomasia.

Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.

Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.

Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.

ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing board/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Huna hoja kadake zako ukapimwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna mtu watz wangetakiwa wamshukuru ni Lowassa kama angekuwa na akili kama za odinga wengine tungebaki story big up Lowassa
Kwani ni nini cha maana amekifanya ili kuonyesha kuwa ana akili nyingi?
 
Naona Odinga anakuja Mapumzikoni Chattle baada ya kusababisha watu 24 akiwemo mtoto wa miaka 10 kuuawa kwenye fujo alizoziasisi Rafiki Mpenda sana wa JPM .Shame on CCM
Tetty huyo rafiki yako amefika huko ulikokuwa unasema. Je amefika mapumzikoni ama ilikuwa ni utani tu?
 
Watu wengine bana...cha ajabi ni kipi kwa mh rais wetu kumpongeza Kenyatta Hata kama hawapendani?? Kwani nani hajui Kenyatta na magufuli kua wanatofautiana na why hivyo inafahamika?? Wala hiyo haikua agenda kubwa ni kwamba magufuli na ccm walikua wanamsaport raila na lowasjubelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaleta ushahidi wa hiyo support ya CCM. Umeikosa sivyo mkuu?
 
Eti ana CHUKI- Na nani?
WIVU- Nani kamuonea WIVU?
FITINA- Alimfitinisha NANI na nani?
Hana UPENDO kwa Watazania wenye kitu kidogo. -Nani TAJIRI aliye rafiki yake mkubwa na ni LINI aliwachukia watu WANYONGE?
Sisemi yeye ni Malaika lakini hayo uliyoyasema UMEMWEKELEA na ni UONGO.
La sivyo DHIBITISHA!
USUKUMA wake na UTAWALA wake VINAINGILIA WAPI kama si comments zilizojaa UKABILA?
Chakaza. Nilingoja majibu yangu ya maswali niyokuuliza. Naona mkuu huna nushahidi.
 
Nipe Rejea ya kauli ya CCM kuhusu hilo.
Mimi nazungumza kibinafsi. Nasizungumzii kwa NIABA ya CCM.

Nachojua kabla ya uchaguzi, mgombea Raila Odinga alikuja Tanzania akapokewa na Magufuli akaomba amuunge mkono.

KENYATTA HAJAFANYA HIVYO.

cdm walimkatalia wazi Raila Odinga kwa madai kua hakuwaunga mkono kipindi cha uchaguzi uliopita alijiunga na adui yao kisiasa(yaani Maagufuli), hivyo na wao kama chama hawatamuunga mkono badala yake watamuunga mkono Kenyatta.

Odinga akasema "Lowasa in rafiki yake pia anamuomba amuunge mkono kama rafiki yake Magufuli anavyofanya.

Hatukusikia kauli ya lowasa ikijibu swala hili.!

Bali lowasa alipokwenda Kenya akaenda kuonyesha wazi yeye yupo bega kwa bega na Kenyatta.action is louder.

Kenyatta aliposhinda ; cdm wakawa wakwanza kumpongeza kwa ushindi wake. Vilevile lowasa akampongeza Kenyatta.
Na Magufuli akampongeza Kenyatta pia.

Thats all I know.

Tathmini yangu;-

inanionyesha kua kama Odinga angeshinda basi Magufuli angefarijika zaidi. Kwakua Odinga in rafiki yake kama alivyo kagame.

Na upande wa pili kama Odinga angeshinda Lowasa na CDM wangehuzunishwa na matokeo yale. Ingekua Pigo kwa CDM na Lowassa kwa ujumla.

Kuhusu CCM kufurahishwa ama kutofurahishwa sina LA kueleza kwasababu ...may be kwakua Magufuli ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.
Na yeye alimuunga mkono Raila.

Na sijasikia kile CCM wametamka kama Chama so far..

Bali pongezi za Magufuli kwa Kenyatta, nazichukulia zaidi kama sehemu ya Protocol (itifaki za kimataifa kuliko personal issue). Yaani ni kawaida Rais kutoa pongezi kama nchi zenye uhusiano wa kidiplomasia na umoja wa afrika mashariki.
Tukizingatia kua Kenya ni sovereign state.INA haki kujiamulia mambo yake na ikaheshimiwa kimataifa

mkuu hizo point zako zimeingia sawa sawa. Nakubaliana nawe kabisaaa.!
 
Tetty huyo rafiki yako amefika huko ulikokuwa unasema. Je amefika mapumzikoni ama ilikuwa ni utani tu?

Heh,ameshakuwa rafiki yangu tena?Rafiki ya Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia awe Rafiki yangu jamani mbona unanionea?
 
Hapo ni kweli. Kila mtu ni mdau katika nchi na ndiyo maana tujenge taifa letu huku tukiepuka siasa za kutugawanya. Maana hatuna nchi nyingine isipokuwa hii.

Hakika.Msema ukweli mpenzi wa Mungu tungekuwa watanzania 100,000 kama wewe tusingekubali kugawanywa na punguani wa aina yeyote,lakini ndiyo hivyo tena hata matumbo yetu yameamua kutugawanya!Ni shida tukija kushtuka ni Kaburini
 
UKIMYA na uvuguvugu nao unasaidia. Badala ya maneno kibao. Ama vipi mkuu?

Ukimya wetu umewafanya wanasiasa wetu waendelee kutunyonya ,kutuibia,kututukana,kutudhalilisha na kutujengea uhasama miongoni mwetu na bado tumeendelea kunyamaza kama mazuzu
 
Marehemu CHADEMA. Tulimfahamu vizuri alipigania sana maslahi ya nchi. kwa bahati mbaya akawa acquired na kampuni iitwayo Lowassa & co Ltd, mambo yakabadilika ghafla. Amefariki vibaya sana jamani. RIP
 
Ukimya wetu umewafanya wanasiasa wetu waendelee kutunyonya ,kutuibia,kututukana,kutudhalilisha na kutujengea uhasama miongoni mwetu na bado tumeendelea kunyamaza kama mazuzu
By the way una point. KUNYAMAZA wakati una onaona kuna maonevu hiyo siungi mkono.
Nakubaliana nawe kuwa UOGA na kutojiamini ndo tatizo la wengi wetu. Na hata mimi nasema NO!
 
Back
Top Bottom