- Thread starter
- #381
Tatizo kubwa tulilokuwa nalo kwa Muda mrefu ni KUKOSA ELIMU. Hata sasa unapoona mara huyu anapinga hiki na anataka kujua hiki na kile ni kwa sababu wengi sasa MASOMO /ELIMU wanazidi kupata.Hakika.Msema ukweli mpenzi wa Mungu tungekuwa watanzania 100,000 kama wewe tusingekubali kugawanywa na punguani wa aina yeyote,lakini ndiyo hivyo tena hata matumbo yetu yameamua kutugawanya!Ni shida tukija kushtuka ni Kaburini
Na mtu MSOMI always ni Critical thinker anataka ku analyze mambo, Kuliza mambo kwa undani SI kwamba ANAPINGA bali anataka APATE JIBU.
Huwezi kumdanganya na kumwonyesha gari nyekundu na umwambie sema rangi yake ni NYEUPE ama KIJANI akakubali. Msomi atakujibu Acha mchezo naona a RED CAR.
Na asiye na elimu atasema ni KWELI HAIKO MBALI SANA NA rangi NYEUPE.
Pole pole Elimu inatuingia Watanzania. Ama unaonaje mkuu si ni kweli?