Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Duu kama ccm inategemea watu kama mleta hii mada ni balaa, bora waendelee kuharibu elimu yetu ili wajinga waongezeke tu.
Kindly tupe CV yako japo kidogo tu. TUBADILISHANE unaonaje si itakuwa ni bora sana?
Ili USININUNIE bure. Mkuu maana naona UMESOMA sana sana. Wengine tunahitaji ELIMU
What a CRAP comment!!
 
matokeo ya mwanafunzi wa engineering kugeuzwa condom za kipropaganda ndo haya, sasa Drawing Table ndo nn?
 
matokeo ya mwanafunzi wa engineering kugeuzwa condom za kipropaganda ndo haya, sasa Drawing Table ndo nn?
Muulize mwalimu wako. Hope atakujibu ipasavyo. Badala ya kudharau watu mkuu.
 
Muulize mwalimu wako. Hope atakujibu ipasavyo. Badala ya kudharau watu mkuu.
hata hivi unavyojibu naendelea kukudharau, hulali usiku kucha kueneza propaganda za kijinga. embu kasome tena ulichoandika juu pale. fikiria vyeti vyako. sahv ulitakiwa unawaza kuanzisha kiwanda, ni bahati mbaya sana
 
Magufuli kumuunga mkono Raila siyo siri, na Rais wa Tanzania kupongeza ushindi wa Uhuru Kenyata si jambo la ajabu, apende asipende.

Sasa wewe gazeti looooooote umeeleza nn sasa hapo.

kama siyo kutafuta justification ya buku 7. tumieni elimu zenu kujiendeleza wajinga nyie
 
Poor
Poor idea
To a NAIVE person like you it could be so as explained by you.
But to an informed person with insight. It's something worthy noting.
Usiku mwema.
 
Yaache tu maombi yangu yasijibiwe wewe songa mbele na kiongozi wako,na mungu wako,anayekujibu ukimuombea akidhihaki watu,akitoa lugha za kuudhi kwa umma !.Mimi inakuhusu nini,nisipojibiwa ? Unajiona wewe kwakua mnakingwa na amri toka juu kwahiyo unanipangia mpaka niombeje,na nimuombee nani,unanichagulia na mungu kabisa ! Hayo maombi yako,yasiyo maovu,mlishindwa nini kumuombea,mpaka mkamuita TB Joshua ? Na wapi ulituonyesha kuaTB alimuombea ? Si TB aliona kuna walakini,na akawaacha na yenu ?Kama wewe unajiona una Mungu na mimi nina mungu.sasa mbona kila leo nchini ni vilio na wewe unamuombea kiongozi wako? Unalo linalo kusibu,ila sio ombi langu.manake nyie mtu asipowasifia au kua upande wenu,ama mumshushe ruvu,mumteke,akisalimika sana macho,kucha,na meno atakua hana.Mimi sina hata kibanda wala akiba na umaskini tunaotakiwa na magufuli tu uishi kama shetani,sijafikia.ila mkini ua haitakua hasara.manake nimeona lengo lako,mpaka kumiliki niombavyo,wewe sio wa kawaida.Mungu ujuaye kila nia ya uliye muumba,mtu huyu umemsikia na umemuona akijipiga kifua kwa akujuavyo na akuombavyo.nihurumie Mimi aliyeniona nikiomba miungu,ili umbariki yeye aliyejivuna.asante kwakua sijakuomba hata siku nisione au kusikia nilicho omba kimeonyesha matokeo.na hili nalo lionyeshe matokeo kama ilivyokua kwe yaliyopita japo mtu huyu haamini kuwa unanijibu.asante naamini nakutizamia,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joyce. Hukunielewa kabisa. Ninachosema ni kuwa Maombi ya kumwombea MABAYA hata kama ni ADUI yako Mungu wa kweli wa Mbinguni huwa HAJIBU.

Jibu lake na kwanza unapomwombea MABAYA YAMTOKEE, yeye husema
"SAMEHENI na ADUI zenu na WAOMBEENI wale WANAOWAUDHI"
Kitabu kitakatifu Biblia kinasema?

"Wapendwa MSILIPIZE BAYA kwa BAYA"
Katika kitabu cha WARUMI 13:1- "Ombeeni walio katika UTAWALA maana ......Hakuna MAMLAKA yeyote ISIYOTOKA kwa Mungu Na iliyopo IMETOKA kwa Mungu. NA yeye AIASIYE basi HUJILETEA HUKUMU yeye mwenyewe......"

Je Unataka kuwa na AMANI?
Basi MUOMBEE MAGUFULI. Na UTAWALA wake maana ni Mungu ALIYEMPATIA.
Hakutupatia RAIS Malaika.
Maana Rais Magufuli kama ilivyo kwa binadamu kama mimi na wewe ana MAPUNGUFU yake mengi tu.

Lakini tusibakie kwenye MAPUNGUFU yake bali tuangalie pia UPANDE MWINGINE wa SARAFU. Yaani wa wa MAZURI yake utakuta MAZURI yake ni MENGI sana kuliko MAPUNGUFU yake.

Mkosoe kwa heshima na toa SULUHISHO MBADALA naamini atalipokea. Juzi niliandika UZI kuhusu UMASKINI unaouzungumzia kuwa Tanzania tuna Maskini wengi millioni 21.2 ambayo ni aslimia37.1% ya Watanzania. HAO ni WALE ALIOWARITHI alipoingia MADARAKANI na namna tunavyoweza kuuondoa.

Hilo hilo ndo Magufuli amekuwa akilizungumzia kuwa LINAMUUMIZA sana kuona watu wakiteseka vijijini.
Na pole pole TUTATOKA hii ni katika KUKUMBUSHANA tu.

Kwa hiyo hata hilo ombi lako kwamba tutoke katika umaskini serikali ya Magufuli ndo moja VIPAUMBELE vyake hilo Mungu ATALIJIBU.
Lakini si la KUMWOMBEA mabaya.
Biblia INATAAA!
 
Magufuli kumuunga mkono Raila siyo siri, na Rais wa Tanzania kupongeza ushindi wa Uhuru Kenyata si jambo la ajabu, apende asipende.

Sasa wewe gazeti looooooote umeeleza nn sasa hapo.

kama siyo kutafuta justification ya buku 7. tumieni elimu zenu kujiendeleza wajinga nyie
Does it really matter. You are so naive hata huelewi ni nini unachozungumzia.
Jstification for WHAT?
Lugha na usemi wako unaonyesha you are full of pride and hate, Bitterness etc.
My EDUCATION has got nothing to do with my conviction na jinsi ninavyoona. Hata Hivyo why should I show off my CV? Hata hao unaowadharau nao walisoma kiwango chao na wanahaki ya kuchania mawazo.

Kindly Mr EDUCATED keep your jingoism to yourself none is interested to hear your achievement. This not the right platform for that. HAPA ni kuchangia mawazo and NOT to INSULT or DEMEAN anybody.

Unapomwita mtu" WAJINGA NYIE" Tamko hilo hutoka MIDOMONI mwa mtu ASIYE na ELIMU. And I am afraid you could be ONE OF THEM. Go BACK TO SCHOOLand learn 1 2 3 na pengine learn communication SKILLS.
I pity you sir/ Madam
 
Back
Top Bottom