Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Mimi niko NEUTRAL/KATIKATI
Sitaki kuingilia masuala ya nchi zingine. Yangu ni kuchambua tu na kuwaacha waamuzi wachangie maoni mbali mbali.

HAta kwenye biblia imeandikwa either uwe Moto au Baridi na si vuguvugu.
 
Watu wameangalia pia urefu wa maelezo aliyoyatoa akimpongeza Kagame kuchaguliwa Raisi vis-a-vis ufupi wa maelezo akimpongeza Kenyatta kuchaguliwa Raisi.
Wanadai kuna Tatizo kati yao... Ili unalionaje..?

Na madai kua magu anahangaika na kila lowasa analotaka kufanya badala ya kuongoza nchi unalichukuliaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mtazamo wangu. PONGEZI ni PONGENZI. Kwa kuwa walioshituka Magufuli kutuma pongezi zake nawashangaa sana.
Acha pongezi ya kupitia tweeter. Ni fupi kiasi lakini ya KISERIKALI/Official ni ndefu ya kutosha. Watu wengine bhana wanataka tu kuazisha masababu yasiyo na msingi.
Kwani walikuwa wanataka aandike SHAIRI?

Katika madai ya Magufuli kuhangaika na Lowassa na KUKOSESHA usingizi hata halimo. Wala HAHANGAIKI na Lowassa badala ya NCHI.

Yeye anaongoza nchi na kama kawaida Mwanasiasa kama yeye MONITORING him is important
Maana Lowassa ana UCHUNGU.

Naamini Hilo hata halimsumbui. Yeye ni kuhakikisha nchi intimiza ndoto alizowaahidi watanzania. Mambo mengine tuziachie taasisi husika na mambo kama yake.
 
Na hakukuwa na MCHORO wowote woga tu wa JPM,na uoga unatokana na kuwa na inferiority complex.Abadilike.Hakuna Mchoro wowote.Huna haja ya kunifariji sihitaji kufarijiwa sababu naujua ukweli na ninauishi ukweli.Mimi siyo mnafiki,ikija kuita SPADE a SPADE nitaiita hivyo na si kijiko kikubwa.Pole
OK. Basi tukubaliane kutokukubaliana/ Let us agree to disagree. After all hizi ni siasa tu na kuchambua. Basi nimeelewa huhitaji faraja maana wewe si muhusika.
 
Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.

Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.

Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.

Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONGANISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.

Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Protokali na
Diplomasia.

Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.

Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.

Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.

ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing board/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Kwa kuwa hujui undani wa political usigonge meza kwa nguvu saana kama wale majamaa wa ndiyoooo ,kisha uje ubaki na masikitiko,,[emoji28][emoji28]

Ukiwa mjinga haimaanishi lazima wote wawe wajinga,unajua nini kinaendelea kati ya Nchi hizi mbili?kuanzia wakati wa Uchaguzi wa Tz na hata uchaguzi wa Kny unajua wakati wa kampeni za Kenya ilikuwaje?akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa!

Mathias jaribu kupanga sentensi zako ama mtiririko wa kile unachotaka kuniambia. Kama mimi ni mjinga then be specific kwamba "Mimi ni mjinga"
Beating around the bush hatakusaidia maana HUELEWEKI.

Mara unaniliza kama nininajua nini kinachoendelea kati ya nchi hizi mbili.
Je Nikikujibu kuwa NINAJUA zaidi ya jinsi unavyofiria utajibu nini?
Niishie hapo.

Acha nichukue neno moja toka kwako kuwa
"Mimi ni mjinga"
Na wewe ni MWELEVU.
That would put your perception towards me to rest. Ahsante mkuu.
Nayaheshimu mawazo hata kama sikubaliani nawe.
FANYA KAZI kwa bidii.
 
Kwa kuwa hujui undani wa political usigonge meza kwa nguvu saana kama wale majamaa wa ndiyoooo ,kisha uje ubaki na masikitiko,,[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nikujibu katika ujinga wangu ili nikutayarishe kisaikolojia.
Kuna UWEZEKANO wa Lowassa KUALIKWA PIA katika sherehe za KUAPISHWA kwa Uhuru Kenyatta.
Hii ITATEGEMEA WASHAURI wa Uhuru Kenyatta na uamuzi wake maana alimuunga mkono. Hilo halitakuwa ni AJABU sana na wala HALITAMSHANGAZA rais MAGUFULI.

Maana hata yeye aliwakaribisha wote wawili UHURU na Ondinga wakati wa KUAPISHWA kwake maana Lowassa ni kiongozi wa upinzani.
Katika ujinga wangu acha niishie hapo . Siku njema.
 
OK. Basi tukubaliane kutokukubaliana/ Let us agree to disagree. After all hizi ni siasa tu na kuchambua. Basi nimeelewa huhitaji faraja maana wewe si muhusika.

Cha msingi Tanzania yetu sote,hakuna mwenye haki juu ya Tanzania
 
Katika mtazamo wangu. PONGEZI ni PONGENZI. Kwa kuwa walioshituka Magufuli kutuma pongezi zake nawashangaa sana.
Acha pongezi ya kupitia tweeter. Ni fupi kiasi lakini ya KISERIKALI/Official ni ndefu ya kutosha. Watu wengine bhana wanataka tu kuazisha masababu yasiyo na msingi.
Kwani walikuwa wanataka aandike SHAIRI?

Katika madai ya Magufuli kuhangaika na Lowassa na KUKOSESHA usingizi hata halimo. Wala HAHANGAIKI na Lowassa badala ya NCHI.

Yeye anaongoza nchi na kama kawaida Mwanasiasa kama yeye MONITORING him is important
Maana Lowassa ana UCHUNGU.

Naamini Hilo hata halimsumbui. Yeye ni kuhakikisha nchi intimiza ndoto alizowaahidi watanzania. Mambo mengine tuziachie taasisi husika na mambo kama yake.
Pia kwa upande mwingine pia cdm tangu mwanzo walitangaza kutokumuunga mkono Odinga. Kwa maana hiyo ushindi wa Kenyatta umewapa furaha.
Na lowasa kwenda kwenye kampeni ya Kenyatta ninkiashiria kua alikua anamkubali mgombea Huyo zaidi.
Hii unalizungumziaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kwa upande mwingine pia cdm tangu mwanzo walitangaza kutokumuunga mkono Odinga. Kwa maana hiyo ushindi wa Kenyatta umewapa furaha.
Na lowasa kwenda kwenye kampeni ya Kenyatta ninkiashiria kua alikua anamkubali mgombea Huyo zaidi.
Hii unalizungumziaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe Rejea ya kauli ya CCM kuhusu hilo.
Mimi nazungumza kibinafsi. Nasizungumzii kwa NIABA ya CCM.
 
Kwenye Taifa lazima uwe na msimamo mmoja either moto au baridi na si vuguvugu.
UKIMYA na uvuguvugu nao unasaidia. Badala ya maneno kibao. Ama vipi mkuu?
 
Cha msingi Tanzania yetu sote,hakuna mwenye haki juu ya Tanzania
Hapo ni kweli. Kila mtu ni mdau katika nchi na ndiyo maana tujenge taifa letu huku tukiepuka siasa za kutugawanya. Maana hatuna nchi nyingine isipokuwa hii.
 
Back
Top Bottom