- Thread starter
- #281
Naona wasioelewa nao ni wengi ama sivyo?kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?
Naona wasioelewa nao ni wengi ama sivyo?kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?
By the way drawing BOARD/ TABLE are synonymous words. Inategemea na uelewa.Jaribu kuwa at least na LUGHA nzuri. Itakupa heshima. Neno "CONDOM" Linahusikanaje na mjadala? Think before you post anything.
Najua hilo sana. Ila asiyejua Maana haambiwi maana. Whether useme huu uzi ni wa kijinga.
By the way drawing BOARD/ TABLE are synonymous words. Inategemea na uelewa.
Mkuu. Kuna chama Makinikia? Basi tunaongea toka KURASA tofauti. Maana mimi hicho cha Makinikia SIKIFAHAMU. Kilianza lini?Wakati mwingine UVCCM acheni uongo na nongwa.Kama Lowassa na Chadema walimsupport Kenyatta kwa uawazi bila kificho,tofauti na Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia aliyefanya Kampeni kwa siri kwa kuwahujumu wa Kenya.Ujinga mwingine malizieni Lumumba
Wakati mimi natoa mawazo yangu binafsi na si ya Chama.Naona Odinga anakuja Mapumzikoni Chattle baada ya kusababisha watu 24 akiwemo mtoto wa miaka 10 kuuawa kwenye fujo alizoziasisi Rafiki Mpenda sana wa JPM .Shame on CCM
Acha NIKUSAIDIE ili nikudokezee tu japo kidogo.Wakati mwingine UVCCM acheni uongo na nongwa.Kama Lowassa na Chadema walimsupport Kenyatta kwa uawazi bila kificho,tofauti na Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia aliyefanya Kampeni kwa siri kwa kuwahujumu wa Kenya.Ujinga mwingine malizieni Lumumba
Una maana gani kusema hivyo?
Basi hebu fafanua.Sijasema....nimeuliza.
Huyo jamaa nafikiri ulimwelimisha. Kama ni mtu wa kuelewa.Mtamsoma Rais Magufuli kama bado kwamba Taifa kwanza urafiki baadaye. Na hilo anakitekekeza kwa maneno na vitendo. Mifano iko mingi kuthibitisha hilo, toka alipomtumbua rafiki yake hadi kuwatetemesha wawekezaji fisadi.
Endeleeni kufukuza kivuli chake.
By the way nani hugawa 7000?Toka kwa nani?
Unasema uongo. Sikusikia CCM wakisema wanasapoti upande fulani. Aliyesema ni chama cha CHADEMA. Na iko kwenye rekodi. Usijaribu kupinda pinda. Sema mchoro umeharibika.Watu wengine bana...cha ajabi ni kipi kwa mh rais wetu kumpongeza Kenyatta Hata kama hawapendani?? Kwani nani hajui Kenyatta na magufuli kua wanatofautiana na why hivyo inafahamika?? Wala hiyo haikua agenda kubwa ni kwamba magufuli na ccm walikua wanamsaport raila na lowasa na chadema wanaisuport jubelee na uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo kusemaje?Kumbe ujinga ni ugonjwa wa kuambukiza, maana magamba wrote naona mnaumwa huo ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ulinielewa. Nashukuru. Maana hujajibu.Watu wengine bana...cha ajabi ni kipi kwa mh rais wetu kumpongeza Kenyatta Hata kama hawapendani?? Kwani nani hajui Kenyatta na magufuli kua wanatofautiana na why hivyo inafahamika?? Wala hiyo haikua agenda kubwa ni kwamba magufuli na ccm walikua wanamsaport raila na lowasa na chadema wanaisuport jubelee na uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyu msukuma ataendelea kupoteza muda kushindana na Lowassa badala ya kubuni mbinu za kujenga hivyo viwanda basi miaka mitano itapita hivihivi na atashangaa 2020 akiulizwa viwanda anajibu Nilikuwa nashughulikia Lowassa.Magufuli kawafunga Ten Nil. Mabao 10 kwa bila.
Msemo wa kisiasa:
" In Politics there is neither a permanent FRIEND nor permanent ENEMY but PERMANENT interests"/
"Katika sisa kamna RAFIKI wa KUDUMU ama ADUI wa kudumu. Bali MSALAHI ya KUDUMU".
Ni nini Kenya itapata toka Lowassa as far as politics is concerned.
Hasa baada ya ngoma ya kali Magufuli?
Eti ana CHUKI- Na nani?Kama huyu msukuma ataendelea kupoteza muda kushindana na Lowassa badala ya kubuni mbinu za kujenga hivyo viwanda basi miaka mitano itapita hivihivi na atashangaa 2020 akiulizwa viwanda anajibu Nilikuwa nashughulikia Lowassa.
Ajue wazi tunamtosa kwa idadi kubwa ya kura hata Lubuva au jecha kuiba hawataweza. Ile ngekewa ya 2015 ya kuokota embe dodo chini ya mnazi asidhani ipo kila mwaka na hasa wakati huu ambao ameshtukiwa kuwa ni mwenye chuki, wivu, fitina na hana upendo na Watanzania wenye kitu kidogo