Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Rais yeyote anaposhinda uchaguzi hata kama alikuwa anapondwa wakati wa uchaguzi pindi anaposhinda maraisi wengine hawana budi kumpongeza ili kuleta uhusiano mzuri baina yao.
Mkuu Black sniper, hii INATEGEMEA na UHUSIANO kati ya nchi na nchi.
Ndo maana nchi kama TAIWAN nchi zingine ili KUIFURAHISHA China HAZIITAMBUI.
 
Pongezi za Magufuli kwa Kenyata ni pongezi za Kenyata pamoja na wote waliochangia ushindi wa Kenyata ikiwa ni pamoja na CHADEMA ambao hawakuishia kumuunga mkono Kenyata peke yake bali walishirika mpaka kwenye kampeni zake kuhakikisha Kenyata anashinda.
ELEZEA ushindi wa Kenyatta na MCHANGO wa Lowassa.
 
Nachojua Lowassa hakumuunga mkono Uhuru Kenyatta akiwakilisha Chadema. Ikumbukwe Lowassa ni kiongozi wa mila ya masai wa Tanzania na Kenya. Ukizingatia ukabila unavyotamalaki ktk chaguzi, huu ulikuwa ni mkakati maalumu wa kkuongeza kura za Wakikuyu kwa msaada wa Masai. Ndiyo maana alipandishwa jukwaani na vazi la kimila. Tunachoweza kumlaumu amesaidia kuendelea ukabila Kenya.
Kwa hiyo tukubali Lowassa ana UKABILA sivyo?
 
Ila we jamaa hamnazo[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwaio ulidhani Ao Chadema waliyegemea magufuli asitume salaam kwa mteule mwenzie ndan ya Africa Mashariki!![emoji2] kumsapport uhuru sidhani kama nikigezo eti ionekane jamaa hampend uhuru, wamesupport coz uhuru nimiongon mwa viongoz africa walojitaidi kwene swala la demokrasia thus all.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na ufahamu wako.
 
Mkuu Black sniper, hii INATEGEMEA na UHUSIANO kati ya nchi na nchi.
Ndo maana nchi kama TAIWAN nchi zingine ili KUIFURAHISHA China HAZIITAMBUI.
Ni kweli
Hapo ni maslahi mapana kama ya kiuchumi na biashara.
Ikumbukwe Taiwan ni rafiki wa USA kwa ajili ya China lakini kwa mataifa mengi hata kama uliekuwa humtaki akashinda bado utampa hongera kwa kutegemea uhusiano mzuri.

Kwa mfano Marine le pen wa ufaransa alipogombea uraisi France, trump alimsapoti.
Lakini alipogaragazwa na Macron
Trump alienda na kumuunga mkono kwa ushindi.
Ni siasa za nchi inalazimu iwe hivyo
 
Wakati mwingine UVCCM acheni uongo na nongwa.Kama Lowassa na Chadema walimsupport Kenyatta kwa uawazi bila kificho,tofauti na Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia aliyefanya Kampeni kwa siri kwa kuwahujumu wa Kenya.Ujinga mwingine malizieni Lumumba
Eti tena unazuia chakula walicholima watu bila msaada wa serikali wasipeleke huko ili tuu njaa iwaue na waichukie serikali yao? Halafu tunasema kuna watu wana roho mbaya mleta mada analeta blabla zake!
Lazima tukubaliane kuwa njia zilizotumika kumfanyia kampeni rafiki hazikuwa halali kwani zilikuwa za kificho na zenye madhara kwa jamii ya kule. Alishindwa nini kuweka wazi maoni yake? Na tujue kuwa UK anaujua vizuri sana unafiki huu na tusubiri lazima kutakuwa na kuhenyeshana kiuchumi.
 
Kwa hiyo tukubali Lowassa ana UKABILA sivyo?

Kwa hiyo tukubali Lowassa ana UKABILA sivyo?
Hiyo utaamua wewe, lakini kwangu Mimi kutengeneza alliance ya Maasai na Kikuyu ili Kenyatta apite ni uendelezaji wa siasa za kikabila, na kwa Lowassa si ajabu alijaribu pia 2015 Ku form alliance ya Masai na KKKT akasitukiwa.
 
Eti tena unazuia chakula walicholima watu bila msaada wa serikali wasipeleke huko ili tuu njaa iwaue na waichukie serikali yao? Halafu tunasema kuna watu wana roho mbaya mleta mada analeta blabla zake!
Lazima tukubaliane kuwa njia zilizotumika kumfanyia kampeni rafiki hazikuwa halali kwani zilikuwa za kificho na zenye madhara kwa jamii ya kule. Alishindwa nini kuweka wazi maoni yake? Na tujue kuwa UK anaujua vizuri sana unafiki huu na tusubiri lazima kutakuwa na kuhenyeshana kiuchumi.

Na bado nikakatalia wasilete na maziwa yao Arusha maana yakija yatamwagwa.Na nikapiga STOP wale waARUSHA na Kilimanjaro kutopeleka Maziwa yao kule.Kisa kampuni ya UK.Nasubiria Muzik wa UK ndugu labda mniombee samahani
 
Eti ana CHUKI- Na nani?
WIVU- Nani kamuonea WIVU?
FITINA- Alimfitinisha NANI na nani?
Hana UPENDO kwa Watazania wenye kitu kidogo. -Nani TAJIRI aliye rafiki yake mkubwa na ni LINI aliwachukia watu WANYONGE?
Sisemi yeye ni Malaika lakini hayo uliyoyasema UMEMWEKELEA na ni UONGO.
La sivyo DHIBITISHA!
USUKUMA wake na UTAWALA wake VINAINGILIA WAPI kama si comments zilizojaa UKABILA?

Kuna ile methali isemayo ukipenda CHONGO huita.............................

cc:Chakaza
 
Wakati mimi natoa mawazo yangu binafsi na si ya Chama.
SIDHANI kama CCM waliwahi kutoa TAMKO lolote kuhusu support ya Raila Odinga.
Hiyo ni ASSUMPTIONS zenu tu.

Lowassa & Co. walijitokeza WAZI WAZI kuonyesha mahali walipokuwa wameegemea huko Kenya.
Sasa maji yamewazidi unga hawajui nini wafanye.

NAJUA na usije ukashangaa Lowassa ANAWEZA KUPEWA MWALIKO kuhudhuria KUAPISHWA kwa Kenyatta kama rafiki ama chama.

Hata hivyo itategemea na WASHAURI wa Kenyatta kama ATAONA INAFAA ama LA!

Ukiamua kufanya SIASA usifanye kwa kificho fanya wazi kila mtu akuone.SIASA za Mwenyekiti wenu wa Chama Cha Makinikia ni mbovu hazifai,mwambieni afanye "scientific and calculated politics"
 
Acha NIKUSAIDIE ili nikudokezee tu japo kidogo.

MCHORO wa Lowassa ulikuwa hivi?
Kwa kuwagonganisha Hawa viongozi wa nchi hizi mbili alitegemea KUUNGWA mkono na Kenyatta kwa Hali na mali na DHATI na NGUVU zote katika uchaguzi UJAO baada ya miaka 5 nchini Tanzania.

Hiyo ILIKUWA IMEGUNDULIKA mapema sana.
Magufuli akachagua kukaa kimya kwanza.

Alipoujua MCHORO akingojea the right time ya KUUVURUGA.
Na time ilipofika juzi AKAFANIKIWA.

Nimekupa hint kidogo. Mengine jaza mwenyewe.
Kama ni ujinga wangu basi nimekusaidia.

Basi nikwambia kampeni ya Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia ndiyo iliyofanya JAMAA yake akaukosa urais.Pole sana.Hayo yote ni blah blah.Hata hiyo hongera yaweza toka kinafiki hakuna ubaya.

Ndiyo ile usiyempenda kaja.Uhuru ndiya keshafika tayari
 
Mkuu nashukuru kunielewa japo kwa shingo upande. Ni kweli Kenyatta kisha fika tayari kitini. Basi tugange yajayo. Ahsante.
 
Mkuu nashukuru kunielewa japo kwa shingo upande. Ni kweli Kenyatta kisha fika tayari kitini. Basi tugange yajayo. Ahsante.

Pole Mkuu Nimefurahia sana UHURU KENYATA kushinda tena sana maana balaa lake kama Rafiki ya Jamaa angeupata tungeipata fresh
 
Back
Top Bottom