Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Ukiamua kufanya SIASA usifanye kwa kificho fanya wazi kila mtu akuone.SIASA za Mwenyekiti wenu wa Chama Cha Makinikia ni mbovu hazifai,mwambieni afanye "scientific and calculated politics"
Well. Acha nichukue kuwa Chama cha Makinikia ndo CCM? Basi kama ni hivyo.

Basi mwenyekiti amefanya kile tunachokiita STEALTH CALCULATED MOVE on CHADEMA na Lowassa.

Maana He caught them OFF GUARD. Magufuli sasa ameijua sanaa ya siasa as if alisomea Political science.
Ni MNOMA sana sasa.
UKIPITIA huku ANATOKEA huku.
Kwa ujumla tumpongeze maana AMEVURUGA MECHI.
 
Kuna ile methali isemayo ukipenda CHONGO huita.............................

cc:Chakaza
Kama ungenijibu japo kwa kifupi katika hayo maswali yangu ningefurahi. Kuliko kunipa methali.
 
Hiyo utaamua wewe, lakini kwangu Mimi kutengeneza alliance ya Maasai na Kikuyu ili Kenyatta apite ni uendelezaji wa siasa za kikabila, na kwa Lowassa si ajabu alijaribu pia 2013 Ku form alliance ya Masai na KKKT akasitukiwa.
Naunga mkono hoja yako ina mashiko. Ahsante.
 
Pole Mkuu Nimefurahia sana UHURU KENYATA kushinda tena sana maana balaa lake kama Rafiki ya Jamaa angeupata tungeipata fresh
Anyway Wakenya wameamua na wanajua sababu yao ya kumpatia tena.
Kwa nini kama Odinga ANGEPITA tungeipata fresh?????
Acha nisogeze kiti changu.
 
Well. Acha nichukue kuwa Chama cha Makinikia ndo CCM? Basi kama ni hivyo.

Basi mwenyekiti amefanya kile tunachokiita STEALTH CALCULATED MOVE on CHADEMA na Lowassa.

Maana He caught them OFF GUARD. Magufuli sasa ameijua sanaa ya siasa as if alisomea Political science.
Ni MNOMA sana sasa.
UKIPITIA huku ANATOKEA huku.
Kwa ujumla tumpongeze maana AMEVURUGA MECHI.

Hahhahahahhahah hakuna cha kuvuruga mechi wala nini.Issue ameshachapia.Tunahitaji MARAIS wawe neutral kwenye CHAGUZI za nje na za Ndani unless na yeye anagombea.

JPM amechapia sana tu na amekutwa off guard pole wenye akili tumeona.Kusema hongera ni protocal tu ya kumpongeza jirani yako siyo big issue.

JPM ameshapigwa vibaya tu
 
Anyway Wakenya wameamua na wanajua sababu yao ya kumpatia tena.
Kwa nini kama Odinga ANGEPITA tungeipata fresh?????
Acha nisogeze kiti changu.

Ndiyo hivyo tafiti utajua.Hongera UK
 
Sishangazwi na jibu lako maana nimegonga msumari mahali panapoumiza. Usifikiri wengine hatujui ni kinaendelea.

Mlichora ili 2020 rais Uhuru Kenyatta ampe BACKUP Lowassa kwa hali na mali ili NAYE AWE RAIS.
Magufuli aliujua MCHORO wenu mapema aka u SCUTLLE/ SAMBARATISHA na KUUVURUGA MCHORO wenu wakati ulipofika juzi.

Sasa jibu lako linalingana na maumivu uliyoyapata.
Pole mlipatikana.

Lakini Bado madai kua magu yeye alimuunga mkono Raila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahahhahah hakuna cha kuvuruga mechi wala nini.Issue ameshachapia.Tunahitaji MARAIS wawe neutral kwenye CHAGUZI za nje na za Ndani unless na yeye anagombea.

JPM amechapia sana tu na amekutwa off guard pole wenye akili tumeona.Kusema hongera ni protocal tu ya kumpongeza jirani yako siyo big issue.

JPM ameshapigwa vibaya tu
Tety naona sasa UNAJIFARIJI nami pia nakufariji. Mwambieni Lowassa huo MCHORO umeharibika. Lakini ajue Magufuli anaufuatilia kwa makini kila mchoro wake.
 
Lakini Bado madai kua magu yeye alimuunga mkono Raila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna tofauti ya MADAI na FACTS/UHAKIKA.
Hakuna FACTS kwamba Magufuli alihusika hata chembe kando ya URAFIKI wa kawaida tu walipokuwa WIZARA moja nchini mwao.

Hata KALONZO Musyoka alikuwa RAFIKI wa KIKWETE sana. Maana wote waliwahi kuwa Mawaziri wa Mambo ya KIGENI.

Kikwete aliposhika utawala hakuruhusu URAFIKI wake na yeye kuuchanganya na MASUALA ya nchi.
Kwa hiyo hayo yanabaki kuwa ni madai tu na hamna ukweli ndani yake.
 
Methali talks alot than blah blah
Nimekubali japo kwa shingo upande. Ingawa kama ungeikamilisha hiyo methali nami ningekumbuka. Naijua lakini nimeisahau.
 
Karibu tusheherekee Ushindi wa JUBILEE
Mimi niko NEUTRAL/KATIKATI
Sitaki kuingilia masuala ya nchi zingine. Yangu ni kuchambua tu na kuwaacha waamuzi wachangie maoni mbali mbali.
 
Mkuu kuna tofauti ya MADAI na FACTS/UHAKIKA.
Hakuna FACTS kwamba Magufuli alihusika hata chembe kando ya URAFIKI wa kawaida tu walipokuwa WIZARA moja nchini mwao.

Hata KALONZO Musyoka alikuwa RAFIKI wa KIKWETE sana. Maana wote waliwahi kuwa Mawaziri wa Mambo ya KIGENI.

Kikwete aliposhika utawala hakuruhusu URAFIKI wake na yeye kuuchanganya na MASUALA ya nchi.
Kwa hiyo hayo yanabaki kuwa ni madai tu na hamna ukweli ndani yake.
Watu wameangalia pia urefu wa maelezo aliyoyatoa akimpongeza Kagame kuchaguliwa Raisi vis-a-vis ufupi wa maelezo akimpongeza Kenyatta kuchaguliwa Raisi.
Wanadai kuna Tatizo kati yao... Ili unalionaje..?

Na madai kua magu anahangaika na kila lowasa analotaka kufanya badala ya kuongoza nchi unalichukuliaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tety naona sasa UNAJIFARIJI nami pia nakufariji. Mwambieni Lowassa huo MCHORO umeharibika. Lakini ajue Magufuli anaufuatilia kwa makini kila mchoro wake.

Na hakukuwa na MCHORO wowote woga tu wa JPM,na uoga unatokana na kuwa na inferiority complex.Abadilike.Hakuna Mchoro wowote.Huna haja ya kunifariji sihitaji kufarijiwa sababu naujua ukweli na ninauishi ukweli.Mimi siyo mnafiki,ikija kuita SPADE a SPADE nitaiita hivyo na si kijiko kikubwa.Pole
 
Nimekubali japo kwa shingo upande. Ingawa kama ungeikamilisha hiyo methali nami ningekumbuka. Naijua lakini nimeisahau.

Ukipenda Chongo utaita Kengeza.Pole ndiyo methali yenyewe
 
Back
Top Bottom