- Thread starter
- #61
Ahaaa!Mambo ya siasa huwafanya watu wazima na akili zao kufanya mambo ya kitoto na kipumbavu
Ahaaa!Mambo ya siasa huwafanya watu wazima na akili zao kufanya mambo ya kitoto na kipumbavu
Huo ndo ukweli mtupu. Lowassa alipozungumzia hukokwenye kampeni Kenya.
Ukweli ni kuwa viongozi wa EAC wako pamoja. Huo ndo ukweli usiopingika!Teh teh........ Ukweli utabaki palepale mkuu, naamini hata Uhuru anajua....
Hiyo picha ni wakati akiwa Waziri. SASA ni RAIS. Kuna mambo mengine aweza KUSHAURIWA kwa maslahi ya taifa usifanye ABCD. Kukifanya madhara yake ni ABCD.Tusichanganye mambo.
....Pia ongezea na ule utafiti wa Twaweza mkuu kuhusu same issue.Hahaha, baadhi ya mashabiki wa ccm ni "Wapumbavu" ( nimeparaphrase kauli ya Mwenyekiti jameni)!
Duh. Yaani kila kitu ni kulipwa? Mkuu silipwi.Lumumba bana, sijui bila nyinyi Dunia ingekuwaje... Weekend yangu iko saafi na vichekesho vyenu, haya wahi kwa Sizonje ukachukue buku 7 yako
Sent From Kisana Kiki Iphone
Mtamsoma Rais Magufuli kama bado kwamba Taifa kwanza urafiki baadaye. Na hilo anakitekekeza kwa maneno na vitendo. Mifano iko mingi kuthibitisha hilo, toka alipomtumbua rafiki yake hadi kuwatetemesha wawekezaji fisadi.Ha! Ha! Ha! Leo mnamruka mkenya pekee aliyefika Chato kumpongeza Magufuli !
Waambie pengine wewe hawatasema UMELIPWA.Mtamsoma Rais Magufuli kama bado kwamba Taifa kwanza urafiki baadaye. Na hilo anakitekekeza kwa maneno na vitendo. Mifano iko mingi kuthibitisha hilo, toka alipomtumbua rafiki yake hadi kuwatetemesha wawekezaji fisadi.
Endeleeni kufukuza kivuli chake.
Waambie huenda wataelewa. Magufuli si golikipa kiwanjani bali ni mshambuliaji hatari wa kufunga magoli. (Striker)Dk.Bana amekuwaje?View attachment 564158
Vipi Museveni nae kutoa salamu ni za pongezi kwa Uhuru Kenyatta ni kvuruga mchoro wa mpinzani wake wa Uganda? Poor minds always come from weak person like u!Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.
Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.
Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.
Na hivyo KUSAMARATISHA KABISA mbinu za KUNGONISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.
Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Prokali na
Diplomasia.
Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.
Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.
Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.
ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing table/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
POOR minds???? WEAK person?Vipi Museveni nae kutoa salamu ni za pongezi kwa Uhuru Kenyatta ni kvuruga mchoro wa mpinzani wake wa Uganda? Poor minds always come from weak person like u!
Toka kwa nani?Haya n madhara ya kuuza utu wako kwa 7000