Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Uchaguzi ni jambo hutukia once, ni kwavipi litamnufaisha Magu ama lowasa in long term mpaka kufikia Uchaguzi 2020. I don't think so...
Kw a magu kutuma salamu inamaanishaje kua anategemea huruma za UHURuRuto kushinda Bongo, ngumu kumeza.

Kwa cdm, kumsapoti uhururuto, kwa kiasi Fulani inawezekana wakapata mbinu za kiufundi.
Ila CCM wanategemea Katiba, tume ya Uchaguzi, polisi, media na mahakama ili kuendelea kutawala.

Hata magu akienda cdm, bado ccm itashinda urais. Hata wakimuweka bubu ama Jiwe, atashinda kwa kura nyingi.

Demokrasi ya tizedi haijakomaa kiasi cha kuweza kuathiri matokeo ya chamadola hasa katika ngazi ya Urais.
 
UWEZO WAKO UNATIA SHAKA
Una haki yako ya kimsingi. KUUKATAA ujumbe katika UZI wangu. Hujakosea maana huu ni mtazamo wangu.
Nawe pia unaweza kuleta HOJA yako ama kujibu na kupinga kwa points. KULIKO kusema
una question my ABILITY/CAPACITY sijui on WHAT?
Hebu nisaidie wewe mwenye uwezo mkuu.
 
hizo salamu za mashaka wakenya walizipangua nenda insta ya magu uone majibu aliyopewa.
Majibu ya INSTAGRAM si majibu rasmi ya SERIKALI ya Uhuru Kenyatta.
Serikali huwa hazifanyi kazi kupitia INSTAGRAM. Wala sijasikia INSTAGRAM government.
Bali INSTAGRAM ni ya watu kama WEWE na watu wengine bali si serikali.
 
Ahhhh. Shida kubwa ya wengi hasa hapa JF ni kumuwekea majibu. Mawazo na fikra JPM. Kufahamiana Ni jambo La kawaida. Na pengine wana historia mahali fulani ndo maisha. Na tunakoelekea kama mantiki ndo hii. Ni UADUI WA DAMU kati ya wanachadema wasiojielewa na wanaccm. Ni siasa ya ovyo na tutaijutia milele. Sisi tupo Ulaya tunawangalia tu na mwelekeo wenu wa siasa. Uadui. Unajengwa sio kwa Hoja Ila kwa itikadi zisizo na Mashiko. Nashangaaa sna siku wanafungua Ujenzi wa BOMba La mafuta. Eti Mbowe anasimama kutoa lawama kwa JPM. Kana kwamba BOMBa La mafuta ni La mtu. The BIG picha inafutwa. Wajinga Wafuatilie ujinga badala ya maslahi. Machine za mapato. Hakuna hata mpinzani anayezungumzia labda jimboni kuhimiza mana ni moja ya hatua kubwa sana ya maendeleo Ulaya hata mia itapita kwenye vidude vyako Hivi .hatuoni kama ni hatua. Kelel zetu zimekuwa kwenye non economic issues wakati tatizo letu Sio siasa ni uchumi. The will to lead with iron hand kwa lazy people like tz. We are lazy and spoiled. Mission town people. Majungu ndo mtaji wetu. Kila siku Serikali ya CCM hiyo. Mnasahau kuwa LOWASA na SUmaye ndo walikuwa viongozi wakuu watendaji. So huko rangi wamebadilika. La msingi katika maisha wacha JPM atunyoshe. Mnasema uhuru wa habari. Mbona matusi yote tunayasikia. Manataka uhuru gani. Uhuru wa Habari mbona hatusikii Mbowe au Lisu akiulizwa anasemaje kuhusu kumpokea ghafla Lowassa vs demokratic processes
 
Kosa kubwa Chadema na hasara kubwa kwao ni kwamba wamefanya jambo litakalowakosesha ushirikiano wa vyama vya upinzani vya kenya.
Maana sidhani kama Uhuru atawapa sapoti yoyote ya maana ili kuwawezesha wao kushika serikali.
Chadema watakupinga. Watakuita majina mbali mbali.
 
Nachojua Lowassa hakumuunga mkono Uhuru Kenyatta akiwakilisha Chadema. Ikumbukwe Lowassa ni kiongozi wa mila ya masai wa Tanzania na Kenya. Ukizingatia ukabila unavyotamalaki ktk chaguzi, huu ulikuwa ni mkakati maalumu wa kkuongeza kura za Wakikuyu kwa msaada wa Masai. Ndiyo maana alipandishwa jukwaani na vazi la kimila. Tunachoweza kumlaumu amesaidia kuendelea ukabila Kenya.
Wewe unakanusha hata yale MBOWE aliyoyatamuka kuhusu CHADEMA kuunga mkono kampeni za huko?
 
Hivi hapo unamdanganya nani? Raila ametumia sana jina la Magufuli na ndiyo maana ameshindwa. Magufuli hakuwahi kukataa Raila asitumie jina lake. Lowassa alikampeni hadharani na kweli kule Suswa NASA hawakuambua kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaongea nini huyu mtoa uzi, mbina nyingine zote anatoa kwa niaba ya watz lakini hii katoa pongezi yeye kama yeye sio kwa niaba ya watz

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Mkuu nataka nikuambie Tanzania hatuna
CHUKI,
UBAGUZI. Wala
VISASI
Vinavyotoka popote.
Hiyo ni dhana yako tu. Nchi hii ni yetu sote jivunie
 
anaongea nini huyu mtoa uzi, mbina nyingine zote anatoa kwa niaba ya watz lakini hii katoa pongezi yeye kama yeye sio kwa niaba ya watz

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Sikukuelewa kidogo. Mbina ni nini, ama ulitaka ksema mbinu?
 
samahani nilivuka mpaka
Mkuu, yamekwisha. Nimepokea samahani yako. Tuendelee mbele kujadiliana na hata KUTOFAUTIANA kiistaraabu. Maana hata katika familia kutofautiana ni kawaida.
YAMEISHA. Ahsante.
 
Hivi hapo unamdanganya nani? Raila ametumia sana jina la Magufuli na ndiyo maana ameshindwa. Magufuli hakuwahi kukataa Raila asitumie jina lake. Lowassa alikampeni hadharani na kweli kule Suswa NASA hawakuambua kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila alitumia jina na Rais wetu KINYUME cha PROTOKALI. Na utajuaje kama ALIMPIGIA simu na kumwambia:
"Raila omba kura zako lakini NAKUSIHI ndugu yangu usiseme uongo kuwa MIMI Magufuli NITAKUSAIDIA" Na AKAPUUZIA?
 
Back
Top Bottom