Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.

Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.

Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.

Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONGANISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.

Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Protokali na
Diplomasia.

Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.

Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.

Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.

ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing table/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Hii ni kawaida sana. Mbona wana jamvi mnaleta vihoja vya viloja?
 
Mchoro kauvuruga, pencels za kuchorea zmekatika na makaratasi ya kuchorea yamesha.
Chadema kwishaaa!
Magufuli alikuwa AMEWANGOJA tu WAMALIZE huku akijua KADI atakayotumia KUWAVURUGA hawatasahau.
Nafikiri sasa wanaulizana
"Magufuli AMETUPIKU.Mchoro wetu ameuharibu sasa TUCHORE nini kingine?"
 
Hii ni kawaida sana. Mbona wana jamvi mnaleta vihoja vya viloja?
Ni kawaida. Ila nafikiri wewe HUKUUJUA MCHORO wa Lowassa na Chadema.
Ni wachache sana walioelewa hili.
Kulikuwa na MCHORO mkali.
Hawatamsahau Magufuli wa kuwaharibia furaha yao.
 
Hii ni kawaida sana. Mbona wana jamvi mnaleta vihoja vya viloja?
Ni kawaida. Ila nafikiri wewe HUKUUJUA MCHORO wa Lowassa ana Chadema. Ni wachache sana walioelewa. Kulikuwa na MCHORO.
Hawatamsahau Magufuli wa kuwaharibia furaha yao.
You are stupid true!
kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?
Nina swali kwa nini Wana Chadema mnapenda kutumia lugha mbaya badala ya kujadili hoja?
 
Na ndio maana tunasema huyu jamaa ni chaguo la mungu katutunuku
 
Kama ndiyo mkakati huu wa Lowassa basi kakosea sana, maana kuenda nchi jirani kwenda kufufua ukabila wakati wakenya wanajitihada za kuutokomeza, amebeba laana. Ndiyo maana hata hapa Tanzania viongozi wa Chadema wanahamasisha ukabila kwa bidiii kupitia Mwanasheria wao TL.Tunawasubiri 2020 tutahitaji maelezo yenu wakati mkiomba ridhaa
Ni kweli. Tanzania hatutaki UKABILA wala CHAMA cha KIKABILA wa KIDINI. Hiyo ndo hulka ya Watanzania. Nimekuelewa sana. Mpango wake umefeli.
 
Na ndio maana tunasema huyu jamaa ni chaguo la mungu katutunuku
Umeandika mungu bafala Mungu sijui nani ni chaguo la Mungu na ni nani pia ni chaguo la mungu. Hebu tusaidie mkuu.
 
Mleta mada huenda WASHELI inawasha kwa 7bu huwezi kuwa shilawadu wa level hiyo yaani unaonekana ni mbea wa kimataifa ulimuona wapi Lowassa akichora mchoro na ulimuona wapi magu akifuta hiyo ramani wewe cjui ni jinsia gani hakika kama dume na una nyanya mbili ashukuliwe shetwani nahisi utakuwa umepakaa hina, kucha ndefu, michoro kwenye mapaja, huwez kuwa mwanamme wa kawaida huwenda hata sio riziki weye na makazi yako kama sio zanzibar, mombasa, basi pwani maeneo ya mchafukoge
Mkuu una uhuru wa kutoa maoni. Isipokuwa badala ya kujibu hoja, inabaki ni matusi na maneno
yasiyoweza kutamkwa na mtu aliyestaarabika. Acha niishie hapo. Ili ujitafakari ni nini hasa ulichokiandika.
Kwa mtazamo wangu naona una matatizo ya kisaikolojia. Matusi ya nini?
 
Hapa ndipo ulipoharibu na kuonyesha udhaifu wako.
Kama alitoa pongezi kutoka moyoni,ushauri
ulikuwa wa nini?
Ili ASICHELEWE maana tayari Lowassa alikuwa na nia mbaya.
 
Tatizo la hili jukwaa limekuwa kama la udaku, moderators hawaoni hata ni kitu gani kinatakiwa kiwekwe hapa, upuuzi na mambo ya kitoto yote yanawekwa na wao wanayaangalia tu, mtoa mada naweza nisishangae hii post pengine huenda ukawa na umri ambao unakufanya uandike haya au ni uchanga wako ktk mambo ya siasa na kidplomasia au hujui thamani ya Mkuu wa nchi kutuma salama kama hizi kwa majirani au mataifa mengine. Siyo kila wakati ni kuendekeza itikadi. Vinginevyo unaonyesha una utapia mlo ktk mambo ya kiutawala.
Wewe DHANI unavyoweza.
UTOTO,
UMRI
UCHANGA, na
KUTOJUA mambo ya Kidiplomasia.
Kwa kuwa umsema yote Sina la KUJITETEA bali ni kusema nimekusika.
"NOTED"
Ahsante sana
 
ziko aina kuu mbili za pongezi:
1.za kinafiki
2. za kutoka moyoni.

Wasiasa wengi huchagua hiyo aina ya kwanza, mf ni hio pongezi ya magu

sent from servant of God
Hayo ni mawazo yako.
Hawa ni viongozi wa nchi za jumuia ya Afrika Mashariki. Wanahitajiana KIBIASHARA. Nk.
 
Back
Top Bottom