Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Hyo haikua Mara ya kwanza Lowassa kukatwa hvyo cdhan kma kuna fitna kwa JK bt ypo mambo meng CCM wanayajua khs mheshimiwa ndo mana hawampi kiti cha urais. JK was very fair kumpa uwaziri mkuu cheo ambacho hakuna aliyewah kumpa na kma Nyerere angalikua hai cdhan kma angekipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hata hivyo ilikuwa ni bahati yake. Na tunaweza kumpongeza pia kwa kulitumikia taifa kama
Waziri mkuu.
 
Nachojua Lowassa hakumuunga mkono Uhuru Kenyatta akiwakilisha Chadema. Ikumbukwe Lowassa ni kiongozi wa mila ya masai wa Tanzania na Kenya. Ukizingatia ukabila unavyotamalaki ktk chaguzi, huu ulikuwa ni mkakati maalumu wa kkuongeza kura za Wakikuyu kwa msaada wa Masai. Ndiyo maana alipandishwa jukwaani na vazi la kimila. Tunachoweza kumlaumu amesaidia kuendelea ukabila Kenya.

Kama ndiyo mkakati huu wa Lowassa basi kakosea sana, maana kuenda nchi jirani kwenda kufufua ukabila wakati wakenya wanajitihada za kuutokomeza, amebeba laana. Ndiyo maana hata hapa Tanzania viongozi wa Chadema wanahamasisha ukabila kwa bidiii kupitia Mwanasheria wao TL.Tunawasubiri 2020 tutahitaji maelezo yenu wakati mkiomba ridhaa
 
kwa hiyo neno KUNGONISHA linamaanisha nini? ila ukuu wa wilaya au mkoa utaupata maana vigezo vimetimia!
Hahaaaa. Nimekuelewa Nilimaanisha "KUGOGANISHA/KUCHONGANISHA".
Mimi kama Mtanzania wa kawaida sitafuti FAVOUR/FADHILA yeyote
Ninachokifanya KINANITOSHA.
Hayo mengine siyajui.
Ahsante.
 
Jamani ccm mna mambo ! Huo mchoro Lowasa aliuweka meza au kabati ipi mpaka magufuli aufikie na ku uvuruga?mbona hampendagi kauli za kujenga nikuwasha moto tu kila siku ili kumchafua tu Lowasa ? Sasa huko kujipendekeza kutoa hongera na wengine nao wakuvalie Bango ? Manake tunaelewa kilichopo kati ya hawa !. Mtakua mbele kwa mabaya hadi lini? Kwanini atoe pongezi kwa ajili ya kuzima moto wa Lowasa,asitoe tu pongezi ya kawaida ? Wewe ni nani wake mpaka akueleze kua anazima moto wa Lowasa ? Hakika mbea hana likizo,likizo yake ni kaburi ! Huoni hata woga kuzua jambo baya kama hili ? Akisema mpinzani chochote ni uchochezi,lazima apimwe mkojo akiwa rumande !.lakini nyie mnaweza kuvuruga nchi mtakavyo nakuchonganisha mwanzo wa nchi hadi linakotua jua ,na majirani wa nchi ruksa.sasa mmesha chokoza uislamu tusubirini kifuatacho baada ya tafakari yao.sisiemu,mtakufa lini tupumue sisi wanyonge ?
Mungu tuviringishie hili jiwe la kusagia lili tuvaa shingoni,ukalitose baharini, utukomboe,nakuamini mfalme,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi maovu ya kuombea mabaya KIONGOZI wako. HAYAJIBIWI na Mungu wa kweli. Labda ka mungu kako.
Hata hako ka mungu kako hakatafanikiwa.
 
What a comment from a STRESSED person.
I kindly beseech you just go to bed and have a sleep so as to rest from these "HARD FACTS"Which are hard to SWALLOW!!!
.
Therefore dismissing my comments as ROTTEN is tantamount to ignorance.
I pity you.
Usiku mwema
 
edit basi bandiko lako ili liendane na sifa ulizokusudia! vinginevyo maana zinabadilika!!! Hivi huwa mnafukuzwa mnapoandika au mnalazimishwa?
Mkuu Nime EDIT neno na kuliweka sawa "KUGONGANISHA"
Ahsante kwa kungundua na kunisahihisha.
Usiku mwema.
 
Mchoro kauvuruga, pencels za kuchorea zmekatika na makaratasi ya kuchorea yamesha.
Chadema kwishaaa!
 
Back
Top Bottom