movie pitcher
Member
- Apr 6, 2017
- 10
- 5
CCM ni mzaliwa wangu wa kwanza asema BWANAJamani ccm mna mambo ! Huo mchoro Lowasa aliuweka meza au kabati ipi mpaka magufuli aufikie na ku uvuruga?mbona hampendagi kauli za kujenga nikuwasha moto tu kila siku ili kumchafua tu Lowasa ? Sasa huko kujipendekeza kutoa hongera na wengine nao wakuvalie Bango ? Manake tunaelewa kilichopo kati ya hawa !. Mtakua mbele kwa mabaya hadi lini? Kwanini atoe pongezi kwa ajili ya kuzima moto wa Lowasa,asitoe tu pongezi ya kawaida ? Wewe ni nani wake mpaka akueleze kua anazima moto wa Lowasa ? Hakika mbea hana likizo,likizo yake ni kaburi ! Huoni hata woga kuzua jambo baya kama hili ? Akisema mpinzani chochote ni uchochezi,lazima apimwe mkojo akiwa rumande !.lakini nyie mnaweza kuvuruga nchi mtakavyo nakuchonganisha mwanzo wa nchi hadi linakotua jua ,na majirani wa nchi ruksa.sasa mmesha chokoza uislamu tusubirini kifuatacho baada ya tafakari yao.sisiemu,mtakufa lini tupumue sisi wanyonge ?
Mungu tuviringishie hili jiwe la kusagia lili tuvaa shingoni,ukalitose baharini, utukomboe,nakuamini mfalme,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app