- Thread starter
- #21
Fungua The daily nation na uone reporting yao mkuu.Kama hii ndiyo inteligensia,basi ndiyo maana maguvu ni kipaumbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua The daily nation na uone reporting yao mkuu.Kama hii ndiyo inteligensia,basi ndiyo maana maguvu ni kipaumbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Politics is an art. If you know how to ACT smart you put your opponent into DISARRAY.You are stupid true!
kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?
Calliing me "VERY STUPID" shows how LOW you can go and how uninformed politics expositions.Ila we jamaa hamnazo[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwaio ulidhani Ao Chadema waliyegemea magufuli asitume salaam kwa mteule mwenzie ndan ya Africa Mashariki, ur very stupid!!!![emoji2] kumsapport uhuru sidhani kama nikigezo eti ionekane jamaa hampend uhuru, wamesupport coz uhuru nimiongon mwa viongoz africa walojitaidi kwene swala la demokrasia thus all.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nimesema warudi kuchora mchoro mwingine huu umeharibika.Kwani ulikuwa uongo!!!?
Usicheke huu ndo ukweli wa mambo. Wamechanganyikiwa by now.hahhaha haya mambo ya siasa bana😎😎
Ni kweli alikuwa na GAME PLAN kali. Lakini Magufuli KAIVURUGA huo ndo ukweli.
Kama huelewi mambo ya kisiasa. Heri unyamaze. Inaonekana siasa unayojua wewe ni ile ya jukwaani. Hivyo uelewa wako inawezekana ni mdogo na si MPANA. Si kosa lako.wewe ni hovyo kabisa,hukuwa na cha kuandika?au una hofu ya kukosa posho usipoandika chochote? kumpongeza mtu kunashida gani Hata kama ulikuwa humuungi mkono?Na je ,kumpongeza mtu kunaondoaje ukweli kwamba alikuwa akimuunga mkono hasimu wake? jaribu sana kuufikirisha ubongo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app