- Thread starter
- #181
Mkuu,Una pointi huwezi kujua kama..............Plan yao ya Kibiti pia tumeimaliza. Chadeko 2020watakuwa kama TLP
Mkuu,Una pointi huwezi kujua kama..............Plan yao ya Kibiti pia tumeimaliza. Chadeko 2020watakuwa kama TLP
Ni km kuwaambia NASA kuwa wanapodondosha matank yaliyoisha nishati kutoka ktk rocket kuwa wanafanya kosa. vyama akina akina zitto, na wengine ni misigo hatarishi.Sasa kwanini kuibeba?Nyie bebeni ccm halafu mtegemee kulia kutageuza mzigo ccm kuwa chama kombozi.Kosa kubwa Chadema na hasara kubwa kwao ni kwamba wamefanya jambo litakalowakosesha ushirikiano wa vyama vya upinzani vya kenya.
Maana sidhani kama Uhuru atawapa sapoti yoyote ya maana ili kuwawezesha wao kushika serikali.
Acha UONGO PARACETAMOL ni dawa ndogo sana hata kukosekana. Na nina hisi we si MTANZANIA. Jina PANADOL ni jina la biashara ya dawa za makampuni ya Kenya.
Mwelimishe.Hapana, ni kawaida kwa maraisi kupongezana kulinda amani
Ni duniani kote
Jinsi uonavyo.Umeandika uninga ivi nakama Odinga angeshinda siungeandika upumbavu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafikiri nilichoandika hapa ni ngojera?hivi unajua tofauti ya magufuli kama mtu binafsi ama kama rais na Tanzania kama nchi?
Mkuu hueleweki. Unasema nini hasa?Ni km kuwaambia NASA kuwa wanapodondosha matank yaliyoisha nishati kutoka ktk rocket kuwa wanafanya kosa. vyama akina akina zitto, na wengine ni misigo hatarishi.Sasa kwanini kuibeba?Nyie bebeni ccm halafu mtegemee kulia kutageuza mzigo ccm kuwa chama kombozi.
Mkuu umeeleweka vyema kabisa na ndo protokali ilivyo. BUT chama cha upinzani ama TAWALA KUJIINGIZA katika mambo ya KISIASA za ndani ya nchi nyingine si sawa kabisa. Ama unasemaje?Tumefundishwa katika taaluma za utawala,uchumi, Siasa n.k kuzingatia usemi huu
Personal Goals should not supersede Corporate Goals. Yaani maslahi binafsi yasizidi maslahi ya umma.
Rais wetu ana urafiki na Railla ni Personal.
Rais wetu ni msemaji wa Inchi yetu, hii ni Corporate.
Kwa maani hiyo mgombea yeyote ambaye atashinda uchaguzi, Rais wetu ni lazima angempongeza kwa niaba ya Watanzania wote.
Lowasa hata kama Railla si rafiki yake, alitakiwa kumuunga mkono kwa maana tu chama cha Railla ndiyo chama kikuu cha upinzani sawa na Chadema.
Kati ya Lowassa na Magu nani anatakiwa kuandaa mchoro mpya?Wewe Unajua mipango kiasigani imeharibika kwa Best friend kukosa kwenda ikulu?wacha uchawi wa mitandaoni basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli haitaji MCHORO maana yeye yu madarakani. Na MCHORO wake anaufanyia kazi vizuri.Kati ya Lowassa na Magu nani anatakiwa kuandaa mchoro mpya?Wewe Unajua mipango kiasigani imeharibika kwa Best friend kukosa kwenda ikulu?wacha uchawi wa mitandaoni basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwajua ufanye nini?Kumbe mtu kutoa pongezi hadi ushauriwe naomba kuwajua waliomshauri kutoa pongezi
Ndo kusema nini?Siasa nimakadilio subiria majibu, kuwa na fikra ndefu. Always b 1,2,3 or 4 step ahead, wait for it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli walikosea njia, wakafuata njia ya kwenda jangwani.Akili ndogo hujadili watu. Ndizo akili cha machadema, yaacheni yanatapatapa tu yamepotezana mwenyewe, Tena tuachieni Rais wetu Magufuli kipenzi cha Watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!!Hakuna wapumbavu zaidi ya machadema
edit basi bandiko lako ili liendane na sifa ulizokusudia! vinginevyo maana zinabadilika!!! Hivi huwa mnafukuzwa mnapoandika au mnalazimishwa?Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.
............. Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.
........... Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Hiyo si sababu.Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa ni Master fitina za kushindwa uchaguzi kila mara, hapo kweli unepatia
Upinzani umeshafariki kabisaaa. Kiki za Bunge Live na Maandamano kwishaaaaYou are stupid true!
kwahiyo Magufuli kutuma salamu za pongezi ndio Lowassa na Chadema wasijue chakufanya?