Ni kweli kabisa, wakulima wa korosho na wafanyakazi wanajua anawatoa wapi na kuwapeleka wapiKwahiyo mkuu na wewe umeamua kutulisha matango pori siyo!, We unafikiri hoja za akina zitto,membe, lissu etc zitawafanya wapiga kura kubadilisha mtazamo!?...heel no wananchi wanaelewa JPM kawatoa wapi na anawapeleka wapi hao upinzani wanafanya kutimiza tu azma ya vyama vingi lakini mshindi na Magufuli.
NOTE: acha kuwaaminisha wanajamii forum utapolo wako huo, chadema hawana lolote..deal done.