Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Najisikia kucheka nikikutana na nyuzi zenye maudhui haya! Kwakua watia nia wa ubunge CCM ni wengi kuliko idadi ya wanachama wa Chadema na ACT WAZALENDO
 
Asante sana kwa ukweli huu ambao watanzania wanapaswa kuujua. Tutashuhudia Lissu akinyimwa kugombea na akiwekwa ndani, na hili litazua makubwa nchi hii.

Kwa vyovyote uchaguzi utakuwa mgumu kwa JPM kuliko watu wanavyofikiria. Najua haki haitatendeka na chochote kinaweza kutokea. Tuunge mkono juhudi za kuleta demokrasia na maendeleo ya watu sio vitu.
Watanzania ama kweli tuu majungu matupu. Eti Lissu akikamatwa na kunyimwa kugombea patatokea fujo.

Huo ni uongo na halitatokea ng'oo. Kapigwa Risasi 30, hamkufurukuta, kanyimwa matibabu mliduwa domo wazi, kafukuzwa Ubunge nyote mashabiki wake mkaamua kuvaa ushungi.

Magufuli atapeta vizuri sana.

Tanzania hapakuwa na upinzani wakati wa utawala Dhulma za Nyerere na Karume, CCM ilitolewa kijasho kidogo na mrema tuu, waliobaki ikawa ni mtelezo wa kumpeleka mgombea wa ccm nyumbani kwa haraka akiwa na tope laini miguni.
 
Wewe mtu wa namna gani unasupoti kuumizwa kwa Lissu na kuuwawa kwa demokrasia nchini?!
 
Watanzania ama kweli tuu majungu matupu. Eti Lissu akikamatwa na kunyimwa kugombea patatokea fujo.

Huo ni uongo na halitatokea ng'oo. Kapigwa Risasi 30, hamkufurukuta, kanyimwa matibabu mliduwa domo wazi, kafukuzwa Ubunge nyote mashabiki wake mkaamua kuvaa ushungi.

Magufuli atapeta vizuri sana.

Tanzania hapakuwa na upinzani wakati wa utawala Dhulma za Nyerere na Karume, CCM ilitolewa kijasho kidogo na mrema tuu, waliobaki ikawa ni mtelezo wa kumpeleka mgombea wa ccm nyumbani kwa haraka akiwa na tope laini miguni.
Kila zama na kitabu chake na kila masika yana mbu wake.
 
Hawa ndugu zangu akiwemo huyu jamaa macho_mdiliko walishawahi kunitukana sana na kunishambulia hapa jukwaani nilivyokuwa naongea kuhusu Raisi Magufuli. Walinitolea kashfa sana hadi kuniita mimi Tarumbeta ya Fisadi Membe. Ndugu yangu Chige ni shahidi jinsi huyu jamaa alivyokuwa anatoa kashfa kwa watu ili kumtetea Raisi Magufuli: Lakini nafurahi kuona akili na utu vimeanza kumrudia. Natumai wengi tu wataiga mfano wake,.........

Siku hizi huwa sizingumzi kabisa siasa hadharani na watu, lakini huyu jamaa amenifanya nifikirie mengi na kuwaonea huruma wengine walio kama yeye. Nchi yetu sote hii unapoona binadamu mwenzako anadhalilishwa na kuonewa usifurahie hata siku moja.
Ndugu yangu Kataskopos... nini macho_mdiliko ambae angalau mara 1 katika 10 mnaweza kuongea lugha inayofanana, ingawaje hata nami nimeshapigana nae sana mashuti humu!! Hoja ambayo mnaweza kukubaliana kwa 100% ni ya dhidi ya Bashite peke yake huku akisahau Bashite na mwenyewe ni tunda la huyo huyo Magu!!

Hapa JF kuna Chuma kimoja hicho... hakika sitakitaja!! Huyo Mwamba ilikuwa tukikutana kwenye mijadala lazima anipe za chembe, na kwavile sie wengine hatukawishi, kitakachofuata hapo ni full mtiti!!

Takribani mwezi mmoja uliopita sasa!! Kwanza kani-quote na kunipa "kudos"! Mwili ukafanya shyaa! Nikaona labda amedukuliwa, au wala hamaanishi manake JF ni zaidi ya uijuavyo!!

Siku nyingine tena nikakuta post yake ameandika kitu ambacho labda angetakiwa kuandika Kataskopos!!

Nikajiuliza "what happened to this guy?"!

Sitaki kuwa mnafiki, nikatafuta umbeya kwenye posts zake zingine za karibuni!!

Amini usiamini, nadhani nikifa leo moja kwa moja naingia peponi kwenda kupiga mamimvinyo na akina Jesus manake nimegundua lijamaa mimi nina bonge la upako nafsini mwangu, akina Pengo na Bagonza wenyewe wanasubiri!

Sio siri, baada ya kuona posts zake za karibuni nikajikuta nipo down ghafla, huku nikitawaliwa na huruma isiyo na kifani dhidi ya mshikaji!! Akili ikanituma kuamini kwamba there must be something to this guy... SIO BURE HATA KIDOGO!!! Hivi kutawaliwa na hali kama hiyo si ndo upako wenyewe huo, au?!

Anyway, nitaendelea kumheshimu mshikaji kwa sababu the guy is good upstairs lakini utadhani alirogwa vile!!!
 
Nakuunga mkono. Magufuli hafai kabisa kuwa rais. Bora Membe mara kumi elfu. Nimemsikiliza Membe akizungumza kwenye ule mkutano wa ACT Wazalendo na mahojiano mengine siku za karibuni, kusema kweli anajenga hoja vizuri sana. Halafu hana mihemko na kiburi nayoiona kwa viongozi wengi wa awamu hii.
 
Chige nakubaliana na wewe. Magufuli kuwa rais ni kosa ambalo litaigharimu Tanzania kwa miaka mingi.
 
Nakuunga mkono. Magufuli hafai kabisa kuwa rais. Bora Membe mara kumi elfu. Nimemsikiliza Membe akizungumza kwenye ule mkutano wa ACT Wazalendo na mahojiano mengine siku za karibuni, kusema kweli anajenga hoja vizuri sana. Halafu hana mihemko na kiburi nayoiona kwa viongozi wengi wa awamu hii.
Mimi bhana sijui nimuamini nani hivi sasa ingawaje lazima nikiri kwamba baada ya kumsikiliza Membe juzi, nimekuta maono yetu yanafanana kwa asilimia kubwa!!
 
Kwa hoja hizo atawaambia ASkari wawakamate na wapewe kesi za uchochezi na wasipewe dhamana mpaka uchaguzi utakapoisha
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Atoke tu sion umuhimu wake miaka 5 sina ajira
 
Hahaa mkuu umenikumbusha 2O15 alivyokuwa anapiga kampeni paka huruma.Ila moyoni alikuwa anajisemea tuu hii ngoja wanipe nchi tawanyoosha mimi kabisa wa kupigishwa push up.
Daah Nina wasiwasi na herufi O katika hizo namba ilitakiwa iandikwe 2015 sio 2O15 kama ulivyoandika maana inasomeka Mbili sifuri kumi na tano, ulichoandika kipo maeneo 51
 
Kule Babati walijaza gesti zote kumhujumu jembe mwaka 2015 lakini Jembe akitumia mbinu za medani alimgaragaza vilivyo EL na UKAWA.
Jiulize ni mbunge au diwani gani asiyependa kutumia jina la JPM ili ashinde mwaka huu
Uko sahihi!Hatutoamini macho yetu October,2020 Ni mwepesi mno kwa jiwe,2015 ya Edo boy itachukua muda mrefu kujirudia Bongo!Matokeo ya 2015 ni matokeo ya uwekezaji wa muda mrefu wa Edo ambao ulileta Impact kubwa katika matokeo ya Wabunge na Madiwani na hivyo KURA ZAKE ZA URAIS,Tusichukulie Poa maneno ya Mzee WASSIRA kuhusu uchaguzi wa 2015!Na laiti 2015 wana KIJANI wangemsimamisha BCM hakika NCHI HII TUNGEKUWA TUNAONGEA HABARI NYINGINE NYAKATI HIZI kwasababu EDO angemtandika mapema MNO kama atakavyotandikwa Pamoja na Wenzake na JIWE OCTOBER
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Watoe HOJA siyo VIOJA NA VIHOJA itakapokuja kuelezea huo uzushi waliojaribu kuufanya kwa miaka mitano na kukosa mshiko na hata kuuungwa mkono na yeyote mwenye uelewa na mawazo sahihi, data na takwimu sahi na UTHIBITISHO UNAOSHIKIKA badala ya maneno maneno tu ya uzushi.
 
Umelewa?
 
Hao ni waongeaji tu ila JPM yy ni vitendo tuu wapinzani chali.

Maneno washa ongea sana ila hamna utekelezaji, apo ndo JPM anashindia wapinzani
 
Vitendo kama vipi? Hasara ya SGR na ndege au?
 
Back
Top Bottom