Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Kiukweli jamaa ana kazi ngumu sana Octoba na hili analijua vizuri sana ndo maana anahaha kutumia vibanio kila sehemu kupitia polisi, tume, sheria mbovu, ukatili ikiwemo matumizi ya bunduki mapanga, na kila aina ya ghasia ametumia pamoja na kukusanya waganga wa kienyeji kila kona ya nchi, mara ooh umoja wa Waganga na wachawi wa Gambosi wanampongeza sijui nani kwa mapumziko huko burigi.

Mbaya zaidi hapendi chalenji ukimzidi hoja anakimbilia panga yaani kama baba ubaya sasa atakiona cha mtema kuni bila kusahau kibano alichowapa ccm huko dodoma asidhani kwamba amewaweza usaliti utakaotamalaki in 2020 General Election hatasahau maishani mwake.

Kinacho ogopesha ni pale Tundi Antipus Mung'hwai Lissu atakapo panda jukwaani aisee akaazime polisi huko rwanda, Burundi na kwingineko na mwaka huu makombeo yatarusha juu Helmet za mamurere mpaka basi, atavurugika na kuvurugwa push up hazitapigika
Mawazo Kama haya yangekuwa ya kweli ingependeza Sana.

Huwezi amini mgombea wa urais kutoka chadema atampigia kura Magufuli. We dare to talk openly
 
Professor lipumba alisema mpingane kwa hoja sio kwa mtutu wala bao la mkono. Aliyechaguliwa apewe
Hapa ni kazi tu siyo hoja! Na hata mkimpambanisha kwa hoja Magu ni mashine nyingine hawezekani! Mtaishia kuabika mbele ya mabeberu wenu!
 
Acha kumfananisha JPM na Wapigaji hao na waabudu ukoloni.
Wenzenu Ulaya Wanatamani JPM awe wao nyie mnamtaka Membe Muomba neti ili atoe Dhahabu na Tanzanite, Lissu ambaye amewaahidi Wakoloni kuwa Tanzania itakuwa chini ya Himaya ya Wakoloni, Nyarandu Mwizi wa Twiga na Sokwe na nyara za Serikali na mla bata Ulaya kwa kutumia kodi zetu n.k
Tuache kumdhihaki Mungu,
Mkuu hapa umeongea points.
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Hapo hakuna combination ila ni usemi wa mafahari watatu hawakai zizi moja
 
Magufuli si mtu wa hekma wala subira! Na hii hulka yake akikaa vibaya anaweza itumbukiza nchi kwenye machafuko.

Mtu kama Membe au Lissu si watu wakukubali dhulma kirahisi rahisi!
Magufuli alibebwa sana 2015 mwaka huu itabidi ajibebe!
Najaribu kuwaza tuu kama Kenyatta na Rutto walijikuta The Hague kwa kauli zao tuu na hawakuwa madarakani 2007 jee ambao wako madarakani na ni wababe itakuwaje?
 
We ndo utajitoa hiyo blood sacrifice au unaongea tu, unaifahamu blood shed lakini!?, au kazi kupotosha umma tu.
Kina Nyerere Nyerere wangeogopa bunduki na ving'ora vya mkoloni leo tusingekua huru!

Leo unakunya kwa raha sababu kuna watu wali sacrifice maisha yao kwaajili yako.
 
Najaribu kuwaza tuu kama Kenyatta na Rutto walijikuta The Hague kwa kauli zao tuu na hawakuwa madarakani 2007 jee ambao wako madarakani na ni wababe itakuwaje?
Mwaka huu ama zao.... jasho litawatoka
 
Kina Nyerere Nyerere wangeogopa bunduki na ving'ora vya mkoloni leo tusingekua huru!

Leo unakunya kwa raha sababu kuna watu wali sacrifice maisha yao kwaajili yako.
Basi utajitoa hiyo blood sacrifice mkuu poa😂, Chadema mkishiba huwa mnaongea pumba Sana, wakati hata ubavu wa kuchukua dola hamna😁. Kazi mnayo kwakweli.
 
Mwana kuyataka,, mwana kuyapata... Ila Tz ni yetu sote.. MaGu kibabe atapita.. Tz misimamo mbele ya pesa wanayo wachache sana
 
Mantiki inatuambia kama mtu hana kitu huwezi kuona mtu anahangahika naye. Mnajaza uzi kuhusu JPM badala ya mnaowapenda. Amba lulu na Gigi wanatosha kupambana na hao wakina Lissu nk. Sisi Tz. Jembe letu Ni JPM. kuongea hata mimi Nini PHD 2. DDR. Lakini Tz inahitaji Mtendaji wa kuwaminya wavivu kama nyie. Maneno 24 hours. No actions.

Kwamba una phd?? 😁 Hivo ni veti tu ...me pia ninavyo nilkuwa napiga chabo sana simcheki asienacho au kuona nina akili kuliko ambae hana
 
Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.
Hakuna kampeni ilikua ngumu kama ya 2015
Kwa sasa ni kumsukuma mlevi tu hao uliowataja hawana jipya kwenye siasa za nchi hii
 
Hao wenye hoja nzuri ndio waliofikisha nchi ilipokuwa....watafute tu sympathy ila kwa machache na uthubutu wa Magufuli aliyofanya hakuna wa kucompete naye mwaka huu. Hizo hoja zao nzito waandike makala wahifadhi kwenye kumbukumbu tumechoka na ubabaishaji.
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Atapiga tena push up.
 
Kuna watu wakuwafanyia huo uhuni wakatulia ila si kariba ya watu aina ya Lissu au Membe!!

Kote kulikotokea ukombozi usikiri hakukua na Dola laah aina ya watu walioleta ukombozi ndo ilikua chachu!
Mfano mzuri ni malawi uchaguzi wa mwaka huu juni
 
Magufuli si mtu wa hekma wala subira! Na hii hulka yake akikaa vibaya anaweza itumbukiza nchi kwenye machafuko.

Mtu kama Membe au Lissu si watu wakukubali dhulma kirahisi rahisi!
Magufuli alibebwa sana 2015 mwaka huu itabidi ajibebe!
Matendo yake yatambeba. Wanaccm wengi watakapoona anaelekea anguko watamgeuka tu.
 
Back
Top Bottom