Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Kwahiyo mkuu na wewe umeamua kutulisha matango pori siyo!, We unafikiri hoja za akina zitto,membe, lissu etc zitawafanya wapiga kura kubadilisha mtazamo!?...heel no wananchi wanaelewa JPM kawatoa wapi na anawapeleka wapi hao upinzani wanafanya kutimiza tu azma ya vyama vingi lakini mshindi na Magufuli.

NOTE: acha kuwaaminisha wanajamii forum utapolo wako huo, chadema hawana lolote..deal done.
Ni kweli kabisa, wakulima wa korosho na wafanyakazi wanajua anawatoa wapi na kuwapeleka wapi
 
Ule utulivu wa wapinzani kwa miaka mitano ulimfanya akadhani umekufa. It was a domant volcano.
Sure thing. Magui alikosea na anakosea sana kuzuia watu kumkosoa, matokeo yake watu vifua vinajaa hasira na madukuduku ya kutosha, na wanapewa muda mchache wa kuyatoa , huko mbefele mbona atatamani ahame nchi kwa muda, maana kama kuteka na kuua utaua watu wangapi.

Ukosoaji kipindi hiki ni kama hewa ya oksijeni, kama atapoenda atakutana nao.
 
Kipindi Zanzibar imezalisha wakimbizi ulikuwa hujazaliwa bila shaka, kama huna taarifa basi elewa kwamba wakati Mkapa anagombea kwa awamu ya pili kulikuwa na matumizi makubwa ya nguvu yaliyopelekea mauaji ya watu kadhaa bara na visiwani.
Na mpk leo kuna wakimbizi wa Zanzibar huko Mombasa.
 
Sure thing. Magui alikosea na anakosea sana kuzuia watu kumkosoa, matokeo yake watu vifua vinajaa hasira na madukuduku ya kutosha, na wanapewa muda mchache wa kuyatoa , huko mbefele mbona atatamani ahame nchi kwa muda, maana kama kuteka na kuua utaua watu wangapi.

Ukosoaji kipindi hiki ni kama hewa ya oksijeni, kama atapoenda atakutana nao.
Mzee baba nakwambia kama watu walifikiri 2015 joto lilikua ni kali basi wanajidanganya,hii 2020 ndipo Jamaa atakapojua watu walikua hawamuogopi ila walikua wameinamisha kichwa chini tu.
 
JPM asijue cha kufanya!!
Cha kufanya anacho. Anaweza akawakamata na kuwaweka ndani hao wagombea ktk kituo cha polisi kisichojulikana. Shekhe Ponda hadi leo hajulikani kashikiliwa kituo gani.

Mtu muoga ni hatari kwa ustawi wa nchi.
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Wakati huo huo hana timu ya maana ya Kampeni
 
Back
Top Bottom