Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Kwa magufuri waliwah kuzi100
Watu au kwasababu wanakusanywa kutoka vijijini?
 

Attachments

  • 1445522070681.jpg
    1445522070681.jpg
    25.9 KB · Views: 221
Maelfu ya Bodaboda wanasema hawatadanganyika kupoteza haki zao kwa kuchagua mtu asiye na dira bali watamchagua Magufuli kutokana na Juhudi zake za kuwahakikishia katika uongozi wake kuwa serikali yake itatengeneza mazingira rafiki kwa shughuli zao.

ni lini umeangea na maelfu ya waendesha bodaboda??

 
Raiti km ungejua mateso tunayo uapata boda boda usingeo ngea hayo,nchi mali yetu wote tunaambiwa hakuna kuingia mjini,ukisema uende walau utafute hela ya kula unapeleka a iria kwa sh 3000,ukikamatwa unaambiwa ulipe 60000 kuni na tano upeleke jiji na 45000, upeleke tambaza act malt,ikilala kwny yadi yao inaongezeka 10000 ,per day,je km ni ww ungekipigia kura chama hicho,au unatuletea pumba zako tuu humu

Mkuu umeongea kila kitu, hasa kwa niaba ya bodaboda wenzio!
 
Hata baiskeli tunajua uko Lumumba Na makamba mnalipwa kwa kutukana
 
Wote tumeona na kusikia jinsi Dr Magufuli alivyoiteka Dar. Kila mtu sasa keshaona Dr Magufuli anaungwa na watu wa rika zote, dini zote hata waasisi wa taifa kama akina mzee mwinyi, mkapa wanamuunga mkono.

Kura yangu na marafiki zangu na familia yangu tunamchagua Dr Magufuli 25/10
 
Wote tumeona na kusikia jinsi Dr Magufuli alivyoiteka Dar. Kila mtu sasa keshaona Dr Magufuli anaungwa na watu wa rika zote, dini zote hata waasisi wa taifa kama akina mzee mwinyi, mkapa wanamuunga mkono.

Kura yangu na marafiki zangu na familia yangu tunamchagua Dr Magufuli 25/10

Dar ipi hii ambayo anazomewa au?
 
Wote tumeona na kusikia jinsi Dr Magufuli alivyoiteka Dar. Kila mtu sasa keshaona Dr Magufuli anaungwa na watu wa rika zote, dini zote hata waasisi wa taifa kama akina mzee mwinyi, mkapa wanamuunga mkono.

Kura yangu na marafiki zangu na familia yangu tunamchagua Dr Magufuli 25/10
Zomea yote aliyokumbana nayo alafu wewe unaleta porojo.
Elimu bure mpaka chuo kikuu by Lowasa.
Chagua UKAWA, Chagua Lowasa uelimike bure.
 
Watanzania wenzangu ikiwa imebaki siku moja tu tukafanye uchaguzi mkuu katika historia ya nchi yetu kuna baadhi ya mambo napenda tujadili kwa sasabbu propaganda katika media na magazeti zimezagaa sana kwamba ukawa wanakura nyingi zaidi ya CCM.

Binafsi sikubaliani na hilo na halina ukweli wowote. ukawa ana mtaji wa kura sana sana kwa vijana tena vijana wa kiume, na tukumbuke kuwa CCM ina vijana wengi sana wa jinsia zote kama mtaji wake, kwa hiyo ukawa wasijihesabie kwamba kura zote za vijana ni zao.

CCM ina mtaji mkubwa wa kura kwa wanawake na watu wazima hasa wanawake ambao ni idadi kubwa sana ya watu katika wapiga kura, tofauti na ukawa ambao mbali na vijana wao ambao asilimia zaidi ya 90 ni wa kiume, ni wanawake wachache sana na wazee wachache katika idadi ya wapiga kura wote ndiyo inayo wasapoti, pia ikumbukwe chama cha act imepunguza idadi ya wanachama kutoka ukawa, lazima ukawa wajue hawana kura zote pia kuna vyama vingine vya siasa.

Kitu cha pili ni kwamba Magufuli amezunguka maeneo mengi zaidi ya Lowassa na amekutana na wapiga kura wengi zaidi , na kafanya mikutano mingi zaidi mijini na vijijini na asilimia zaidi ya 99 amekubalika vikubwa katika mikutano hiyo, tofauti na lowassa ambaye mikutano yake ni mijini tu.

Kwa hiyo suala la ukawa kujihakikishia kura na kudiriki kuaminisha watu kuwa wao lazima washinde ni mbinu ya kujihami tu kwa sababu Magufuli ameonyesha kuwa anakubalika pia kwa asilimia kubwa tu, kwa sababu pia kuna wengi waliohama ukawa na kurudi CCM.

Pia ikumbukwe wapiga kura wengi wa CCM hawabishani mitaani wamekaa kimya wakisubiri mda wa kupiga kura ufike. kwa hiyo ukawa wasitufanye wajinga katuika hili, wajue kuwa Magufuli ana nguvu kubwa na ana watu wengi sana nyuma yake.

UKAWA wasitudanganye, tusimame kwenye uhalisia.
 
ukawa tusidanganyane kuwa eti wana kura nyingi zaidi, za kutoka wapi? mbona hata magufuli ana kura nyingi sana pia?
 
ukawa tusidanganyane kuwa eti wana kura nyingi zaidi, za kutoka wapi? mbona hata magufuli ana kura nyingi sana pia?

Naiman hata jeikei atampigia kura lowassa...wewe pia utampigia lowassa japo unajitekenya hapa!!! Toroka uje.
 
Naiman hata jeikei atampigia kura lowassa...wewe pia utampigia lowassa japo unajitekenya hapa!!! Toroka uje.
Hongereni sana Ccm kwa kuelekea kupata ushindi mkubwa sana na kuwapagawisha wapinzani wapinzani wanatetemeka.
 
ukweli ndio huo, MAGUFULI ndio raisi , huyo mwingine anapoza machungu ya kukatwa tu na ujasiri wake wa kifisadi


watanzania wenzangu ikiwa imebaki siku moja tu tukafanye uchaguzi mkuu katika historia ya nchi yetu kuna baadhi ya mambo napenda tujadili kwa sasabbu propaganda katika media na magazeti zimezagaa sana kwamba ukawa wanakura nyingi zaidi ya ccm. binafsi sikubaliani na hilo na halina ukweli wowote. ukawa ana mtaji wa kura sana sana kwa vijana tena vijana wa kiume, na tukumbuke kuwa ccm ina vijana wengi sana wa jinsia zote kama mtaji wake, kwa hiyo ukawa wasijihesabie kwamba kura zote za vijana ni zao. ccm ina mtaji mkubwa wa kura kwa wanawake na watu wazima hasa wanawake ambao ni idadi kubwa sana ya watu katika wapiga kura, tofauti na ukawa ambao mbali na vijana wao ambao asilimia zaidi ya 90 ni wa kiume, ni wanawake wachache sana na wazee wachache katika idadi ya wapiga kura wote ndiyo inayo wasapoti, pia ikumbukwe chama cha act imepunguza idadi ya wanachama kutoka ukawa, lazima ukawa wajue hawana kura zote. pia kuna vyama vingine vya siasa.


kitu cha pili ni kwamba magufuli amezunguka maeneo mengi zaidi ya lowassa na amekutana na wapiga kura wengi zaidi , na kafanya mikutano mingi zaidi mijini na vijijini na asilimia zaidi ya 99 amekubalika vikubwa katika mikutano hiyo, tofauti na lowassa ambaye mikutano yake ni mijini tu.



kwa hiyo suala la ukawa kujihakikishia kura na kudiriki kuaminisha watu kuwa wao lazima washinde ni mbinu ya kujihami tu kwa sababu magufuli ameonyesha kuwa anakubalika pia kwa asilimia kubwa tu, kwa sababu pia kuna wengi waliohama ukawa na kurudi ccm. pia ikumbukwe wapiga kura wengi wa ccm hawabishani mitaani wamekaa kimya wakisubiri mda wa kupiga kura ufike. kwa hiyo ukawa wasitufanye wajinga katuika hili, wajue kuwa magufuli ana nguvu kubwa na ana watu wengi sana nyuma yake.


ukawa wasitudanganye, tusimame kwenye uhalisia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom