Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
Hata kuifanyia kampeni CCM ni kazi mno kwa sasa!
Mgombea wa Urais Dr Magufuli katika kampeni zake hadi sasa zimepelekea kuungwa mkono na Watanzania wengi na hata wale kutoka upinzani.Dr Magufuli anapata pongezi tele kwa sasa kutoka kila pande kutokana na ushindi mnono atakaopata.

Maelfu ya Bodaboda wanasema hawatadanganyika kupoteza haki zao kwa kuchagua mtu asiye na dira bali watamchagua Magufuli kutokana na Juhudi zake za kuwahakikishia katika uongozi wake kuwa serikali yake itatengeneza mazingira rafiki kwa shughuli zao.
Naamini baada ya kutoka maliwatoni ndio umeandika hiki kituko. Hivi kwa muda wote huu wa kampeni umeshindwa kumjua mgombea ambaye hana DIRA??? Ambaye kila akisimama kwenye jukwaa la kampeni ana jikaririsha yale yote aliyo ahidi mgombea pinzani?
Mara nitazungusha mikono mara 40, mara M4C ni Magufuli sijui ...........! Mara mabadiliko ni Magufu..................! Mara Peoples' Powerrrrrr............... sijui hizo nguvu mnipe m..................!
Hamna kitu pale. Halafu wapanga mikakati yake ni wale wale wezi wa mitihani na kushindwa kwenye mambo mengine ya kuwatumikia wananchi.
Huna lolote zaidi ya kukurupuka na kuja kuandika utumbo hapa. Au na wewe unajiita GT?
Raiti km ungejua mateso tunayo uapata boda boda usingeo ngea hayo,nchi mali yetu wote tunaambiwa hakuna kuingia mjini,ukisema uende walau utafute hela ya kula unapeleka a iria kwa sh 3000,ukikamatwa unaambiwa ulipe 60000 kuni na tano upeleke jiji na 45000, upeleke tambaza act malt,ikilala kwny yadi yao inaongezeka 10000 ,per day,je km ni ww ungekipigia kura chama hicho,au unatuletea pumba zako tuu humu