Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Kwa mujibu wa kichwa cha habar hapo juu, wapigakura walio wengi mpaka sasa wameamua kubadili fikra zao juu ya raisi wamtakaye.Tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo wengi wao walitumainia kwamba Lowassa kupitia CHADEMA wanaweza kukombolewa kwa mabadiliko muafaka yanayohuburiwa kila kukicha. Hali imekuwa tofauti ambapo baada ya Lowassa na Magufuli kuanza kujinadi kwa sera zao ktk maeneo tofauti ya tanzania; wapiga kura wameona bora "TUMPIGIE MAGUFULI KULIKO LOWASSA"
kwa mujibu wa dodoso zangu sababu wanazozitoa ni hizi:-
A."Lowassa ni mdhaifu mno kiafya kuliko Magufuli" {japokuwa wote wagonjwa}.wapigakura wameona bora magufuli anaweza kuimili mikiki mikiki ya uraisi kwa miaka 5 kuliko EL.
B."Hawezi kuongea kwa mda mrefu na kwa ufasaha".Wapigakura wanajiuliza je,tukimpa urais anaweza kurihutubia taifa kwa mda mrefu na kwa ufasaha?
C.Ombwe la ufisadi bado linamtesa sababu majibu ya kueleweka mpaka sasa hayaeleweki.
Mpaka dakika hii Maguful anaelekea kushinda kwa kishindo baada ya wapigakura kubadil uamuz

Lowasa haaminiki kabisaa, muongo muongo sana.
 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 21, 2015.

OTH_8085.jpg

Waja leo waondoa leo?

​

Filed Under: MATUKIO, NEWS, SIASA, UDAKU22 October 2015

​
Kwa mujibu wa kichwa cha habar hapo juu, wapigakura walio wengi mpaka sasa wameamua kubadili fikra zao juu ya raisi wamtakaye.Tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo wengi wao walitumainia kwamba Lowassa kupitia CHADEMA wanaweza kukombolewa kwa mabadiliko muafaka yanayohuburiwa kila kukicha. Hali imekuwa tofauti ambapo baada ya Lowassa na Magufuli kuanza kujinadi kwa sera zao ktk maeneo tofauti ya tanzania; wapiga kura wameona bora "TUMPIGIE MAGUFULI KULIKO LOWASSA"
kwa mujibu wa dodoso zangu sababu wanazozitoa ni hizi:-
A."Lowassa ni mdhaifu mno kiafya kuliko Magufuli" {japokuwa wote wagonjwa}.wapigakura wameona bora magufuli anaweza kuimili mikiki mikiki ya uraisi kwa miaka 5 kuliko EL.
B."Hawezi kuongea kwa mda mrefu na kwa ufasaha".Wapigakura wanajiuliza je,tukimpa urais anaweza kurihutubia taifa kwa mda mrefu na kwa ufasaha?
C.Ombwe la ufisadi bado linamtesa sababu majibu ya kueleweka mpaka sasa hayaeleweki.
Mpaka dakika hii Maguful anaelekea kushinda kwa kishindo baada ya wapigakura kubadil uamuz
 
Wewe sijuhi nikutafutie tusi gani litakalo kufaa! kwa taarifa yako kila kukicha hata nasi tuliopo huku mashambani, tunazidi kuongeza matumaini ya ukawa kushika Ikulu.Kundi laongezeka.

Wewe watu wote kwenye kura za urais wamemgeuka kabisa Lowasa hasa hasa kuanzia jana, wamesema kwa wabunge wataamua wenyewe ila urais ni Magufuli, toroka uje.
 
Wewe sijuhi nikutafutie tusi gani litakalo kufaa! kwa taarifa yako kila kukicha hata nasi tuliopo huku mashambani, tunazidi kuongeza matumaini ya ukawa kushika Ikulu.Kundi laongezeka.

wenye akili za kushikiwa ndo tabia yao ya kutukana pasipo hoja za maana. Kwa kuwa umepofushwa akili hutoona wala kuujua ukweli.
 
Mgombea wa Urais Dr Magufuli katika kampeni zake hadi sasa zimepelekea kuungwa mkono na Watanzania wengi na hata wale kutoka upinzani.Dr Magufuli anapata pongezi tele kwa sasa kutoka kila pande kutokana na ushindi mnono atakaopata.
 
Tupo na Magufuli, upinzani kwishinei
 
Mgombea wa Urais Dr Magufuli katika kampeni zake hadi sasa zimepelekea kuungwa mkono na Watanzania wengi na hata wale kutoka upinzani.Dr Magufuli anapata pongezi tele kwa sasa kutoka kila pande kutokana na ushindi mnono atakaopata.

Kambi ipi sasa? KUB au ipi? Mliambiwa na TWAWEZA Msiosoma ndio mnaiunga mkono CCM! nimramini kauli hiyo, ona umeandika nini sasa hapa?
 
Wapinzani wasubirie 2020 lakini kwa mikakati ya Dr. Makifuli baada ya kuapishwa huo mchakamchaka wake 2020 tena atapita kiulani sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom