Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

asilimia 80% ya kupiga push up au makufuli nselema?? 😂😂😂😀😀
 
10672036_746287978810237_3274281751880828886_n.jpg
 
Kwa mujibu wa kichwa cha habar hapo juu, wapigakura walio wengi mpaka sasa wameamua kubadili fikra zao juu ya raisi wamtakaye.Tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo wengi wao walitumainia kwamba Lowassa kupitia CHADEMA wanaweza kukombolewa kwa mabadiliko muafaka yanayohuburiwa kila kukicha. Hali imekuwa tofauti ambapo baada ya Lowassa na Magufuli kuanza kujinadi kwa sera zao ktk maeneo tofauti ya tanzania; wapiga kura wameona bora "TUMPIGIE MAGUFULI KULIKO LOWASSA"

Kwa mujibu wa dodoso zangu sababu wanazozitoa ni hizi:-

A. "Lowassa ni mdhaifu mno kiafya kuliko Magufuli" {japokuwa wote wagonjwa} wapigakura wameona bora magufuli anaweza kuimili mikiki mikiki ya uraisi kwa miaka 5 kuliko EL.

B. "Hawezi kuongea kwa mda mrefu na kwa ufasaha".Wapigakura wanajiuliza je,tukimpa urais anaweza kurihutubia taifa kwa mda mrefu na kwa ufasaha?

C. Ombwe la ufisadi bado linamtesa sababu majibu ya kueleweka mpaka sasa hayaeleweki.

Mpaka dakika hii Magufuli anaelekea kushinda kwa kishindo baada ya wapigakura kubadil uamuzi
 
Hii thread itakuwa imetokea kitengo cha wapiga simu waliopo hostel za chuo kikuu cha afya muhimbili iliyopo masaki tu
 
Hii thread itakuwa imetokea kitengo cha wapiga simu waliopo hostel za chuo kikuu cha afya muhimbili iliyopo masaki tu

hii thread imetoka kwa mchambuzi huru ndani ya jamii huru ktk fikra huru na mtazamo huru kwa maamuzi huru.
 
Wewe sijuhi nikutafutie tusi gani litakalo kufaa! kwa taarifa yako kila kukicha hata nasi tuliopo huku mashambani, tunazidi kuongeza matumaini ya ukawa kushika Ikulu.Kundi laongezeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom