Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

kura zinazidi kuongezeka weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, lazima waisome namba mwaka huu
 
Kwa nini Lowassa anafaa kuiongoza Tanzania 2015 – 2020?

1. DIRA – Anajua Dira na mwelekeo anaoutaka kama Rais na anajua ni namna gani
atasimamia Utekelezaji kwa ufanisi na wala si kwa Vitisho na Push ups!!

Kiongozi asiyekuwa na dira wala mwelekeo kazi yake ni kuahidi tu na anapozidiwa na hoja basi hupiga push ups,kucheza rhumba na kuongea lugha gongana.

2. HESHIMA – Lowassa ana Heshima kwa watu wa rika zote,wadogo na wakubwa hata wale
ambao anapingana nao kifikra.Hajawahi kumtukana yeyote hadharani wala kumvunjia heshima kwa kauli,vitendo ama Kushabikia.

Kiongozi anayetukana ama kuwaruhusu watu wake kuwatukana na kuwavunjia heshima watu wengine hafai.Akipewa madaraka atawatumia watu hao hao kutukana wengine kwa sababu mbalimbali na hivyo kujenga uhasama.

3. SHAUKU – Lowassa kwa miaka mingi amekuwa na shauku ya kuondoa Umaskini katika nchi
yetu,anachukia Umaskini kwa Kauli na Vitendo.

Kiongozi ambaye amekuwa chanzo cha Umaskini wa watu wake kwa kuwavunjia nyumba zao kwa makosa ya Viongozi wa Vijiji, Halmashauri na Miji.

4. USHAWISHI- Lowassa amejaaliwa ushawishi wa hali ya juu ndani na nje ya nchi.Uwezo wake
wa kidiplomasia ni sifa tosha kwa nchi yetu.

Kiongozi asiyekuwa na ushawishi wa hali ya juu ndani na nje ya nchi ni mzigo,hata
Uwezo wake wa lugha za kigeni ni mdogo.

5. UPENDO - Lowassa anaipenda nchi yake na ameitumikia kwa Miaka mingi na kuwapenda
watoto,vijana,wanawake,wazee bila kujali dini,makabila, na jamii zao

Kiongozi asiyekuwa na upendo na watu wake kwa kuwatusi wapinzani wake,kuwavunjia makazi yao,kuwachomea nyavu zao na hata kuwatisha na kuwakejeli HATUFAI

6. UADILIFU - Lowassa ni muadilifu aliyeitumikia nchi yake pasipo kufikishwa Mahakamani kwa
makosa yake binafsi ama yatokanayo na utendaji wake wa kazi.

Kiongozi ambaye alipadharau chombo cha sheria alipohitajika kuhudhuria na aliyeisababishia Nchi yake hasara kwa kushinda kuwalipa wakandarasi HATUFAI

7. MGAWANYO WA MADARAKA
Lowassa ni mfano mzuri katika mgawanyo wa madaraka. Amekuwa akiwapa nafasi watu wake wa karibu katika utendaji.Maamuzi yake ni shirikishi na mipango yake ni ya pamoja

Kiongozi mwenye hulka ya kuingilia Mamlaka ya wengine na kutoa Maamuzi ya kibabe pasipo kuwashirikisha watu wngine HATUFAI.

8. MSAADA KWA WENGINE
Lowassa amekuwa na tabia ya kuwapa msaada wengine katika Kuongoza.
Kiongozi anayesubiri wengine wakosee ili awaadhibu hafai.Uongozi shirkishi ni mzuri kwa mustakabari wa Taifa letu

9. MAWASILIANO Lowassa ni mtu wa kutaka kujua maendeleo ya mambo mbalimbali na anayetaka
wengine wafahamu mwendeleo wa mikakati mbalimbali inayofanyika.

Kiongozi anayekalia taarifa za Kimaendeleo bila kuwashirikisha wengine
hatufai.Kiongozi asiyekuwa na mawasiliano mazuri na Wananchi wake HATUFAI

10. KUJIAMINI Kiongozi makini anajiamini na anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Kanuni
na sheria. Kutojiamini,kulalamika sio sifa ya Kiongozi bora.Kiongozi asiyejiamini na asiyewaamini wenzake ni hatari kwa nchi yetu.Atahitaji kufanya kazi zote peke yake na mwisho wa siku ataishia kulalamika kuwa hakupata ushirikiano.

Toeni hata sababu mia ila ikulu magufuli haingii!!!!!!! kwa nguvu ya wananchi
 
Nakubali kwamba CCM wanauwezekano mkubwa wa kushinda.Ila jambo moja tunalijua,hata kama watashinda,watashinda kwa ajili ya wizi wa kura.That is the bottom line.
[h=3]
12115712_451328841735342_9027924494541944449_n.jpg
[/h] Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90.Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM.
 
Kwa nini Lowassa anafaa kuiongoza Tanzania 2015 – 2020?

1. DIRA – Anajua Dira na mwelekeo anaoutaka kama Rais na anajua ni namna gani
atasimamia Utekelezaji kwa ufanisi na wala si kwa Vitisho na Push ups!!

Kiongozi asiyekuwa na dira wala mwelekeo kazi yake ni kuahidi tu na anapozidiwa na hoja basi hupiga push ups,kucheza rhumba na kuongea lugha gongana.

2. HESHIMA – Lowassa ana Heshima kwa watu wa rika zote,wadogo na wakubwa hata wale
ambao anapingana nao kifikra.Hajawahi kumtukana yeyote hadharani wala kumvunjia heshima kwa kauli,vitendo ama Kushabikia.

Kiongozi anayetukana ama kuwaruhusu watu wake kuwatukana na kuwavunjia heshima watu wengine hafai.Akipewa madaraka atawatumia watu hao hao kutukana wengine kwa sababu mbalimbali na hivyo kujenga uhasama.

3. SHAUKU – Lowassa kwa miaka mingi amekuwa na shauku ya kuondoa Umaskini katika nchi
yetu,anachukia Umaskini kwa Kauli na Vitendo.

Kiongozi ambaye amekuwa chanzo cha Umaskini wa watu wake kwa kuwavunjia nyumba zao kwa makosa ya Viongozi wa Vijiji, Halmashauri na Miji.

4. USHAWISHI- Lowassa amejaaliwa ushawishi wa hali ya juu ndani na nje ya nchi.Uwezo wake
wa kidiplomasia ni sifa tosha kwa nchi yetu.

Kiongozi asiyekuwa na ushawishi wa hali ya juu ndani na nje ya nchi ni mzigo,hata
Uwezo wake wa lugha za kigeni ni mdogo.

5. UPENDO - Lowassa anaipenda nchi yake na ameitumikia kwa Miaka mingi na kuwapenda
watoto,vijana,wanawake,wazee bila kujali dini,makabila, na jamii zao

Kiongozi asiyekuwa na upendo na watu wake kwa kuwatusi wapinzani wake,kuwavunjia makazi yao,kuwachomea nyavu zao na hata kuwatisha na kuwakejeli HATUFAI

6. UADILIFU - Lowassa ni muadilifu aliyeitumikia nchi yake pasipo kufikishwa Mahakamani kwa
makosa yake binafsi ama yatokanayo na utendaji wake wa kazi.

Kiongozi ambaye alipadharau chombo cha sheria alipohitajika kuhudhuria na aliyeisababishia Nchi yake hasara kwa kushinda kuwalipa wakandarasi HATUFAI

7. MGAWANYO WA MADARAKA
Lowassa ni mfano mzuri katika mgawanyo wa madaraka. Amekuwa akiwapa nafasi watu wake wa karibu katika utendaji.Maamuzi yake ni shirikishi na mipango yake ni ya pamoja

Kiongozi mwenye hulka ya kuingilia Mamlaka ya wengine na kutoa Maamuzi ya kibabe pasipo kuwashirikisha watu wngine HATUFAI.

8. MSAADA KWA WENGINE
Lowassa amekuwa na tabia ya kuwapa msaada wengine katika Kuongoza.
Kiongozi anayesubiri wengine wakosee ili awaadhibu hafai.Uongozi shirkishi ni mzuri kwa mustakabari wa Taifa letu

9. MAWASILIANO Lowassa ni mtu wa kutaka kujua maendeleo ya mambo mbalimbali na anayetaka
wengine wafahamu mwendeleo wa mikakati mbalimbali inayofanyika.

Kiongozi anayekalia taarifa za Kimaendeleo bila kuwashirikisha wengine
hatufai.Kiongozi asiyekuwa na mawasiliano mazuri na Wananchi wake HATUFAI

10. KUJIAMINI Kiongozi makini anajiamini na anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Kanuni
na sheria. Kutojiamini,kulalamika sio sifa ya Kiongozi bora.Kiongozi asiyejiamini na asiyewaamini wenzake ni hatari kwa nchi yetu.Atahitaji kufanya kazi zote peke yake na mwisho wa siku ataishia kulalamika kuwa hakupata ushirikiano.

Mkuu Abel huu uzi umesimama sana nimeuelewa mnooo!!!!
 
Habari ndefu kama hizi saizi zilisha nichosha nasubulia siku ifike nikampigie kura lowasa na niilinde kura basi na kura yangu na kura yako ndiyo itakayo ongea kwahiyo tukiendelea kubishana sana haitakuwa haina maana ila tusububiri siku ifike.
 
Namba hazidanganyi 300+ billions za Escrow, budget ya trillion 4 kusafiri nje ya nchi ku"omba omba", Billioni za Meli ya bagamoyo to dar, trillions za ku install bomba la gesi kutoka mtwara afu Mgombea Urais anatuambia tutanufaika 7years later *huku umeme bado wa mgao, billions za rada, billions za meli ya wachina, billions-trillions ya deni la taifa, billions za NHC and the list goes on *ongezea nlizoziacha
 
Ikulu hiyo ..Ikulu hiyo, jamaa zangu waliokuwa Ukawa toka hii wiki imeanza wamekuwa na mawazo sana na wamekosa raha sana ..nawapeni pole sana Ukiwa, jaribuni tena miaka ijayo ..Watanzania tunampenda sana Magufuri
 
Kwenye karatasi ya kupigia kura kuna vibox vinne, cha kwanza Mgombea Nafasi ya Rais (Dkt. Magufuli), cha pili mbunge, cha tatu ni alama ya bendera ya chama (CCM) na cha nne ni maamuzi yako (box wazi la kuweka alama ya vema) ya kumpa Magufuli, wabunge wa CCM na Madiwani tuwape kazi ili atekeleze kauli yake ya Mgombea Urais Magufuli ya “HAPA KAZI TU!” ili Tanzania isimame imara ndani na nje ya nchi.

Kura yangu nampa Magufuli, naamini nawe ni mzalendo wa dhati, kura yako mpe Magufuli siku ya Oktoba 25 mwaka huu.
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Umesema vema. MAGUFULI YUPO JUU.
 
Hapa kazi tu Magufuli ndiye Raisi wa awamu ya tano
 
Kampeni hai na zenye mvuto za Dr. Magufuli zimemwakishia ushindi hadi kufikia aslimia 80. Hongera sana Magufuli kwani ulivyotikisa kanda ya ziwa na jiji la Dar es salaam hakika ushindi ni wako. Wapinzani wanatetemeka hadi wanaanza kumpigia kampeni Magufuli. Mmoja asema hatuwezi kumpigia kura anayeshindwa, yaani Lowassa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom