KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Historia gani utapata kwa primitive commoner?Tafuta kujua historia yake naya ukoo
Historia gani utapata kwa primitive commoner?Tafuta kujua historia yake naya ukoo
Unamaanisha nini Mkuu?Haya maandalizi kwann wasiende kagera? Au kwa vile wanabunduki
Hebu fafanua Mkuu,sijaelewa kabisa.You do it very smart, few do understand. I told ya then!! Bado utabisha coz ubishi ni jadi...
Kipindi aliteuliwa kugombea uraisi na chama chake,Kuna mwana CCM (mwandosya sina uhakika sana) alilaumu sana jamaa hana leadership experience yyte.KinachoonekaWatu wenye mentality za 'kufanya harakati' badala ya management ndo wanavyokuwa
lazima wajiangushe wenyewe
Harakati ni kabla hujapata power
ukishapata power inatakiwa management skills sio tena 'harakati'
Samwel Doe alikuwa mbabe sana tena akijivunia utiifu wa jeshi lake la polisi.Polisi mishahara hawajaongezwa
na wakienda madukani wanakuta bidhaa zimepanda kisa kodi kuongezwa
na wao 'watamchukia' kimoyomoyo
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa za kiafrika, naamini atakuwa anajua kilichomtokea Samwel Doe.Sijui anataka watu wamwogope...?
Eti yeye hajaribiwi...kwani yeye nani? Mungu?
Keshaanza kuniboa sana kwa kweli.
Badala ya kukimbizana na majizi na mafisadi kabakia kutisha wananchi.
Mwasita moja = MWanza SImiyu TAbora mojaChadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Karanja, Ruttashobolwa has never made a sensible statement! Huyu ni pro CCM and therefore he is blind of the truth as long as he has a position in the government! Out of CCM, senses of truth may be will come!Ruttashobolwa mimi nakuheshimu sana bro na huwa nafurahishwa na michango yako ilioenda shule,lakini kwa hili la kumzodoa The Boss nona umechemsha au pengine umeghafilika,tafadhali tengua kauli yako kwake ndugu yangu nakuomba.
Mwandosya aliona mbali sana...na amejikalia kwake kuleee Rungwe katulia tuKipindi aliteuliwa kugombea uraisi na chama chake,Kuna mwana CCM (mwandosya sina uhakika sana) alilaumu sana jamaa hana leadership experience yyte.Kinachooneka
leo ndicho hicho hicho.
Hebu rudi usome ulichoandika. Ulitaka kuandikaje?
Aah! Ndio maana mnaupinga ukuta. Uungeni mkono ili muelimike. Ndalichako akisoma ulichokiandika anaweza kuandika barua ya kujiuzulu bila kutafakari. Unadhalilisha lugha ya watu.
Ni wapi amepiga marufuku watu wasiongee. |Ni kama jana namsikiliza Estehr Nulaya ambaye alipitia Kata zote 20m za wilaya yake akisema Mh. Rais amekataza mikutano na huku walioshikwa akili na Mbowe wakisema kweliii wakati yeye amezunguka bila kuibuguthiwa na mtu je unajua kwaniani kwa sababu alikuwa anahamasisha maendeleo na si kuweka vizingiti. Sasa kama alihutubia kwa nini anawadanganya walioshikwa akli kuwa wanasiasa wanakatazwa?!?! bahati nzuri matawapata wachache walioshiikiwa akili zao!Kuna vitu Rais yoyote akifanya ni rahisi mno kutengeneza maadui wapya weengi mno
La kwanza ni kuongeza kodi
la pili ni kupiga marufuku 'watu wasiongee'
Kiongozi yoyote akifanya hayo ni dhahiri upepo utabadilika na 'atachukiwa'
haraka mno.....
Huhitaji hata vyama vya siasa kubadili huo upepo
Sasa kama kuna watu wa kumshauri Magufuli....basi wamueleze tu ukweli
Kwanza awe makini na kupandisha kodi
kodi na tozo za biashara mbalimbali zimepandishwa kiholela
na sasa watu hawaruhusiwi hata kufanya mikutano
wala makongamano
wala kukosoa kwenye media........hivi vitu viwili vinaweza kufanya serikali
kutumia 'Jeshi la Polisi' kila siku na kila wakati.....
Kuna gharama kubwa mno serikali itaingia...ili kuimarisha jeshi la polisi
na kuliweka ready kila siku...kwa mambo ambayo busara kidogo ingetumika
kusingekuwa na ulazima.......
Ni wapi amepiga marufuku watu wasiongee. |Ni kama jana namsikiliza Estehr Nulaya ambaye alipitia Kata zote 20m za wilaya yake akisema Mh. Rais amekataza mikutano na huku walioshikwa akili na Mbowe wakisema kweliii wakati yeye amezunguka bila kuibuguthiwa na mtu je unajua kwaniani kwa sababu alikuwa anahamasisha maendeleo na si kuweka vizingiti
Polisi mishahara hawajaongezwa
na wakienda madukani wanakuta bidhaa zimepanda kisa kodi kuongezwa
na wao 'watamchukia' kimoyomoyo
Ni wapi amepiga marufuku watu wasiongee. |Ni kama jana namsikiliza Estehr Nulaya ambaye alipitia Kata zote 20m za wilaya yake akisema Mh. Rais amekataza mikutano na huku walioshikwa akili na Mbowe wakisema kweliii wakati yeye amezunguka bila kuibuguthiwa na mtu je unajua kwaniani kwa sababu alikuwa anahamasisha maendeleo na si kuweka vizingiti. Sasa kama alihutubia kwa nini anawadanganya walioshikwa akli kuwa wanasiasa wanakatazwa?!?! bahati nzuri matawapata wachache walioshiikiwa akili zao!
Sasa huyo Matiko wa Bunda si alifanya Mikutano kwenye kata zake zote 20?!?!?! Source mimi mwenyewe taarifa ya habari ya saa mbili ya ITV! mbona hakukataliwa?!?!?!? kwa sababu hakuwa na message za uchochezi na za uongo kama UKUTA inavyotaka kutoa ujumbe ambnaom si sahihi hata kidogo! Maandamano yafanyike ombi langu kama la muhushimiwa Raisi Mbowe, Seif, Lisu na fam,ilia zao ndio zika msatari wa mbele baaaas!Hivi unajifanya wewe peke yako ndio unajua kusikiliza eeeeh?
Acha unaa bana
Mungu wenu alisema haruhusu mtu kufanya mkutano nje ya jimbo lake....Katazo ambalo liko kinyume cha katiba yetu na sharia na kanuni za vyama vya siasa
Kwanza ina limit Haki ya kikatiba ya Movement,Ina limit haki ya Expression...katiba yetu haijanizuia mimi wa Nanyumbu kutokwenda kuongea na watu wa ukerewe...katiba inanipa haki ya kuongea popote Tanzania ilimradi sivunji sharia.
Sheria za vyama vya siasa zinaviruhusu vyama vyote vyenye usajili kufanya mikutano sehemu yoyote Tanzania wakati wowote ...na polisi wanapaswa kujulishwa na kutoa Ulinzi
Hayo makatazo ya MUNGU wako ameyatoa kadri ya nini? MUNGU wako anavunja katiba hatuwezi kumvumilia...Never
Kitendo cha waziri wa afya kukosoa na kurekebisha kauli yake ni aibu kubwa...tena ametumia kauli mbaya na tusi..""rais alikuwa anatania"" hiyo ni kejeli na dhihaka kwa rais