gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
miaka hii mitano ni ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu,tujipange itakapofikia 2020
LAANA NA IWE NAWE KWENYE UPOFU WAKO WA KUTOONA UKWELIChadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Nyie Mbowe jee....????Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Yupo mmoja Hapa jirani yng anauza ile aliosema spika Makinda kuwa ni kali kuliko....Halafu wengi wañàtukopa madukàñi NA gengeni wakiishiwa
Awamu hii Polisi watatumika Sana, Na bajeti yao Itakua Mara 3 ya bajeti ya kawaida ya mwakaKuna vitu Rais yoyote akifanya ni rahisi mno kutengeneza maadui wapya weengi mno
La kwanza ni kuongeza kodi
la pili ni kupiga marufuku 'watu wasiongee'
Kiongozi yoyote akifanya hayo ni dhahiri upepo utabadilika na 'atachukiwa'
haraka mno.....
Huhitaji hata vyama vya siasa kubadili huo upepo
Sasa kama kuna watu wa kumshauri Magufuli....basi wamueleze tu ukweli
Kwanza awe makini na kupandisha kodi
kodi na tozo za biashara mbalimbali zimepandishwa kiholela
na sasa watu hawaruhusiwi hata kufanya mikutano
wala makongamano
wala kukosoa kwenye media........hivi vitu viwili vinaweza kufanya serikali
kutumia 'Jeshi la Polisi' kila siku na kila wakati.....
Kuna gharama kubwa mno serikali itaingia...ili kuimarisha jeshi la polisi
na kuliweka ready kila siku...kwa mambo ambayo busara kidogo ingetumika
kusingekuwa na ulazima.......
Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.
Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.
Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.
Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.
Tatizo lake ni nini?
Hana ustahmilizu wa kukosolewa?
Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem on you
It more active in social media...I can assure you!
Wewe ni wawapi?taja kodi iliyopandishwa kiholela.Kuna vitu Rais yoyote akifanya ni rahisi mno kutengeneza maadui wapya weengi mno
La kwanza ni kuongeza kodi
la pili ni kupiga marufuku 'watu wasiongee'
Kiongozi yoyote akifanya hayo ni dhahiri upepo utabadilika na 'atachukiwa'
haraka mno.....
Huhitaji hata vyama vya siasa kubadili huo upepo
Sasa kama kuna watu wa kumshauri Magufuli....basi wamueleze tu ukweli
Kwanza awe makini na kupandisha kodi
kodi na tozo za biashara mbalimbali zimepandishwa kiholela
na sasa watu hawaruhusiwi hata kufanya mikutano
wala makongamano
wala kukosoa kwenye media........hivi vitu viwili vinaweza kufanya serikali
kutumia 'Jeshi la Polisi' kila siku na kila wakati.....
Kuna gharama kubwa mno serikali itaingia...ili kuimarisha jeshi la polisi
na kuliweka ready kila siku...kwa mambo ambayo busara kidogo ingetumika
kusingekuwa na ulazima.......
Shame on..... (nafikiri)Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Hahahaha.Ndio wasiwasi wangu tu huo, si wakuwaamini sana! Wale Polisi watiifu sidhani kama bado wengi kiasi hicho! Wale wa Misri waliuza game kipindi kile hahaahahaaah tusifike mbali. Niko kwenye maombi ya mfungo Mungu atuepushe na mambo haya
Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Wewe ni wawapi?taja kodi iliyopandishwa kiholela.
Kodi na tozo zote zipo kisheria kabisa kama hujui hilo.
Hata hivyo sishangai maana wewe kila siku ni topic zile zile na maneno yale yale..
Nchi gani inaendeshwa bila kodi?
Kama hutaki kulipa kodi funga biashara zako au nenda nchi ambayo utafanya biashara bila kulipa kodi au ushuru.
ELIMU! ELIMU! ELIMU!...Unafikiri yule Mwanafalsafa aliyesema hivyo alikuwa kichaa??? hapana! alijua kuna wajinga wengi na dawa yao ni ELIMU ELIMU ELIMU.Hiyo kwenye red maana yake nini?
Hivi kuna mnalojua zaidi ya kufyatua?
Kama huna macho ya kuona improvement basi matatizo uliyo nayo ni zaidi ya macho.kwani na wewe wawapi?unaridhika kuskia serikali imekusanya kiasi hiki,na kinaendelea kukusanya kiasi hiki,bila improvement yeyote katika sector yeyote,maji afya etc