Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Sijui anataka watu wamwogope...?

Eti yeye hajaribiwi...kwani yeye nani? Mungu?

Keshaanza kuniboa sana kwa kweli.

Badala ya kukimbizana na majizi na mafisadi kabakia kutisha wananchi.
NN hawa jamaa ndo watetezi wa hao mafisadi kaka kwa hiyo hii vita sio nyepesi kama unavyofikiri lazima upambane na wote Chadema hii sio ile ya miaka ile wapo kufanya lolote ili wapate sapoti waporadhi hata kuungana na shetani (jambazi/fisadi) kupata sapoti lakini nakuhakikishia hii vita tutaiweza tu kwa sababu raisi anatupa sapoti kubwa kupambana na hawa wote Chadema na mafisadi
 
Sasa huyo Matiko wa Bunda si alifanya Mikutano kwenye kata zake zote 20?!?!?! Source mimi mwenyewe taarifa ya habari ya saa mbili ya ITV! mbona hakukataliwa?!?!?!?

wewe hujielewi......Kata 20 za jimbo gani ? na matiko ni wa jimbo gani?

Nimekwambia Mungu wako amezuia mikutano nje ya jimbo la Mbunge...kitu ambacho ni kinyume cha katiba

uwe unaelewa basi

Kwani ni maandamano ya familia au ya Chama ...ndorobo ww
 
Ni kama anaonekana akikosolewa 'ataaibishwa'
hajui kukosolewa ni 'lazima' nyakati hizi
Hata akigawa chakula bure kwa Watanzania
kumkosoa hakuepukiki

Hata home baba na mama kukosolewa na watoto kawaida kabisa
Jana baba ulilewa ukawa unaimba...
 
Hata home baba na mama kukosolewa na watoto kawaida kabisa
Jana baba ulilewa ukawa unaimba...
Magufuli anawapa shida sana kila siku kawajaa kwenye akili zenu, mpaka miaka kumi iishe mtakuwa na hali ngumu sana
 
We
Magufuli anawapa shida sana kila siku kawajaa kwenye akili zenu, mpaka miaka kumi iishe mtakuwa na hali ngumu sana
Wewe ndio una hali ngumu....... laiti angejua hakuna mwenye kumjali angebadilisha gia.... ni ushamba tuu mkizoea mtanyamaza
 
We

Wewe ndio una hali ngumu....... laiti angejua hakuna mwenye kumjali angebadilisha gia.... ni ushamba tuu mkizoea mtanyamaza
Unamjali sana kila siku hamuishi kumtaja anawapeleka puta mpaka miaka kumi iishe mtakuwa mmechanganyikiwa kabisa
 
Kwanza kabisa nijipongeze #UKUTA
Hii kitu imenifumbua macho na kujua udhaifu wa hii serikali!!!

Swala la kuzuia mikutano nilianza kulisikia mdomoni Kwa waziri mkuu
Badae hakaja akakanusha

Mara ya pili nilisikia kwa Mh: Rais Mara nne tofauti
Tuache siasa tufanye kazi
Hakuna siasa mpaka 2020
Sijazuia siasa kwa maeneo watu walipo chaguliwa
Mimi sijaribiwi

Baada ya matamko hayo nilianza kuangalia mwenendo wa mkuu kwenye maswala yafuatayo

Pumzi ya utumbuaji majipu?
Mbona majipu bado yameajaa
Au majipu yalikuwa watumishi wa umma pekee?
Wanasiasa sio majipu?

Pumzi ya matamko!
Kupambana na ufisadi kuna siku nilimnukuu akisema Mafisadi wakinishinda msiniite Rais

Sasa si tayari wameshamshinda
Kwanini wanasiasa hawaguswi kwa ufisadi uliofanyika kuanzia kwenye alimashauri mpaka wizarani ?

Wote tuliona ukawa walivyoingia tu jiji la DSM walivyokuta uchafu wa hali ya juu ukiendelea!!!
Jerry Slaa alichokuwa amekifanya huko ilala ukiwa meya kakini mpaka sasa kimya!!!

Jiji la Arusha wanaccm walikuwa wamefungua mpaka account hewa!!
Lakini mpaka sasa hivi kimya !!!

Watu wote waliokamatwa kesi zao hata hatujui zinaendaje !!

Mahakama ya mafisadi tuliambiwa inaanza mwezi wa 7 mpaka sasa kimya !!

Yaani sheria ya mahakama ya mafisadi ipitishwe na mafisadi alafu tutegemee kitu hapo??

Hapo ndipo nikagundua ajenda ya kupambana na ufisadi ilikuwa imezikwa lasimi hakaja na ajenda ya kupambana na upinzani ambayo naona kama haiwezekani kufanikiwa!!

Wacha tuendelee kusubiri
Mahakama ya mafisadi
Viwanda
Na Tanzania mpya!!!
Pumzi kama imekata tunaona tu wala hakuna haja ya kufundishwa !!!

Haiwezekani Mwanafunzi kufaulu mtihani wakati maswali unajibu yanaishia katikati!!!

Tukutane @ #Operation Ukuta 1 September!!!
 
VIWANDA WAHINDI TUPO MBONA TUNAJENGA.SUBIRINI VIBARUA NA ULINZI.
 
Back
Top Bottom