Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

ACHA KULOPOKA!KUHUSU SUALA LA KUONGEZA KODI LIMELETA ATHARI KUBWA KTK BIASHARA HADI WAFANYABIASHARA WA CHINI KUUMIAAA......
Kumbe wangeshida majizi Chadema wafabiashara wasingetozwa kodi.??

Kwa hiyo mngeipuuza sheria ya kodi??

Asante Mungu kwa kutuepusha na Mafisadi
 
Kofi itozwe lakini siyo kuongeza Kodi zisizokuwa na kichwa wala mguu,unajua kwanini biashara ya mazao imeanguka na mpaka mfanyabiashara wa Chini anaumia...kwa sababu ya kuwaongezea Kodi watu wa export....hali mbayaa
Kumbe wangeshida majizi Chadema wafabiashara wasingetozwa kodi.??

Kwa hiyo mngeipuuza sheria ya kodi??

Asante Mungu kwa kutuepusha na Mafisadi
 
Asante Mkuu ulikuwa unaniangusha sana kutetea kukanyangwa katiba na sharia za nchi kunakofanywa na mtukufu wetu Rais. Kiukweli na kiutu hatuwezi kui- compromise katiba na sharia za nchi kwa sababu yoyote ile.
Usijali mkuu tuko pamoja.
Mimi jinsi nilivyo sifungamani na upande wowote....
 
Katika vitu ambavyo tumepungukiwa kwa sasa kama taifa ni kushindwa kufanya mambo Kimantiki.
 
Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.
Labda alikuwa anamaanisha "Shemeji" maana naona ameandika "Shem" badala ya Shame. Mwambie inatakiwa kuwa "Shame on you" na si "Shem to you". Hizi shule za kata ni majanga tu.
 
Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.
Labda alikuwa anamaanisha "Shemeji" maana naona ameandika "Shem" badala ya Shame. Mwambie inatakiwa kuwa "Shame on you" na si "Shem to you". Hizi shule za kata ni majanga tu.
 
Ni kama anaonekana akikosolewa 'ataaibishwa'
hajui kukosolewa ni 'lazima' nyakati hizi
Hata akigawa chakula bure kwa Watanzania
kumkosoa hakuepukiki
Kitendo cha waziri wa afya kukosoa na kurekebisha kauli yake ni aibu kubwa...tena ametumia kauli mbaya na tusi..""rais alikuwa anatania"" hiyo ni kejeli na dhihaka kwa rais
 
Polisi mishahara hawajaongezwa
na wakienda madukani wanakuta bidhaa zimepanda kisa kodi kuongezwa
na wao 'watamchukia' kimoyomoyo
hivi kwa nini tunasema polisi, raia au wananchi. kama polisi wanapewa vitambulisho vya uraia na wao si ni raia? kama mvua inyeshavyo kwa watu wote fujo pia huwasumbua watu wote
 
Msimlaumu sana pengine alipokea Urithi mbaya kwa aliemtangulia, inawezekana aliambiwa neno moja tu na yeye amelichukulia vibaya sana. Kama mimi ninaweza kukwambia " hao jamaa usiwachekee sana" ingawa mimi ulikua unaniona nacheka nao kama kawaida. Sasa utakavolipokea wewe inakua tofauti na ili upate sifa hapo ndio panapokuja kuwa kituko. Ninaamini Magufuli amewahi kuonywa kuhusu wapinzani hili kwenye chama chake haliwezi kuepukika lakini anapitiliza na hao waliowahi kumpa maoni yao wanamshanga, na wengine wanaweza kutaka kuiona Tanzania mpya ambayo iliyokuwa haikuwahi kutokea.

Kwa sasa mtangulizi wake ameshamchoka kwa vioja alivomfanyia sizani kama anampa hata dondoo za ushauri, na kwa kawaida yetu waswahili ni watu wa kibri kama mtanielewa, unatamani umuone mwenzako anaanguka ili upate pa kuanzia kulaumu. ni wazo tu binafsi.
 
Unakumbuka wakati wa kampeni kuna siku alipitia juu ya roof ya gari??.. Tangu siku hiyi nikajua huyu hana subira wala tafakar kabla ya kusema

Alipaswa kuwa PM Kikwete ndo awe Rais...labda wange balance
 
Asipoangalia hili suala la UKUTA litamtia doa sana hata huenda uchaguzi unaokuja utampa wakati mgumu sana
 
Polisi wenyewe wa digitali hawa, hawakawii kuuza mechi au kuweka mpira kwapani na kukimbia! Nimejisemea tu
Hahaha.......daaahhh wa bongo ni shida wanafungisha goli halafu wanasema sare.....ogopa sana
 
Back
Top Bottom