Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Umeongea kitu cha maana sana sana....najuwa watu watafanya mzaha hapa ila naamini umeongea kitu cha kweli kabisa.
 
Alipaswa kuwa PM Kikwete ndo awe Rais...labda wange balance
His reasoning capacity is very low..he never reason before he speaks..he just utter whatever comes in his mind...kikwete had his own flaws but he knew the rules of the game in politics....magufuli is temperamentaly unfit for the job..
The big difference btn kikwete and magufuli is that..the former was busy building a NATION,the later is busy building a COUNTRY...
 
Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.
Ameandika Shem to you...instead of shame on you..Sasa Wewe unampendelea kwa Neno shame hakulipatia labda arudi tena aseme 'Alikuwa anatania'
 
His reasoning capacity is very low..he never reason before he speaks..he just utter whatever comes in his mind...kikwete had his own flaws but he knew the rules of the game in politics....magufuli is temperamentaly unfit for the job..
The big difference btn kikwete and magufuli is that..the former was busy building a NATION,the later is busy building a COUNTRY...

Yaani umeongea kitu very true.....
anashauriwa kusoma hotuba
 
Wewe ni wawapi?taja kodi iliyopandishwa kiholela.
Kodi na tozo zote zipo kisheria kabisa kama hujui hilo.

Hata hivyo sishangai maana wewe kila siku ni topic zile zile na maneno yale yale..
Nchi gani inaendeshwa bila kodi?

Kama hutaki kulipa kodi funga biashara zako au nenda nchi ambayo utafanya biashara bila kulipa kodi au ushuru.
Wewe Sijui Ni Tuliaaa..amesema ongezeko la kodi Ni kubwaa mno Na ghafra...Eboooo!
 
Huu mwendo wakuu niliuchukulia poa sana ila sasa naanza ona chenga huko mbele .......maana uchumi unakaba acha kabisa.Kila siku shillingi inazidi kunikimbia na kasi yake ka usian Bolt vumbi tu..... mwenzenu huku nachezea za uso deileeeee.... ukiongezea hayo mengne ndo balaa yaani kama vile mtoto wa geti kali hakuna pa kupumulia.Saa zingine nafikiri yawezekana hatujauzoea mwendo huenda tukauzoea
 
Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.

Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.

Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.

Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.

Tatizo lake ni nini?

Hana ustahmilizu wa kukosolewa?

Bado IPTL wanalipwa 400 kwa siku...kinyume na maadhimio ya bunge.

Lugumi bado ina dunda.

Escrow....walio chota mapesa StanBank.

Bado wanataka kuuza nyumba za serekali.

Makada kuteuliwa kuwa watumishi wa umma bila kkufanyiwa usahili.

Matamko ya hovyo....mara mfyetuwe tu nita wasomesha.

Matusi na kejeli kwa baadh ya watu na taasisi...mfano vilaza

Teuzi kila kukisha....mtu anateuliwa ndani ya wiki anatenguliwa

Uwanja wa Ndege CHATO...hivi unatija gan au ni wa familia?
 
Huu mwendo wakuu niliuchukulia poa sana ila sasa naanza ona chenga huko mbele .......maana uchumi unakaba acha kabisa.Kila siku shillingi inazidi kunikimbia na kasi yake ka usian Bolt vumbi tu..... mwenzenu huku nachezea za uso deileeeee.... ukiongezea hayo mengne ndo balaa yaani kama vile mtoto wa geti kali hakuna pa kupumulia.Saa zingine nafikiri yawezekana hatujauzoea mwendo huenda tukauzoea

Hadi airport ya Chato ijengwe labda
 
Bado IPTL wanalipwa 400 kwa siku...kinyume na maadhimio ya bunge.

Lugumi bado ina dunda.

Escrow....walio chota mapesa StanBank.

Bado wanataka kuuza nyumba za serekali.

Makada kuteuliwa kuwa watumishi wa umma bila kkufanyiwa usahili.

Matamko ya hovyo....mara mfyetuwe tu nita wasomesha.

Matusi na kejeli kwa baadh ya watu na taasisi...mfano ******

Teuzi kila kukisha....mtu anateuliwa ndani ya wiki anatenguliwa

Uwanja wa Ndege CHATO...hivi unatija gan au ni wa familia?

wenye umeme bado tunanunua tu kwa kampuni zilezile
 
..inasikitisha zaidi anapowazuia wenzake wasifanye siasa wakati siasa ndio imemwingiza madarakani...na yeye hakupata asilimia 100% ya kura...hivyo kuna hao wanasiasa wenzake nao wana wafuasi wao...ukishakua na double standards kama kiongozi lazima watu wakulalamikie......fair play ni jambo la msingi kwenye siasa....hili naona utawala huu bado halijawaingia...wasipoangalia wataishia kutumia resources nyingi wanazokusanya kuhangaika na upinzani...na hili litawajenga upinzani kuliko watawala...
 
Kwenye suala la maandamano angewaruhusu tu waandamane nchi nzima mwisho watachoka watapumzika.
Kitu cha muhimu wasivunje sheria.
Rais shughulikia mambo makubwa yenye manufaa kwa nchi na wananchi kama umeme,maji ,afya,elimu,ajira na kuondosha umaskini kwenye kaya.
Miaka mitano ni michache sana kuweza kuleta mabadiliko achana na kukimbizana na wanasiasa wa upinzani.
Ni heri angekuelewa na kuufuata ushauri wako.
 
Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.

Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.

Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.

Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.

Tatizo lake ni nini?

Hana ustahmilizu wa kukosolewa?

Tafuta kujua historia yake naya ukoo
 
Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.

Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.

Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.

Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.

Tatizo lake ni nini?

Hana ustahmilizu wa kukosolewa?
Unastahili kuitwa great thinker bro,ubarikiwe Mkuu.
 
Ni heri angekuelewa na kuufuata ushauri wako.
Tatizo la viongozi nchi hii hasa ngosha hawaishi kufuata masharti ya waganga wa kienyeji,mganga kisha mwambia abane hayo mambo ndio atafanikiwa,.,.,.,perioooooooood.
 
Back
Top Bottom