Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

Ni kama anaonekana akikosolewa 'ataaibishwa'
hajui kukosolewa ni 'lazima' nyakati hizi
Hata akigawa chakula bure kwa Watanzania
kumkosoa hakuepukiki
Mkuu kwanza heshima kwako,tatizo viongozi nchi hii hasa ngosha na wafuasi wake wanafuata masharti ya waganga wa kienyeji,sasa wameshaambiwa wabane hivyo vitu ili wafanikiwe,kwa hiyo hapo ni kula vumbi mpaka hata panya watakufa na njaa nchi hii.
 
Wewe ni wawapi?taja kodi iliyopandishwa kiholela.
Kodi na tozo zote zipo kisheria kabisa kama hujui hilo.

Hata hivyo sishangai maana wewe kila siku ni topic zile zile na maneno yale yale..
Nchi gani inaendeshwa bila kodi?

Kama hutaki kulipa kodi funga biashara zako au nenda nchi ambayo utafanya biashara bila kulipa kodi au ushuru.
Ruttashobolwa mimi nakuheshimu sana bro na huwa nafurahishwa na michango yako ilioenda shule,lakini kwa hili la kumzodoa The Boss nona umechemsha au pengine umeghafilika,tafadhali tengua kauli yako kwake ndugu yangu nakuomba.
 
Sasa kama atachukiwa nyie mnaohitaji kupendwa na mafisadi na wazembe si muendelee. Mheshiwa magufuli endelea kujenga inchi hii hawa sasa hivi watabadili gear na kusema wewe ni dhaifu. Hapa kazi tu.
Vipi Nyanzaki olemhola mabologawiza,mwangaluka mwanawane?amasala gako galitinda okigasha mnema saana ngosha nyanoko.,.,.,.,....,..,,,,,.,.OLE NCHIRO CHIRO,.,.,.,.,.,.,/.....
 
Jamaa dizaini ni bonge la insecure flani hivi...
Halafu unanimaliza kabisa Mkuu,jinsi psychology yako infanya kazi ni kinoma ile mbaya,maana hilo nimeliona siku nyingi saana,yaani ile kutojiamini inamfanya kila sector anabeep tu,tena anabeep huku kiroho kinamdunda,daah ngoma nzito imeangukia ubongo wake,itafika mahali atayachanganya madawa halafu yatakuwa sumu kindaki ndaki,hapo solution atakayoiona itakuwa ni piga ua,funga na mwisho kabisa atakuwa anasema niliachiwa nchi imeoza hata hivyo nimejitahidi sana na huo ndio mwisho wa uwezo wangu,.,.,.,.,.,.,.,........ perioooooooooood.
 
Halafu unanimaliza kabisa Mkuu,jinsi psychology yako infanya kazi ni kinoma ile mbaya,maana hilo nimeliona siku nyingi saana,yaani ile kutojiamini inamfanya kila sector anabeep tu,tena anabeep huku kiroho kinamdunda,daah ngoma nzito imeangukia ubongo wake,itafika mahali atayachanganya madawa halafu yatakuwa sumu kindaki ndaki,hapo solution atakayoiona itakuwa ni piga ua,funga na mwisho kabisa atakuwa anasema niliachiwa nchi imeoza hata hivyo nimejitahidi sana na huo ndio mwisho wa uwezo wangu,.,.,.,.,.,.,.,........ perioooooooooood.
Hahaaa jamaa mchemfu sana
 
Hahaaa jamaa mchemfu sana
Na Bwana Mungu alie mbinguni akupe afya na maisha matamu Ngabu,yaani huwa nacheka mpaka nakaa chini nikisoma comment zako,kuanzia siasa,mapenzi n.k,unastahili upewe tuzo,hata nikiwa na stress nikiona jina Ngabu basi najua hapa ni balaa,UBARIKIWE MKUU,kuna watu mmeletwa duniani ili muwe pozo la roho zetu.
 
His reasoning capacity is very low..he never reason before he speaks..he just utter whatever comes in his mind...kikwete had his own flaws but he knew the rules of the game in politics....magufuli is temperamentaly unfit for the job..
The big difference btn kikwete and magufuli is that..the former was busy building a NATION,the later is busy building a COUNTRY...
Edson umemaliza kabisa na unastahili kuitwa great thinker,truly you are,.,.,.,.,.,.,. perioooood.
 
Majungu kutoka kwa wambea wa ufipa at work.

Kila siku mnaleta tetesi kuhusu utawala Wa Magufuli na mambo yao.

Tunaomba mtuletee na tetesi kuhusu kuondolewa uenyekiti mfalme Mbowe
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Na Bwana Mungu alie mbinguni akupe afya na maisha matamu Ngabu,yaani huwa nacheka mpaka nakaa chini nikisoma comment zako,kuanzia siasa,mapenzi n.k,unastahili upewe tuzo,hata nikiwa na stress nikiona jina Ngabu basi najua hapa ni balaa,UBARIKIWE MKUU,kuna watu mmeletwa duniani ili muwe pozo la roho zetu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwenye suala la maandamano angewaruhusu tu waandamane nchi nzima mwisho watachoka watapumzika.
Kitu cha muhimu wasivunje sheria.
Rais shughulikia mambo makubwa yenye manufaa kwa nchi na wananchi kama umeme,maji ,afya,elimu,ajira na kuondosha umaskini kwenye kaya.
Miaka mitano ni michache sana kuweza kuleta mabadiliko achana na kukimbizana na wanasiasa wa upinzani.
Unanikumbusha kisa kimoja; Kuna mzee mmoja alikuwa mgonjwa sana, na nje kwake kulikuwa na maskani ya vijana wanaweka kelele sana hapati kulala usiku au mchana.

Watoto wake wakawaomba wale vijana wapunguze kelele kidogo lakini badala yake wakazidisha. Kuona vile, daktari akawashauri watoto wa yule mzee wawaambie wale vijana wawe wanaweka zogo na kuwalipa. Ikawa kila siku lakini malipo yanapungua na kelele zikawa zinapungua. Wakiulizwa kwa nini kelele wanapunguza, vijana wanajibu hela na nyinyi mumepunguza.

Baada ya wiki malipo yakakata na wale vijana kwa hasira za kukatiwa malipo wakahama maskani na ikawa ndio mwisho wa kelele.
 
Bado IPTL wanalipwa 400 kwa siku...kinyume na maadhimio ya bunge.

Lugumi bado ina dunda.

Escrow....walio chota mapesa StanBank.

Bado wanataka kuuza nyumba za serekali.

Makada kuteuliwa kuwa watumishi wa umma bila kkufanyiwa usahili.


Matamko ya hovyo....mara mfyetuwe tu nita wasomesha.

Matusi na kejeli kwa baadh ya watu na taasisi...mfano ******

Teuzi kila kukisha....mtu anateuliwa ndani ya wiki anatenguliwa
Yaani uwanja wa ndege Chato?,ili iweje?,inamaana yale ya Zaire ya Mobutu ndio leo tunaletewa nchini kwetu jamani?,eeeeh Mola utulinde na udhalimu,maana Mobutu Kukungwendu wa Zabanga alijenga international airport kijijini kwao Gbadolite na akaweka sheria lazima uwe na VISA kuingia kijiji chake alikozaliwa,jamani kweli Tanzania karne ya 21 tunajenga kiwanja cha ndege Chato ambapo hakuna tija yoyote?,eee mola tuondolee udhalimu,AMEN.

Uwanja wa Ndege CHATO...hivi unatija gan au ni wa familia?
 
Back
Top Bottom