Magufuli ampiga dongo Balozi Ali Iddi

Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi

ttps://tuimp3.com/mp3/migogoro-wa-ardhi-zanzibar.html

Suala la uvamizi wa Ardhi Zanzibar lina historia ndefu sana na ndio chanzo cha chokochoko hasa Ofisi ya Makamo na uzuri wanalijua hilo kwa muda mrefu tu lakini hawajawahi chukua sheria kutenda haki

CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Hi
Hii ni ilani mpya wanazungumzia nini watafanya sio nini kilichofanyika
Pia wakija dar utasikia hayo madaraja na ndege
Asa ulitegemea akiwa huko sijui mwandiga
Sijui wap huko tunduma wazungumze habari za madaraja kweli?
Subiri mzee baba akija Dar kufunga utasikia sana habari za madaja na maflyover
Sijui salender, sijui ubungobinterchange, sijui kamata flyover, sijui mwenge flyover na mengine mengi tu jombaaa
 
Unajitoa ufahamu kama vile umetoka kupigwa paipu za asubuhi. Ni mara ngapi Meko yupo mikoani lakini anaongelea ndege na madaraja ?
Au una shida ya kusikia na kutunza kumbukumbu ?
 
Pascal wewe ungekua unaijua CCM usingeingia kwenye kinyan'ganyiro na kujipatia kura 1 tu kutoka kwa wajumbe.
Mkuu Daudi Mchambuzi , naijua CCM nje ndani, mimi ni wale wana CCM wa Nyerere type. Wajumbe ni watu wa modern CCM, sifa za mtu kupata kura za kutosha ni mbinu na sio uwezo.

Kati ya sisi wagombea 176 tulio tangaza nia Kawe, miongoni mwetu kuna some very fine men, wana uwezo mkubwa sana wa uongozi lakini kufuatia wajumbe kuwa sio watu, hivyo watu wazuri tukaishia kupata kura moja na kura 0, halafu wenzetu watupu lakini wanye mbinu, wakalamba kura za kutosha!.

Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Jifunze kutoka kwa jirani kagame tu hapo,anafunga na kuua wapinzani wake pale anapojisikia,ushasikia kuhusu kuwekea vikwazo?afrika hamna demokrasi,nitajie 2 za kiafrika zilizowekewa vikwazo sababu ya kukandamiza upinzani nikutumie vocha ya jero 😂
 
Mkuu Daudi Mchambuzi , naijua CCM nje ndani, mimi ni wale wana CCM wa Nyerere type. Wajumbe ni watu wa modern CCM, sifa za mtu kupata kura za kutosha ni mbinu na sio uwezo.

Kati ya sisi wagombea 176 tulio tangaza nia Kawe, miongoni mwetu kuna some very fine men, wana uwezo mkubwa sana wa uongozi lakini kufuatia wajumbe kuwa sio watu, hivyo watu wazuri tukaishia kupata kura moja na kura 0, halafu wenzetu watupu lakini wanye mbinu, wakalamba kura za kutosha!.

Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
Ha ha ha ha kwa hiyo ni kutaka kutuambia waliopita hasa jimbo ambalo kura zako hazikutosha hao jamaa upstairs ni watupu kabisa hakuna kitu ila mbinu tu zimewabeba!!?

Basi wapiga kura wafanye kazi nzuri kuwakataa maana hakutakuwa na kitu kutoka kwao
 
Sio kufunga tu!! Ataua wengi wakiwemo vigogo wakuu wa CCM . Huyu mtu hatakiwi kurudi tena ikulu. Come sun come rain
Kwa uongo wewe ni profesa wa uongo. Ukweli ni kwamba kama wewe ni raia mwadilifu, mzalendo, mchapa kazi hautakuwa na hofu na JPJM; ila utashangilia mambo mazuri yanayoendelea nchini. JPJM ni kiboko cha mafisadi, mabeberu, wasaliti, wala rushwa, wasambazaji na wauza madawa ya kulevya. Kama wewe uko katika kundi hili ovu nakushauri uache ili ushirikiane nasi kujenga taifa letu.
 
Kama ni kiboko ya mafisadi imekuwaje ajenge uwanja wa ndege kijijini kwake tena kwa kampuni ya ndugu yake???
 
Mkuu Daudi Mchambuzi , naijua CCM nje ndani, mimi ni wale wana CCM wa Nyerere type. Wajumbe ni watu wa modern CCM, sifa za mtu kupata kura za kutosha ni mbinu na sio uwezo.

Kati ya sisi wagombea 176 tulio tangaza nia Kawe, miongoni mwetu kuna some very fine men, wana uwezo mkubwa sana wa uongozi lakini kufuatia wajumbe kuwa sio watu, hivyo watu wazuri tukaishia kupata kura moja na kura 0, halafu wenzetu watupu lakini wanye mbinu, wakalamba kura za kutosha!.

Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
Mzee hebu jifiche basi. Hata Magufuli ameshindwa kuwaona nyie na kuielekeza kamati kuu iwarudishe?

Mbona akina silinde wamerudishwa? Ama nao wametumia mbinu hadi kwa mwenyekiti.

Wajumbe bado wanaendelea kuwa sahihi hata uwakatae vipi.
 
Magu kaingia mpaka jikoni huko Zanzibar-Kawapelekea Mwinyi (kuna wanao muita mtalii) na kama haitoshi jana "kamuagiza" Mwinyi akishinda achague makamu wa pili toka Pemba. Hivyo Mwinyi akishinda: Raisi-kutoka Bara (Mwana Mkuranga), Makamu wa Kwanza Maalim (Pemba), na Makamu wa Pili Pemba (kama alivyo agiza Magu. Naona Magu atapiga remote kama watashinda.
 
Back
Top Bottom