Zanzibar kudumisha ushirikiano na Oman

Zanzibar kudumisha ushirikiano na Oman

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Zanzibar na Oman.

Rais Alhaj Dk.Mwinyi amesema hayo leo katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar, Mhe. Said Salim Al Sinaw iliyofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa ndege Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 04 Aprili, 2024.

Kwa upande mwingine Rais Dk. Mwinyi amesema Serikali ya Oman imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kuisaidia Zanzibar katika miradi ya Maendeleo ikiwemo ukarabati wa majengo ya kihistoria, Afya na Elimu.
 

Attachments

  • IMG-20240404-WA0037.jpg
    IMG-20240404-WA0037.jpg
    88.7 KB · Views: 6
  • IMG-20240404-WA0039.jpg
    IMG-20240404-WA0039.jpg
    111.7 KB · Views: 7
  • IMG-20240404-WA0036.jpg
    IMG-20240404-WA0036.jpg
    95.5 KB · Views: 6
  • IMG-20240404-WA0038.jpg
    IMG-20240404-WA0038.jpg
    143.7 KB · Views: 7
  • IMG-20240404-WA0040.jpg
    IMG-20240404-WA0040.jpg
    90.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom