Uchaguzi 2020 Magufuli ampa maagizo Waziri Jafo kupeleka bilioni 5 Uvinza ili kuokoa jahazi

Kwa wafanyakazi atafanyaje kuokoa jahazi,maana mishahara haijapanda madeni lukuki hayajalipwa hela za likizo bado hazijalipwa sijui atapiga simu au atafanyaje
 
Wananchi sio wajinga wanawaona CCM wamechanganyikiwa kabisa na MCHAKAMCHAKA ccm hata wagawe vitumbua vijiji vyote nchini tarehe 28 oktoba wanaipiga chini
 
Halafu eti kuna watu wanasema kwamba kazi ya urais ni ngumu, na eti ni watu wachache sana wanaiweza. Kwa katiba hii hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuiongoza nchi hii.

Katika nchi ambayo rais unaamua chochote na hakuna wa kukuzuia sio sheria wala taasisi, unashindwaje kazi hiyo kwa mfano?
Nyongeza, tume ya uchaguzi imekaa kimyaaa! Msajili wa vyama amekaa kimya!

Hii ni kama si rushwa ni nini? matumizi ya ofisi ya umma katika kampeni!!!

Tume ya uchaguzi si huru na hilo tu linatosha kabisa kukamilisha mchakato wa nani ameshinda!
 
nafikiri ni mambi ya kawaida.mbona Trump wimi hii anapeleka mabilion ya dola kusaidia waliopata mafuriko ya kimbunga nchina Puerto rico.na jimbo lenye kura ni California ambalo wenyej wemg ni wazaliwa wa puerto rico.mzee teknik tu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani matumizi mengineyo na huwa yanatoka wapi? Au huwa unayatoa kwenye ruzuku ya Chadema iliyoliwa na mwenyekiti wetu?
Daaaa!! Ulivyo dandia uzi wa wa jamaa nilidhania labda una utaalamu wa public accounting, jinsi ya bajeti, na fedha za serikali zinavyotengwa na kutumiwa, kumbe ni mkulima wa bamia!!! Hakuna unalolijua!!! Eti fungu la OC's!!! ndio ikajenge barabara!!! Kwa uwezo huu wa kufikiria ndio maana hamuwezi kuwaelewa kamwe CDM, kwani wanaongea mambo magumu sana, kwenu kuyaelewa!!! Uwezo wenu ni ule tu kama PAAAAAAAA KISHINDO CHA AWAMU YA TANO'
 
Wewe unaweza ukawa unajifanya unjua sana kumbe ndio hujui. Kama pesa Mwenge zilitumika kwa ajili ya mapambano ya corona vipi kuhusu Oc's kutumika katika ujenzi wa barabara? Kwa hiyo ulivyo na akili ndogo unadhania kila matumizi lazima yawe na fungu lililopitishwa na bunge? Vipi kuhusu pesa anazochangia mashule? Makanisa?
 
NEC wamepewa mtihani mwingine tena huu, wasipo shughurikia hilo tujiandae kushuhudia Lissu naye akivunja sheria ,mwisho wa siku NEC watashindwa cha kufanya
 
Wewe unaweza ukawa unajifanya unjua sana kumbe ndio hujui. Kama pesa Mwenge zilitumika kwa ajili ya mapambano ya corona vipi kuhusu Oc's kutumika katika ujenzi wa barabara? Kwa hiyo ulivyo na akili ndogo unadhania kila matumizi lazima yawe na fungu lililopitishwa na bunge? Vipi kuhusu pesa anazochangia mashule? Makanisa?
Daaaa!!! Inasikitishaa!! Ndio maana nikasema pesa yote ya serikali ina sheria yake(utaratibu) uliowekwa, ili kuepuka haya yanayofanyika sasa, ndio maana toka enzi za awamu ya kwanza hukuwahi kuona hizi drama!! Kuna bajeti ya ikulu ambayo ina matumizi yake, lakini ungekuwa ni mtu wa kuelewa ungejua kabisa kwamba pesa ya serikali lazima ipitishwe na bunge, kwenda kwa kila wizara, halafu zinashuka kwa kila idara husika!! Ila kwa awamu hii, hakuna hata haja ya bunge kukaa nankupitisha bajeti
 
Kwani sheria ya bajeti inasemaje? Kuhusu kubadili matumizi ya pesa za bajeti?
 
Kwani sheria ya bajeti inasemaje? Kuhusu kubadili matumizi ya pesa za bajeti?
Si katai budget Reallocation ipo, ila kuna sheria inayoonyesha utaratibu!! Wa kufuatwa, tofauti na kinachofanyika na awamu hii!! Ndio maana unakuta miradi iliyotengewa pesa na bunge, inakosa pesa hizo, kutokana na mafungu yake kuhamishiwa kwenye mambo ambayo hayakupitishwa na bunge ila tu ni kwa VIBES ya Mheshimiwa, atakavyoamka!!! Leo ukiuliza pesa za kununua ndege, zilipitishwa na bunge gani hakuna jibu!!!?
 
Back
Top Bottom