Uchaguzi 2020 Magufuli ampa maagizo Waziri Jafo kupeleka bilioni 5 Uvinza ili kuokoa jahazi

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.

Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,362
2,000
Halafu eti kuna watu wanasema kwamba kazi ya urais ni ngumu, na eti ni watu wachache sana wanaiweza. Kwa katiba hii hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuiongoza nchi hii.

Katika nchi ambayo rais unaamua chochote na hakuna wa kukuzuia sio sheria wala taasisi, unashindwaje kazi hiyo kwa mfano?
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Wewe kamamda uchwara tumia akili,bajeti kuu ikipita huwa kuna mafungu kama haya. Mnaleta hoja ambazo zinafanya Chadema ionekane haina watu makini.
Zilikwapuliwa na nani? Tumia akili.

Sawa, pamoja na jibu lako, ungejibu maswali nililouliza ingependeza zaidi.

Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?
 
Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
540
1,000
Halafu eti kuna watu wanasema kwamba kazi ya urais ni ngumu, na eti ni watu wachache sana wanaiweza. Kwa katiba hii hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuiongoza nchi hii. Katika nchi ambayo rais unaamua chochote na hakuna wa kukuzuia sio sheria wala taasisi, unashindwaje kazi hiyo kwa mfano?
Je angeamua kuchukua hiyo bil tano na kwenda Capetown kula bata ungesema ametumia akili nzuri? Kisa katiba inamlinda? Unaibisha chama cha upinzani.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,362
2,000
Wewe kamamda uchwara tumia akili,bajeti kuu ikipita huwa kuna mafungu kama haya. Mnaleta hoja ambazo zinafanya Chadema ionekane haina watu makini.
Zilikwapuliwa na nani? Tumia akili.

Umejiunga mwezi uliopita na kupewa kazi ambayo wenzako wote wameshindwa, ni ngumu kupambana na ukweli. Naona umejipa jina la ukamanda na nembo ya cdm, kisha unajifanya descipline master wa michango ya wapinzani, kwa taarifa yako haya ujiite Lisu au Mbowe na uweke picha zao, utaishia kutapika hirizi safari hii.
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Ni jambo jema!
Kweli ni jambo jema wananchi wapate barabara, lakini je huo ndo utaratibu wa wa utendaji kazi? Kama pesa zilishatolewa, kwanini hazikupelekwa kwa wakati hadi mtu apigiwe simu adharani na kuambiwa tulishatoapesa?

Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Umejiunga mwezi uliopita na kupewa kazi ambayo wenzako wote wameshindwa, ni ngumu kupambana na ukweli. Naona umejipa jina la ukamanda na nembo ya cdm, kisha unajifanya descipline master wa michango ya wapinzani, kwa taarifa yako haya ujiite Lisu au Mbowe na uweke picha zao, utaishia kutapika hirizi safari hii. Muhuni mkubwa ww.

Hicho kidonge kuchungu kweli, ila yawezekana ikawa dawa ya tatizo alilo nalo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom