Uchaguzi 2020 Magufuli ampa maagizo Waziri Jafo kupeleka bilioni 5 Uvinza ili kuokoa jahazi

MAGUFULI Ni jembe anapiga kazi mara mbili na haterereki CCM hoyeeeeeeeee!!!!,lisu kazi kulia shida kama goigoi la taifa
 
Bajeti kuu ikipita huwa kuna mafungu kama haya. Mnaleta hoja ambazo zinafanya Chadema ionekane haina watu makini. Zilikwapuliwa na nani? Tumia akili.
Acha kupotosha watu wenye akili zao!! Hilo fungu linalotoka kwenye bajeti kuu, la kwenda kuwa danganyia watu linaitwaje? Kwani pesa za bajeti mafungu yake yote yanajulikana, na utaratibu wake wa kuyatoa upo kisheria!!! Sema awamu hii pesa zote za serikali zinatumika kama pesa za mlevi tu!!! Atakavyo amua mwenyewe ndio hivyo!! Miradi mingapi iliyopo kwenye bajeti inakosa pesa, leo inapatikana pesa ambayo hata kwenye bajeti ya hicho kitu, haipo? Ni suala la muda tu awamu itaisha, akija CAG, na serikali makini, mbona watu watafumba macho kwa taarifa za fedha za miaka 10!!!hii!!
 
Kwani matumizi mengineyo na huwa yanatoka wapi? Au huwa unayatoa kwenye ruzuku ya Chadema iliyoliwa na mwenyekiti wetu?
 
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.

Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Alikuwa wapi kabla ya leo?
 
Hiyo kero ya barabara imeanza wiki hii? Mbona hakutatua muda wote wa miaka mitano, mpaka asubiri siku ya kampeni? Mwambie jiwe aache kutaka kunenepeshea ng'ombe mnadani.
Mimi hayo mengine sijui,jambo la msingi ni rais huku ni mgombea pia. Kwa hiyo anaweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Mimi kama mtu muelewa naona hakuna tatizo.
 
Yeye apeleke hela , atengeneze hiyo barabara lakini lazima apigwe chini hadanganywi mtu , siku zote kwanini wasipeleke hizo hela na kutengeneza hiyo barabara ?
 
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.

Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?

Maadili ya uchaguzi na sheria za uchaguzi zinakiukwa waziwazi alafu Tume wako kimya. This is insane kabisa. Sasa tunatunga sheria kwa sababu gani Kama zinavunjwa waziwazi tena mchana kweupe kiasi hiki????

Hii ni Rushwa ya uchaguzi ya waziwazi, alikuwa wapi kufanya yote hayo huko nyuma hadi asubiri kipindi cha kampeni???
 
Nafikiri hii sheria inawahusu wapinzani tu. Huwa nafikiri sana ni kwa nini watu wanaamua kudai haki kwa nguvu zote baada ya busara kushindwa, nikagundua madhambi kama haya yanaweza kuwafanya watu waamue kivingine.
 
Mimi hayo mengine sijui,jambo la msingi ni rais huku ni mgombea pia. Kwa hiyo anaweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Mimi kama mtu muelewa naona hakuna tatizo.

Pamoja na kutumia hiyo nafa ya urais na pia mgombea, swali liko pale pale, je kwa nini hizo pesa zilicheleweshwa hadi wakati huu?
Je Jaffo ndiye aliye zikwamisha?
 
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.

Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?

Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?

Kwani ni kweli kabisa wewe hujui pesa isipotumika ndani ya mudamuda, mwisho wa mwaka wa budget huwa inapelekwa wapi😃 dah
 
Kwani matumizi mengineyo na huwa yanatoka wapi? Au huwa unayatoa kwenye ruzuku ya Chadema iliyoliwa na mwenyekiti wetu?
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.

Tusijekulalamika akichukuwa Urais 2020-2025.

*Ukimpigia Kura mpinzani utalipa kodi kama kawaida lakini usitengeme huduma za Serikali*

28/10/2020 Kazi kwetu!
 
Back
Top Bottom