baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,644
- 12,457
Umeongea point mkuu chukua like yngukutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa!
Umeongea point mkuu chukua like yngukutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa!
****Maskini Magufuli ana nia njema sana na nchi hii tatizo sijui ni mbinu anazotumia au ni wanaomshauri binafsi kuna vitu namuelewa sana ingawa hili la uhuru wa vyombo vya habari simuelewi kabisaaaaa
Ukisikia kukurupuka ndiyo huku, kama siyo viroba basi unatumia masaburi kufikiria, nao hao viongozi wa nchi?Lowassa vipi anaandikwa?? Mboowe je
Ili uthibitishe haya maneno yako kuwa Magufuli kachuja au lah nenda mtaani alafu ukikuta kikundi cha watu tamka haya maneno kuwa "Magufuli hafai".. Kitachokutokea kutoka kwa wananchi usisite kuja kutuambia ata kama ukiwa ICU.
Habari mnayo.. Tatizo hamtaki kujifunza nchi sio JF mwenzenu yupo mtaani nyinyi mpo JF. 2020 sio mbali tutaelewana tu.Ukipita mtaa wa Lumumba utamke hayo maneno utapata shida sana
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Mlilipwa kumshambulia JPM kipindi cha kampeni mkashindwa,mlivyo na akili fupi mnadhani mtafanikiwa na mtu ameshakuwa Raisi??,kweli akili zenu fupi sana,ndo maana Mzee Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA.,ndo maana Mlikuwa mkizungusha mikono kama wendawazimu,nimeanza kuelewa.
....Mbona mtoa post na wachangiaji hamjielewi? kwa miezi 7 aliyoyafanya ni makubwa sana, lakini ni muda mfupi kubadilisha nchi na watu kufaidi au kupata ahueni ya maisha, halafu budget ndo hiyo kwanza hata haijapita mmeanza kelele, kumbukeni wafanyabiashara pia wanataka kua juu ya serikali kwa kuficha sukari ili wajipangie bei, JPM bado anajipanga kwa mambo mengi , utumbuaji ( kuwasimamisha watu Kazi) lazima iwe kazi endelee mpaka tuheshimiane.
MbumbumbuIle hotuba ya Tundu Lissu ilimmaliza nguvu kabisa.
Hasa mawaziri kufanya kazi bila kuwa na instrument
Wako mkutanoni wanashauriana waje vipi, utawasikia hata kwa pumba na matusiSema vipi B7 Lumumba wamepigwa ganzi?
Kwa FaizaFoxy hawezi mpamba Magufuli kwa sababu ana jina la John, mark my wordsUnamuona =43551]FaizaFoxy[/USER] akimpamba Magufuli? Ritz mwenyewe bado anaota ya Kikwete