Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Nimekupata mkuu.

Ule ni udhaifu wa kukusa Leadership Skills. Kama Leader hakutakiwa kabisa ku act namna hile.

Kwenye Leading and influencing hatushauriwa tuwe tunawa reprimand subordinate wetu mbele ya halaiki ya watu - hilo ni moja, pili waziri Mahiga hakuwa na kosa lolote alilolifanya yeye kama yeye, yale yalikuwa ni mambo ya mkewe kugombana na traffic, sasa kwa nini umfokee waziri wako mbele ya umma? Je ulishindwa kumsema mkiwa wawili?
Na Maiga anapenda sana madaraka angemsusia kazi yake. Unaacha ofisi unafanya kazi barabarani nitumbue jipu nisitumbue.
 
Kuwalinda Lugumi na kitwanga, pia Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, January Makamba juu ya Madili yake kibao, Dau na Ufujaji pesa za Ujenzi wa daraja na miladi mingine ya NSSF , NIDA , ATC , IPTL , escrow, kivuko kibovu cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 , kumbukumbu za uuzaji nyumba za Serikali nk , haya ni mojawapo yanayomkwaza Kwa sasa .
Sema vipi B7 Lumumba wamepigwa ganzi?
 
Baada ya kuona hali ngumu ameshawaambia CCM,HATAMAKABURI...watu tuliyaonahaya ttukasema lliwalona liwe lakini sio CCM!
Dah umaarufu woteeee, sasa chali! Na ndo kwanza miezi 6!
a
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Baada ya kuona hali ngumu ameshawaambia CCM,HATACHIMBUA MAKABURI...watu tuliyaonahaya ttukasema lliwalona liwe lakini sio CCM!
Dah umaarufu woteeee, sasa chali! Na ndo kwanza miezi 6!
a
 
We have leaders and subordinates. Some people were just meant to be led, given orders, carry them out and give feedback. As a minister he was an exceptional figure, a symbol of workmanship but as the president all tht will come into question and the effect is what we are seeing right now. Come two years watanzania wote watakuwa wanalia vilio tofauti na hapa kazi tu. Mark this it wont even be the citizens that will prove his incapabilities as a leader, it will be his own subordinates who are day in day out reprimanded and humiliated publicly. As they say a disgruntled worker leads to a bunkrupt boss...............
Nai reserve comment yako hii kama utabiri wako ni wa kweli au ni ramli. Time will tell!
 
Na Maiga anapenda sana madaraka angemsusia kazi yake. Unaacha ofisi unafanya kazi barabarani nitumbue jipu nisitumbue.
Kuna uwezekano kuna wazee wenye busara zao wamemkalisha chini JPM na kumueleza anayofanya sio sahihi ndio maana siku hizi amekuwa mpole na kupunguza sifa.

Hata siku ile pale Dar airport si umeona alivyokuwa mstaarabu?
 
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.

Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.

Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?

EL hajachuja mpaka sasa
 
wengi wanaokosoa wameguswa kimaslahi, Imagine wafanyakaz wengi walioharibiwa dili zao za kupiga hela, wengi ni wasomi haswaaa, wanajua kucheza na kalamu na wanajua kuongea haswa, wana wafuasi waliokula nao bata, zaidi ya yote wanasikilizwa balaa.
Uje wafanyabiashara nap wameguswa haswaa, biashara yao imeyumba sababu walizoea mkato, hawajazoea kufuata taratibu, wamejaribu mbinu nyingi lakini mkono wa serikali umeonekaumeonekana kuwafikia.
Tunalalamika Mizigo imeshuka bandalini but nani amefuatilia jinsi mizigo ilivyoshuka Kenya Mombasa? Na hali itakuwa mbaya coz juzi waziri wa biashara Rwanda kafunga mjadala na kuwa mizigo yao itapita zaid Far ports
wananchi wengi tulikuwa tunalia lia Matajir wakikwepa kodi, sisi wenyewe hatujazoeshwa lipa kodi, hatutaki kulipa kodi sababu hatuoni hela zetu zinavyoenda tumika kutusaidia.
Tutajifunza na kuelewa halitakuwa tatizo tena na wale wenzetu watakao pita njia za mkato tutawaona ni wabaya na wahujumu uchumi.
ni swala la muda tu kila kitu kitarudi kwenye mstali, Trust Magufuli
Mkuu, inawezekana wapo ambao wameathirika na mambo mengi kama ulivyoainisha, lakini yapo mambo ambayo kiukweli muulize mtu yeyote MAKINI tena ndani ya Serikali tena mtu muadilifu, atakuambia pamoja na nia njema ya mh, kuna maeneo anakosea sana. Siyo lazima kuyataja lakini kiukweli, washauri wake wajitahidi kumshauri. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo inabidi umuombe sana Mungu akupe Hekima, Subira, busara na uvumilivu!
 
Jamaa,kapoa saana.mpka,namuhurumia,,,siku ile ameshtukiza airport nlitegemea mtu atumbuliwe..maana yule maza alimdanganya lkn hakufanya hvo.asa nkajiuliza,mbona Mama Kilango alidanganyq na yy lkn akatumbuliwa
Hilo nalo neno!
 
utawala uliosimikwa kwa dhuluma na damu za watu hauwezi simama, ona ya znz na mengine mengi
 
Jamaa,kapoa saana.mpka,namuhurumia,,,siku ile ameshtukiza airport nlitegemea mtu atumbuliwe..maana yule maza alimdanganya lkn hakufanya hvo.asa nkajiuliza,mbona Mama Kilango alidanganyq na yy lkn akatumbuliwa
Hapo unapotoka. Hicho ulichoandika ni nje ya UTAWALA WA SHERIA.Kwa hilo mimi nampongeza Mh kwa kuvumilia na kuchukua muda kujiridhisha. Tuache kulaumu kila mahali!
 
Nasubir kesi za maafisa wa nida,tra,tpa n.k nikimuona anashughulia pia escrow na lugumi mimi nitamuunga mkono kwa sasa nitaendelea kumkosoa.
Escrow, Lugumi? Unataka tetemeko la nchi ?
Tuna nyumba zetu ati usitake kutuvunjia
 
Jamaa,kapoa saana.mpka,namuhurumia,,,siku ile ameshtukiza airport nlitegemea mtu atumbuliwe..maana yule maza alimdanganya lkn hakufanya hvo.asa nkajiuliza,mbona Mama Kilango alidanganyq na yy lkn akatumbuliwa
Kwa Kilango hakukuwa na ulazima wa kumfanyia vile.
 
Back
Top Bottom